Historia ya kisiwa cha Mafia

Panda Mv. Nyamisati uone raha zake
Gharama yake ni kiasi gani (Mv Nyamasiti). Na vipi kuhusu bei katika nyumba za kupumzikia wageni? Na je, safari inaanzia Pwani au (kwa wale wasiotumia flight)?
 
Mali ya Zanzibar hio,hata wakazi wanalijua hilo ni suala la muda tu.
Kwel kabisa hadi mombasa....lamu...malindi...mafia zote ilikua ni torritories za zanzibar lakin kutokana na colonial rule wakati wa wakolon kukabizi uhuru sultan wakat ule alitoa visiwa baadhi kenya na Tanganyika kwa wajerumani na sheria ilikua inatambua makoloni yalikabiziwa kwa wazawa ni sehemu za nchi iyo ndomana zanzibar hadi leo kapoteza haki ya kumiliki ivo visiwa hadi kesho na hio ilitoke kati ya hawai na U.S.A
 
Ni wagunya ndo maaruf, ila pia kuna wandengereko, wamwela, wamatumbi,wamakonde..na sasa kuna ongezeko kubwa la wasukuma na wanyamwez pia waha

Wasukuma wamefika mafia[emoji3][emoji23][emoji23]kweli hawajamaa hamna sehemu wataacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…