Historia ya maisha yangu baada ya kuacha kazi ya utumwa wa CCM

Kufikia Hadi Sasa nimeisharudi barabarani Kwa kufungua shule yangu Hadi Sasa nikiwa na watoto zaidi ya 300 ambao naamini Kwa uwezo wa Mungu kufikia 2030. Nitakuwa nimesimama vizuri. Hela zote Kwa Sasa nazielekeza kwenye miundo mbinu Kwa kuandaa Mazingira kuwa Bora sana. Na nimeapa Kwa uwezo wa Mungu 2031 nafungua international school.πŸ“ŒπŸ”¨πŸ’ͺ🏿
 
Hongera kwa kupambana, hongera pia kwa bahati, maana wengi wetu tunapambana haswa lakini tunaambulia za uso tu!
Hongera pia kwa mke, wengine wake zetu ni sehemu a changamoto tunayoendelea kupambana nayo.
NAKUOMBA PITIA KWA MANGI UPATE PEPSI BARIDI KWA PESA ZAKO.
UMESEMA KITU CHA MSINGI SANA "BAHATI" HII KITU ACHANA NACHO KABISA. PAMBANA VYA KUPAMBANA KAMA HUNA BAHATI UTAISHIA ULIPOANZIA.
 
Hongera sana mkuu
 
Hongera kwa kujiongeza! Hiyo ndiyo maana ya kuelimika. Kujifunza kuifanyisha akili kazi na siyo kuyaishi "uliyokaririshwa"
 
Well done Mshana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…