Mr the dragon
JF-Expert Member
- Apr 14, 2017
- 1,937
- 3,718
Hoja zako zina mashiko mkuu ila hakuna anayeweza kuzijibu ila hakuna anayeweza kuzijibu.Hoja yangu ni kupotoshwa kwa historia wanaposema ni Tutsi genocide hapo the bold anasema miili yote ya waliokufa ilikuwa ya kitutsi ndio nahoji kwamba kma waliokufa wapo million moja na bold anasema wote ni watutsi najiuliza kivp ametuambia watutsi ni 14% na kipindi hicho cha genocide population ilikuwa 4 million hivyo toka lini 14% ni million moja??? Na kma 14% sio million mola ila chini ya laki 5 je hao laki tano wengine walikuwa kabila gani??? Kma ni wahutu ssa kwanni anapotosha
Niliuliza nijibiwe sasa wwe ulielewa nisaidie sio unanza matusi sijui inaniuma ssa iniume nni kwani nagombea urais wa JF?? acha uswahili kma huna hoja kaa pembeni The Bold mwenyewe atakuja kujibu
Ndo maana wanapuyanga puyanga tu.