Historia ya maisha yangu baada ya kuacha kazi ya utumwa wa CCM

Wangu naye nilimtoa kazin. Na yeye ndo msimamiz mkuu na mhasibu wangu. Mke wangu si wa mambo mengi.
Safi sana...Na Mungu akubariki..yaan cjui kwa nn nawadharau watumishi...wife wangu ni mtumishi wa taasis nzur kiasi...lakin mwaka 2030 nimemwambia lazima aache kazi
 
Mwisho katkat ya mapambano Kuna changamoto kubwa Sana ila inahitaji uvumilivu.
Wakati unaanza Kuna wengi Huwa wanakatisha tamaa ,lkn mafanikio yakitokea haohao waliokukatia tamaa ndio wakwanza kujitokeza kuwa chawaaa...
 
H
Mimi sio mwandishi mzuri. Lakini nitaeleweka Kwa hiki kisa changu Cha kweli.

Nilimaliza masomo yangu ya degree udsm mwaka 2011 nakuajiriwa mwaka 2012. Huko shinganya vijijini kama Mwalimu. Hii kazi niliifanya Kwa mda wa mwaka mmoja na nusu tu. Nikaacha na kurudi mitaan. Baada ya kuona ndoto zangu za kuishi maisha ninayoyataka hazitatimia.
Siku Moja nilikuwa naenda mjini Kwa kipewa lift. Jamaa aliyenibeba tulianza kupiga story za maisha. Akanambia kwenye shughuli zake Kwa mwezi zinamwingizia faida ya zaidi ya ml 2.. na ana elimu ya darasan la 7. Nikatafakari Sana na jambo hili likaniumiza Sana. Mimi na degree yangu nalipwa laki 4. Hii ikanifanya kufikiria Sana. Kumbe nafanya kazi ya kitumwa. Nikajiuliza maswali mengi Sana.
Hivi watanzania tupo wangapi? na walioajiriwa Kwa hizi kazi za kitumwa ni wangapi? Si
hata hatufiki mil Moja.? Nikiacha kazi maisha hayaendi.?
Baada ya kujiuliza maswali. Niliamua kuacha kazi. Ila Sasa naachaje Ili hali Sina mtaji. Wazo nililolipata ni kuchukua mkopo bank. Kweli nikachukua mkopo wa ml 10 na ndo ukawa mtaji wangu wa kuanzia maisha mapya nje ya ajira.

Maisha mapya yanaanza Kwa kuanza kuzunguka Kampala Kwa week nzima nikisaka furusa za Biashara na nikafanikiwa. Kuanza Biashara ya kushona masweta na school uniform Kwa Ujumla. Kumbuka sikuwa na hii elimu Wala ujuzi. Biashara ilienda vizur Sana na ndani ya miaka 4 Toka 2013 mwezi wa 8 mpaka 2016. Niliweza kupata faida kubwa Sana make nilikuwa mwenyewe kwenye game kabla mafisi hawajaingialia na kuweka mitaji Yao mikubwa. Ndani ya mda huu wa miaka minne niliweza kujenga nyumba mbili. Ya kuishi na Moja ya kazi zangu. Na kuweza kununua usafiri wangu na gari ndogo ya kusambaza mzigo. Wateja wangu wakubwa walikuwa shule za private.

Changamoto zinaanza.

Mwaka 2017 Biashara ikaanza kuyumba Kwa shule nyingi kuyumba kiuchumi kutkona na Heka Heka za anko Magu. Matajiri wakaweka wakavamia Biashara. Biashara ikayumba Sana. Na kufikia 2019 ikafa rasimi. Nikafilisika kabisa. Nikabaki na nyumba tu. 2019. Nikawa nakosa hata nauli ya kunitoa home kwenda kutafuta mishe. Ila wazo la kutafuta kazi ya kuajiriwa niliapa kulikataa kabisa. Jamaa angu mmoja akanitafutia kazi. Ambayo ilikuwa na salary ya laki 6 Kwa mwezi. Nikaikataa jamaa angu akanilaumu Sana. Nikamwambia hapa ni mjini nitapambana Hadi tone langu la mwisho lakni sio kuajiriwa.

Mwaka 2019 mwishon napata wazo la kuanzisha shule ya day care na chekechea kwenye jengo langu nililokuwa nafanyia kazi zangu. Kweli naanza watoto wanne tu. Nikiwa Mimi ndo Mwalimu wao. Kwa ada ya elfu 30 Kwa mwezi. Nikapamba kufanya marketing kubwa Kwa kufundisha vizur. Wazo jingine nilanikjia Kwa kutafuta Mwalimu wa kikenya kweli nafanikiwa kumpata. Watoto wakaanza kuongezeka. Kufikia January 2020 tunapofungua shule tulifanikiwa kuwa na watoto 50. Nikapambana Sana katikat ya changamoto. Nikafanikiwa kupata kiwanja na kuanza kujenga shule.badaa ya watoto kuwa wengi na eneo halitoshi la kujenga shule. Kufika 2023 nikapata usajiri. Na mwaka huo huo nikawa na watoto wa kumaliza darasa la Saba Kwa watoto 12 ambao niliwatoa shule zingine. Watoto walianza kuhamia kwangu hata kabla sjawa na usajili wa serikali. Wazazi waliniamini Kwa kile nilichokuwa nafundisha watoto wao. Nilifanya kazi ya kuajiri walimu wazuri. Tukisidiana Kila palipo hitajika.

Kufikia Hadi Sasa nimeisharudi barabarani Kwa kufungua shule yangu Hadi Sasa nikiwa na watoto zaidi ya 300 ambao naamini Kwa uwezo wa Mungu kufikia 2030. Nitakuwa nimesimama vizuri. Hela zote Kwa Sasa nazielekeza kwenye miundo mbinu Kwa kuandaa Mazingira kuwa Bora sana. Na nimeapa Kwa uwezo wa Mungu 2031 nafungua international school.

Mwisho katkat ya mapambano Kuna changamoto kubwa Sana ila inahitaji uvumilivu. Na ni achoshukuru ni kupata mke mzuri mwenye kujielewa na amekuwa msaada mkubwa Sana kwangu.
Hii si ya kukosa.....nitaisoma baadae
 
Akikimbia unampatia wapi?? Hiz banks mbona zinapigika haswa...kuna bnk moja nimechukua pesa bila dhamana alafu fresh kias kwamba nikiamua hata mahakaman hawatashinda...posta bank wametoa fedha kibao zaid ya bil 300 kwa wafanya biashara wadogo na wakati lakin watu bado hawajielewi...riba asilimia 3...bado watu wanalia umasikin...hovyo kabisaa
Utaratibu upoje mkuu kupata huo mkopo 🙏
 
Ndugu na wazazi walinitenga hawakunielewa. SEMA nilisimamia msimamo wangu. Hasa kipindi nimeyumba
Hao ndugu na wazazi km umeamua kujitafuta kimaisha , ndio watu namba Moja wakuwazimia data na kudili na watu unaopigania kile unacho kiamini.....maana ndugu na wazazi muda mwingine miluzi inakuwa mingi Sanaa ,ss ukiwasilikiza wanakupoteza
 
Mimi sio mwandishi mzuri. Lakini nitaeleweka Kwa hiki kisa changu Cha kweli.

Nilimaliza masomo yangu ya degree udsm mwaka 2011 nakuajiriwa mwaka 2012. Huko shinganya vijijini kama Mwalimu. Hii kazi niliifanya Kwa mda wa mwaka mmoja na nusu tu. Nikaacha na kurudi mitaan. Baada ya kuona ndoto zangu za kuishi maisha ninayoyataka hazitatimia.
Siku Moja nilikuwa naenda mjini Kwa kipewa lift. Jamaa aliyenibeba tulianza kupiga story za maisha. Akanambia kwenye shughuli zake Kwa mwezi zinamwingizia faida ya zaidi ya ml 2.. na ana elimu ya darasan la 7. Nikatafakari Sana na jambo hili likaniumiza Sana. Mimi na degree yangu nalipwa laki 4. Hii ikanifanya kufikiria Sana. Kumbe nafanya kazi ya kitumwa. Nikajiuliza maswali mengi Sana.
Hivi watanzania tupo wangapi? na walioajiriwa Kwa hizi kazi za kitumwa ni wangapi? Si
hata hatufiki mil Moja.? Nikiacha kazi maisha hayaendi.?
Baada ya kujiuliza maswali. Niliamua kuacha kazi. Ila Sasa naachaje Ili hali Sina mtaji. Wazo nililolipata ni kuchukua mkopo bank. Kweli nikachukua mkopo wa ml 10 na ndo ukawa mtaji wangu wa kuanzia maisha mapya nje ya ajira.

Maisha mapya yanaanza Kwa kuanza kuzunguka Kampala Kwa week nzima nikisaka furusa za Biashara na nikafanikiwa. Kuanza Biashara ya kushona masweta na school uniform Kwa Ujumla. Kumbuka sikuwa na hii elimu Wala ujuzi. Biashara ilienda vizur Sana na ndani ya miaka 4 Toka 2013 mwezi wa 8 mpaka 2016. Niliweza kupata faida kubwa Sana make nilikuwa mwenyewe kwenye game kabla mafisi hawajaingialia na kuweka mitaji Yao mikubwa. Ndani ya mda huu wa miaka minne niliweza kujenga nyumba mbili. Ya kuishi na Moja ya kazi zangu. Na kuweza kununua usafiri wangu na gari ndogo ya kusambaza mzigo. Wateja wangu wakubwa walikuwa shule za private.

Changamoto zinaanza.

Mwaka 2017 Biashara ikaanza kuyumba Kwa shule nyingi kuyumba kiuchumi kutkona na Heka Heka za anko Magu. Matajiri wakaweka wakavamia Biashara. Biashara ikayumba Sana. Na kufikia 2019 ikafa rasimi. Nikafilisika kabisa. Nikabaki na nyumba tu. 2019. Nikawa nakosa hata nauli ya kunitoa home kwenda kutafuta mishe. Ila wazo la kutafuta kazi ya kuajiriwa niliapa kulikataa kabisa. Jamaa angu mmoja akanitafutia kazi. Ambayo ilikuwa na salary ya laki 6 Kwa mwezi. Nikaikataa jamaa angu akanilaumu Sana. Nikamwambia hapa ni mjini nitapambana Hadi tone langu la mwisho lakni sio kuajiriwa.

Mwaka 2019 mwishon napata wazo la kuanzisha shule ya day care na chekechea kwenye jengo langu nililokuwa nafanyia kazi zangu. Kweli naanza watoto wanne tu. Nikiwa Mimi ndo Mwalimu wao. Kwa ada ya elfu 30 Kwa mwezi. Nikapamba kufanya marketing kubwa Kwa kufundisha vizur. Wazo jingine nilanikjia Kwa kutafuta Mwalimu wa kikenya kweli nafanikiwa kumpata. Watoto wakaanza kuongezeka. Kufikia January 2020 tunapofungua shule tulifanikiwa kuwa na watoto 50. Nikapambana Sana katikat ya changamoto. Nikafanikiwa kupata kiwanja na kuanza kujenga shule.badaa ya watoto kuwa wengi na eneo halitoshi la kujenga shule. Kufika 2023 nikapata usajiri. Na mwaka huo huo nikawa na watoto wa kumaliza darasa la Saba Kwa watoto 12 ambao niliwatoa shule zingine. Watoto walianza kuhamia kwangu hata kabla sjawa na usajili wa serikali. Wazazi waliniamini Kwa kile nilichokuwa nafundisha watoto wao. Nilifanya kazi ya kuajiri walimu wazuri. Tukisidiana Kila palipo hitajika.

Kufikia Hadi Sasa nimeisharudi barabarani Kwa kufungua shule yangu Hadi Sasa nikiwa na watoto zaidi ya 300 ambao naamini Kwa uwezo wa Mungu kufikia 2030. Nitakuwa nimesimama vizuri. Hela zote Kwa Sasa nazielekeza kwenye miundo mbinu Kwa kuandaa Mazingira kuwa Bora sana. Na nimeapa Kwa uwezo wa Mungu 2031 nafungua international school.

Mwisho katkat ya mapambano Kuna changamoto kubwa Sana ila inahitaji uvumilivu. Na ni achoshukuru ni kupata mke mzuri mwenye kujielewa na amekuwa msaada mkubwa Sana kwangu.
All the best and God bless you
 
Hao ndugu na wazazi km umeamua kujitafuta kimaisha , ndio watu namba Moja wakuwazimia data na kudili na watu unaopigania kile unacho kiamini.....maana ndugu na wazazi muda mwingine miluzi inakuwa mingi Sanaa ,ss ukiwasilikiza wanakupoteza
Huu ndo ukweli. Na siku hizi tunakutana kwenye matukio tu. Kwa upande wa wazazi nilishawawekea bageti Yao Kila mwezi huwa nawatumia Hela ya matumizi. Ila Kwa upande wa ndugu wengine nilisha jizima data.
 
Watesi wako ndio wanaokupangia kodi na wanakupa usajili wa shule omba Mungu wasiikague wakuambie haina vigezo
 
Swali la nyongeza mkopo wa 10milion kwa dhamana ya ajira maana yake makato siyo chini ya miaka 5. Je baada ya kuacha kazi mkopo aliulipaje?
Sikuwahi kuulipa. Ila Hadi 2016. Mshahara ulikuwa unaingia halimashauri wakawa wanaula . Magu ndo amekuja kuondoa Kwa operation hewa ya wafanyakazi kazi. Make nilikuwa napokea sms ya makato ya mkopo wa Bank
 
Tupia picha ya shule mkuu! Uzi wako ungependeza ukaweka na picha mbili tatu za shule yako.
Hongera sana
 
Back
Top Bottom