Historia ya maisha yangu baada ya kuacha kazi ya utumwa wa CCM

Swali la nyongeza mkopo wa 10milion kwa dhamana ya ajira maana yake makato siyo chini ya miaka 5. Je baada ya kuacha kazi mkopo aliulipaje?
Sasa mtu kaacha kazi,mkopo atalipa vipi wakati kazi hana?
 
Watesi wako ndio wanaokupangia kodi na wanakupa usajili wa shule omba Mungu wasiikague wakuambie haina vigezo
Ndo maana sitaitaja jina. Figusu za hii serikali nazifahamu Sana.
 
Hiyo benk inafaa sana. Tupe vigezo vyake
 
Asante mama Samia kwa kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji
 
Bank Gani hiyo ilikukopesha million 10 bila dhamana.
Soma Uzi vzr alikopa akiwa Bado mwajiriwa, dhamana ya mwajiriwa ni ajira yake na mkopo wenyew Huwa na bima yake hivyo hata ukikopa na kuacha kazi hakuna wakukudai Wala kukusumbua kulipa deni.
 
Hongera sana kaka...
 
Nilikopa nikiwa mtumishi wa serikali na Hilo deni skulilipa Hadi Leo. Nilivyokopa nikiacha kazi baada ya miezi miwili
Fanya ulipe hilo deni,bado unandoto kubwa sana za kutimiza 🀝
 
Ulikuwaga mwalimu shinyanga DC shule gn boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…