Historia ya mababu wa kale wa Misri na elimu yao kuhusu uumbaji.. ""Mwanzo""

Historia ya mababu wa kale wa Misri na elimu yao kuhusu uumbaji.. ""Mwanzo""

Hadithi hizi jamani! Bora niendelee na imani yangu ya Kikristo tuu. Yesu kwangu ni Bwana.
 
Mbantu na Mmisri ni watu wenye asili tofauti, kama wewe in mtz historia yako imefichwa, hata ukisoma history utagundua historia yetu imeanza baada ya kuja wazungu.
 
Mbantu na Mmisri ni watu wenye asili tofauti, kama wewe in mtz historia yako imefichwa, hata ukisoma history utagundua historia yetu imeanza baada ya kuja wazungu.
Ni kweli
 
Dini ni mchanganyo sana wanaopotosha ndio wana stahili adhabu sisi tunapelekwa kama mapunda na ng'ombe
 
Wa Africa weusi wanaamini Africa ni yao, wakati ukienda huko misri, tunisia, morroco, Waarabu tu, misri ndio kitovu cha history katika hii dunia, sasa binadamu wa mwanzo alikuwa rangi ipi ?
 
Wa Africa weusi wanaamini Africa ni yao, wakati ukienda huko misri, tunisia, morroco, Waarabu tu, misri ndio kitovu cha history katika hii dunia, sasa binadamu wa mwanzo alikuwa rangi ipi ?
Yasemekana Arabian peninsula mwanzo ilikuwa imeungana na Africa nguvu za asili zilipaaua ardhi ikagawanyika na huo mgawanyiko katikati maji ya bahari yakaingia ikaitwa red sea...so raia walikuwa wanaingiliana as per nature kati ya Arabs na Africans mgawanyiko uliwatenganisha so yawezekana Misri ni sehemu ya Arabs au ya Africans black... Hapo ndipo pa kuchunguza
 
Historia ya binadamu ilikuwepo tangu zamani hata kabla ya Mussa kuzaliwa.Ila pia tujuwe kuwa Misri kulikuwa na dini mbalimbali tangu zamani na kila dini ilikuwa na masimulizi kuhusu asili ya binadam.Lakini uliandika hapa kinareflect na asili ya umbaji inavyoelezwa katika dini hizi mbili lakini wote Mungu wetu mmoj
 
Mungu ni mmoja ila wa Uongo nao wapo wengi tu
 
Wahehe mbona kama asili yenu no hapa hapa Danganyika!!
Soma vitabu mzee asili ya Wahehe imetokea kwa "Mfwimi" mwindaji kutoka Ethiopia aloyekuja kuacha uzao wake Morogoro!
 
Soma vitabu mzee asili ya Wahehe imetokea kwa "Mfwimi" mwindaji kutoka Ethiopia aloyekuja kuacha uzao wake Morogoro!
Kwahiyo unataka kusema wapongoro ndio waliowabemenda kimwonekano!!
Make wahabeshi hawako kama ninyi!!
 
Kwahiyo unataka kusema wapongoro ndio waliowabemenda kimwonekano!!
Make wahabeshi hawako kama ninyi!!
Yah mama wa Mhehe ni mpogoro, Ingawa baba ni kutoka kabila lisilojulikana la Ethiopia..
 
Kwa nini historia nyingi zinaanzia misri
Sababu ndipo mwanzo wa maarifa makubwa ya binadamu kuanza kuonekana, Mambo yote yakiwa yameanza karibu miaka 5100 iliyopita na kuisha kuja kufa miaka 2600 iliyopita!
 
Mkuu nasikia pia mna unasaba na wagogo!! Hii imekaaje?
Hiyo si ya zamani sana ni kipindi cha mkwawa, mkwawa baada ya kuonekana usalama wake ni wa mashaka alikuzwa na wagogo mpaka alivyokuwa.
 
Back
Top Bottom