Historia ya kisiwa cha Mafia

Historia ya kisiwa cha Mafia

LOCATION:-
Mafia ni kisiwa kilichopo ndani ya bahari ya hindi,kina jumla wakazi 46,000 kwa sensa ya 2012.Kinapatikana katika mkoa wa pwani.
Kutoka jijini Dar es salaam, kuna njia tatu kuu
1.Usafiri wa majahazi (kisiju)
2.Usafiri wa boti (nyamisati)
3.Usafiri wa ndege (JNIA)

WAKAZI WAKE
Wengi wa Wakazi wa kisiwa cha MAFIA ni watu kutoka nje ya kisiwa hicho, watu kutoka rufiji ndo watu wakwanzakwanza kufika kisiwan mafia,

UCHUMI
Uchumi wa watu wa Mafia unategemea sana UVUNAJI WA NAZI, pamoja na UVUVI katika bahari ya hindi

*******Karibuni sana kisiwani mafia******
Ningependa sana kupata historia ya Kisiwwa cha TUMBATU maana ni kisiwa maarufu sana kwa ZANZIBAR.
 
mwenyeji wa mafia ni wandengereko na asilimia kubwa ya idadi ya watu ni wandengereko na hapo mwanzo ilikuwa sehemu ya wilaya ya rufiji kabla ya kupewa hadhi ya wilaya
 
Mara ya mwisho Kimario alikuwa Container bar,jamaa ana meno ya R Chuga ni hatari kwa mbuzi rosti. [emoji23][emoji23]
Kapata kijiwe kingine karibu na Beach... [emoji23] [emoji23] [emoji23].... Huyo huyo
 
Kapata kijiwe kingine karibu na Beach... [emoji23] [emoji23] [emoji23].... Huyo huyo
Kama nitapata safari ya kuja Mafia itabidi nimcheki jamaa, mara ya mwisho nauli ilikuwa 120,000/ Tropical flight,sasa hivi imefika ngapi?
 
Ahsante kwa taarifa,ila hapo hakuna "Historia" ya Mafia mkuu.Historia inahusu mambo ya kale.Hapo kuna Geografia.Population,Communication na Uchumi wa Mafia.

Nilifurahi nilipo-ona title ya thread nikadhani nitapata Historia ya Mafia maana siijui.

Back
Top Bottom