Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Mwarabu toleo la mwishoLizu au
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwarabu toleo la mwishoLizu au
HahahahaUweze kuvua samaki na kuangua nazi...
YeahKwa hyo hawana lugha ya asili
Nitarudi Mafia Lodge na ile Bar ya Mapozi. [emoji23][emoji23]Nitarudi tena Ibiza na ile gesti inayomilikiwa na mbunge. ...mmmh gesti ile!!!kweli tembea uone
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]Nitarudi Mafia Lodge na ile Bar ya Mapozi. [emoji23][emoji23]
Hapo Mapozi bar kuna jamaa anachoma mbuzi kinomaaaa...Rich Mbuzi [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]
colonel kimbau ndio alikuwa mbunge kule muda mrefu sanaMwarabu toleo la mwisho
Ukiona mahali Mchagga kapashindwa------Ni wagunya ndo maaruf, ila pia kuna wandengereko, wamwela, wamatumbi,wamakonde..na sasa kuna ongezeko kubwa la wasukuma na wanyamwez pia waha
...sasa mshana jr Mafia ulienda kutafuta nini kote huko?Duka je kama mini supermarket kwa mbele nyuma ni gesti?
Anazungumzia Harbours View ya marehemu Col. KimbauHahahahhah, mbunge gani huyo anamiliki guest
Mitidawa...sasa mshana jr Mafia ulienda kutafuta nini kote huko?
Huyo alipigwa chini kitambo sanacolonel kimbau ndio alikuwa mbunge kule muda mrefu sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] rasta nyoka[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23]...sasa mshana jr Mafia ulienda kutafuta nini kote huko?
JangwaUmetaja vyote hujaongelea wabebez vipi wapo wa kutosha huko?,
Uwe na chura [emoji16][emoji16][emoji16]je mtu ili aishi Mafia inabidi aweje
Maalufu = maarufuKabila maalufu la huko ni lipi
Buji au? [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duka je kama mini supermarket kwa mbele nyuma ni gesti?