Historia ya maisha yangu baada ya kuacha kazi ya utumwa wa CCM

Hongera sana mkuu.

Umenifanya nizidi kufikiria zaid wazo langu la kujiajiri na kuachana na hizi ajira za serikali
 
Post bank kumbe kutamu 3%,
Mkopo Kwa vikundi au individually?
 
this is what we call real hustling, sio akina madelu waliojipata kwenye kuibia nchi siasan et nao wanaitwa hustler, kudos dude, lets meet at the top.

ephen_ watu kama mwamba hapa ndo wa kuwapa moyo wako sio akina lucas chawa (jokes)
 
Kama ukiwa ni mtumishi na ukachukua mkopo kwa dhamana ya salary nadhani watakusubiria kwenye pensheni yako,labda iwe hujakaa muda mrefu..
 
Sikuwahi kuulipa. Ila Hadi 2016. Mshahara ulikuwa unaingia halimashauri wakawa wanaula . Magu ndo amekuja kuondoa Kwa operation hewa ya wafanyakazi kazi. Make nilikuwa napokea sms ya makato ya mkopo wa Bank
Okay so makato ya pensheni yalikuwa yanaendelea kama kawa Huku salary jamaa wanaigonga hahahaaaaa...mimi nilivyotoka serikalini niliomba secondment kwa sababu iko kisheria. Pia niliwahi kuchukua mkopo na nikawa sijaumaliza kuuulipa. Huko nilikoenda baada ya mambo kuwa mazuri nikawa naendelea kuulipa mkopo wao ili huko usoni wasijenikata mafao yangu. Hoja yangu ni kwamba huko uzeeni haujui utaishiaje hivyo ikiwa mafao yako yatafyekwa while you need them most inaweza kuwa mtihani...
 
It is ur biography,ccm inaingia vp hapo.hacha ujinga
 
.....Hela zote Kwa Sasa nazielekeza kwenye miundo mbinu Kwa kuandaa Mazingira kuwa Bora sana...Brilliant move towards your VISION !!!
 
Dhamana si ajira na ww,kaweka wazi hapo aliajiriwa 2012 alikua muajiriwa kama mwalimu,alivochukua mkopo akaacha kazi mbona wengi wanakimbia mkuu
Ata mm nina cousin wangu alilala mbele na mkopo akatoka kijijini alikokuwa anafundishašŸ˜€
Mimi niliwatosa nmb ,crdb ma Barclay's.
 
Adui wangu no moja ni CCM Kwa kweli. Kwa sababu umaskn wetu umeletwa na CCM
Matajiri na watu wa kipato cha kati waliopo nchini, chama chao tawala siyo CCM? Umasikini umasikini unaletwa na mtu mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…