Historia ya mapenzi ya Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron

Historia ya mapenzi ya Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron

Huyo bibi atakuwa anavumilia mengi, maana akipelekewa moto.... Hawa age-mates wetu kuna wakati zinawaka moto...
 
We acha tu,nikimchekigi lady Madonna hadi leo mate yananidondoka,kuna mwingine nilikutana naye moshi mjini anauza kwenye pharmacy yake mashaallah!! Kaumbika haswaa,mrembo kabisa yaani,nadhani alihisi tu kuwa nimemtamani,kwenye story story sijui ilikuwaje akaniambia "mimi ni bibi yako eti" kumuuliza umri wake ananiambia ana 68yrs!! Nikachoka,ila hadi leo ananipogiaga simu na kunitania tania,kama vile alishakubali kimoyomoyo
Fanya kweli mkuu usituangushe mabaharia fanya kama macron
 
Ndoa yao ina miaka 14 from 2007. Na ninavyowaona hawana mipango wa kutengana. Kwa tofauti ya umri wao wanahitaji pongezi kubwa mno. Na wamefanikiwa kimaisha kabisa. Kuna cha KUJIFUNZA Ila ki Afrika utaambiwa ni laana kuoa mwanamke umri sawa na wa mama yako Ila hatusemi wanaume wanaooa wake wadogo umri sawa na wajukuu zao. This is Africa!!!
Sisi huku Afrika watu walio jiita wahenga waliweka visheria vyao kutubania sisi.
 
Huyo bibi atakuwa anavumilia mengi, maana akipelekewa moto.... Hawa age-mates wetu kuna wakati zinawaka moto...
🤣🤣🤣 Hua anapiga mazoezi nahisi.
 
....kumuuliza umri wake ananiambia...
Na mimi ngoja nijaribu kufurahisha baraza!!!

Nilikuwa naumwa bin taabani, kipindi hicho ni kijana barubaru, nilipelekwa hospitali nazima zima ...mwishowe nikawa sioni kabisa wakati nimefumbua macho sauti za watu nazisikia kwa mbali.

Baadaye nikajakugutuka niko juu ya kitanda cha wagonjwa ! Pembeni, kwenye tendegu la kitanda, kakaa daktari mashallah!! Yaani amekamilika kwa vipimo vyote vya umashallah! Butwaa lisilo na kifani lilinizonga. Daktari akstuka tukio lile akatoa sauti ya zeze ya kunipa pole....kumbe ndiyo akazidisha butwaa langu......nyie acheni! Nadhani alikuwa mtaalamu wa saikolojia mara akamuita nesi.....baadaye hali yangu ya kuzima ikajirudia. Daktari akatoka baru na kuniacha na nesi.

Baadaye, daktari yule alirudi kuniona akiwa amejitanda vitenge na kufunga ushungi huku katupia koti lake la udaktari. Nilikuja kutambua kuwa umashallah wa daktari ungeniondoa kwa presha!!!

Acheni jamani haya mambo! Yasikie huko.
 
Back
Top Bottom