Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi waafrika kuna baadhi ya mambo hua tunafeli kwa mfano mwanafunzi akimfuata mwalimu na kumtongoza, mwanafunzi huyo atacheza hatari.
Ila wenzetu mwalimu atamukataa na kushukuru pia kwa swala hilo.
Sijui tunakwama wapi yaan[emoji4]Sisi waafrika kuna baadhi ya mambo hua tunafeli kwa mfano mwanafunzi akimfuata mwalimu na kumtongoza, mwanafunzi huyo atacheza hatari.
Ila wenzetu mwalimu atamukataa na kushukuru pia kwa swala hilo.
Hahahah bibi wa huko ni tofauti na bibi wa huku.Dogo atakuwa alipulizwa mqund na ganzi ya ubongo wake yote imeganda dadekii.
Maana wa bibi wana kiarufu flan cha kizee sa kama Jombaa ana kaza basii atakuwa vzrii
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hatari sana