Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,526
- 34,057
Kwa hakika Baba wa Taifa Zanzibar ni John Okello.View attachment 3636863View attachment 3636865View attachment 3636868
Baadhi ya vitabu vya historia ya Zanzibar vilivyopo Maktaba
Huwa nasoma nyuzi hapa JF mtu anaandika kuwa John Okello ni Baba wa Taifa la Zanzibar.
Anaishia hapo.
Ukimuuliiza kama anajua historia ya mapinduzi ni ubishi tu na mjadala kurefuka bila ya sababu.
Ukimuuliza kama anaijua kambi ya Kipumbwi haijui wala hajapata kusikia neno hilo.
Kambi ya Kipumbwi na Shamba la Mkonge la Sakura ni muhimu katika kufahamu historia ya mapinduzi.
Halikadhalika ukimuuliza kama anawajua Victor Mkello na Mohamed Omari Mkwawa hajapata kuwasikia.
Lakini mtu huyu anakuja na jina moja katika mapinduzi jina la Okello na kumuita ati Baba wa Taifa la Zanzibar.
Hakika mdomo haumkatai bwana wake.
Usilojua usiku wa kiza.
View: https://youtu.be/OEEPe8qN92A
Hii ndio historia ya kweli ya Zanzibar.Mimi ninachokijua Okello ndio Baba wa Taifa la Zanzibar.
Ndie aliyeongoza Mapinduzi 12 January 1964.
Na ndio alitangazaa Radioni Mapinduzi ya Zanzibar.
Karume alikuwa amejificha Ikulu ya Tanganyika Magogoni akiwa na Mwalimu Jk Nyerere.
HAKUNA MTU WA KUNIBADILISHA HUU UKWELI.
Capo...Mimi ninachokijua Okello ndio Baba wa Taifa la Zanzibar.
Ndie aliyeongoza Mapinduzi 12 January 1964.
Na ndio alitangazaa Radioni Mapinduzi ya Zanzibar.
Karume alikuwa amejificha Ikulu ya Tanganyika Magogoni akiwa na Mwalimu Jk Nyerere.
HAKUNA MTU WA KUNIBADILISHA HUU UKWELI.
Licking,Kwani mzee Mohamed Said ulikusudia kusema nini hasa?
Tunarudi kule kule kupindisha historia!
J.okello hawataki hilo jina
Jina litajwe kabisa ktk mapinduzi huko
Ova
Magnificio,Huku anapigania wapigania uhuru kina Mzee Sykes watajwe, kule anapambani mpigania Uhuru Okello asitajwe.
Maisha bila unafiki hayaendi.