Historia ya mapenzi ya Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron

Huyo bibi atakuwa anavumilia mengi, maana akipelekewa moto.... Hawa age-mates wetu kuna wakati zinawaka moto...
 
Fanya kweli mkuu usituangushe mabaharia fanya kama macron
 
Sisi huku Afrika watu walio jiita wahenga waliweka visheria vyao kutubania sisi.
 
Huyo bibi atakuwa anavumilia mengi, maana akipelekewa moto.... Hawa age-mates wetu kuna wakati zinawaka moto...
🤣🤣🤣 Hua anapiga mazoezi nahisi.
 
....kumuuliza umri wake ananiambia...
Na mimi ngoja nijaribu kufurahisha baraza!!!

Nilikuwa naumwa bin taabani, kipindi hicho ni kijana barubaru, nilipelekwa hospitali nazima zima ...mwishowe nikawa sioni kabisa wakati nimefumbua macho sauti za watu nazisikia kwa mbali.

Baadaye nikajakugutuka niko juu ya kitanda cha wagonjwa ! Pembeni, kwenye tendegu la kitanda, kakaa daktari mashallah!! Yaani amekamilika kwa vipimo vyote vya umashallah! Butwaa lisilo na kifani lilinizonga. Daktari akstuka tukio lile akatoa sauti ya zeze ya kunipa pole....kumbe ndiyo akazidisha butwaa langu......nyie acheni! Nadhani alikuwa mtaalamu wa saikolojia mara akamuita nesi.....baadaye hali yangu ya kuzima ikajirudia. Daktari akatoka baru na kuniacha na nesi.

Baadaye, daktari yule alirudi kuniona akiwa amejitanda vitenge na kufunga ushungi huku katupia koti lake la udaktari. Nilikuja kutambua kuwa umashallah wa daktari ungeniondoa kwa presha!!!

Acheni jamani haya mambo! Yasikie huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…