Historia ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda: Kilio Cha Mifereji ya Damu iendayo Ethiopia

Historia ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda: Kilio Cha Mifereji ya Damu iendayo Ethiopia

Asante sana kwa muendelezo chief, kila siku nilikuwa nachungulia kujua sehemu ya tano inatoka lini......salute mkuu
 
Mi naona the Bold umeeandika hii kama propaganda tu. Umekuza sana Role ya Kagame katika vita ya Kagera na Harakati za Watutsi kurudi Rwanda.

Maeneo uliyozidisha chumvi.

Moja Kagame hakuudhuria Mosh Conference. Hakuwa na jina lolote by the time. Si Kagame tu hata Mseveni hakuwa mjumbe Wa kikao husika.

Pili katika serikali ya Kwanza Baada ya Amini kuondolewa Mseveni hakuwa na Ushawishi Mkubwa na alikuwa Naibu Waziri tu.

Tatu umechukua Role ya Nyerere umempa Kagame na Mseveni.

Mpiganaji yoyote Wa RPF humtukuza Kamanda Fred si Kagame. Wote wanakili lebalation was planned, commanded by Kamanda Fred.

Fred hakupendwa kuongoza Rwanda na ukoo wa Ababeega ukoo Wa Kagame ambao ndo walikua inluencial zaidi. Hadi mauti yakamukuta Fred.

Nakusubiri nione utakavyoandika ilikuaje Kagame ambaye hakuwa kwenye commanding position kwenye RPA alikuja kuwa Kamanda Wa RPA mwishon mwa Vita.

Ukirudi Uganda.

NRA ilifaidika na mgogoro wa B. Okelo na Obote. Power ya Jeshi ikagawanyika hiyo NRA ikanufaika na hiyo fursa.

Acha kuandika History of the Victory.
 
Ukiandika ya kwako itafaa sana Fact hupingwa na fact sio kelele za Chura hizi.
 
Ukiandika ya kwako itafaa sana Fact hupingwa na fact sio kelele za Chura hizi.
Niwashawazoea hawa... wala sihangaiki nao!
Busara ilikuwa asubiri nimalize mada yangu kisha aanze kupinga kwa hoja sehemu kwa sehemu.

"Anasema nasubiri nione utakachoandika Kagame alipate comanding position ya RPA" utaona hapo tone ya sentesi yake anajiandaa kupinga kitu ambacho hata sijakiandika bado na hajui nitaandikaje.

Anaposema ati Museveni hakuudhuria Moshi Conference anatakiwa atueleze FRONASA iliwakilishwa na nani?? Au anataka kusema FRONASA hawakuudhuria Moshi Conference?? That will be a pure and total lie.

Anapoanza kuongelea role ya Rwigyema ndani ya RPF wakati hata bado hajaona nimeandika nini kuhusu kuibuka kwa RPF na role ya Kagame na Rwigyema and their stature inside RPF sio busara. Unapaswa kuiona hoja kisha ndio upinge sio unapinga kitu ambacho hata bado hujakiona nimeandikaje.

Anyways, naheshimu mawazo yake. Akili ni nywele...
 
Mkuu nimekuelewa sana na samahani kama nimekukera ila sometimes napata jazba napoona mambo yanapotoshwa sikufurahi kuona wanaleta uongo kwamba waliouawa na kutupwa river kagera wana pua za kitutsi!!! Ilihali wengi tumepoteza ndugu jamaa na marafiki waliokuwa pure HUTUS inauma sana kwamba Rwandan Genocide imegeuzwa kuwa Tutsi genocide ilihali wote tunajua toka RPF iingie Rwanda 1992 mpaka wanaenda mpindua habyarimana na baadae mobutu kule congo walikufa wahutu zaidi ya million 2 mpaka vita ile inaisha 2003 but no one anawaongelea?? Inauma sana kwakweli

Lakini kama ulivyosema Mungu wa haki atawashindia wanyarwanda walioathirika..... Basi tuendelee kuamini hivyo kuwa amani na upendo utatamalaki na haya yaliyotokea yatasahaulika

Ahsante
mhn! kusahaulika ngumu kwakweli naona siku zijazo kunaweza kuwa na kisasi kwa kuwa mazingira siku zote yanapendelea upande mmoja mpaka sasa.
 
Kama wew ni mtanzania usiye na asili ya kihutu wala kitusi hafu upo jf kubishana uhutu na utusi ni mpuuzi

Nahisi wote mnaotukanana humu sio Tanzania natives
 
mhn! kusahaulika ngumu kwakweli naona siku zijazo kunaweza kuwa na kisasi kwa kuwa mazingira siku zote yanapendelea upande mmoja mpaka sasa.
Ni kweli mkuu kuna watu bado wanauchungu sana muda huo huo bado wanaendelea kuburuzwa yaani sababu zilizopelekea vita ya 1992-97 hazijashughulikiwa hivyo hasira bado zipo ila all in all tuwaombee tu Mungu awape moyo wa kusahau mauaji yale na waishi kwa amani

Long live East Africa community
 
Kama wew ni mtanzania usiye na asili ya kihutu wala kitusi hafu upo jf kubishana uhutu na utusi ni mpuuzi

Nahisi wote mnaotukanana humu sio Tanzania natives
Hili ni jukwaa huru mkuu na mada inahusu Ututsi na uhutu sasa unataka hata hao unaosema WANATUKANA wajadili CCM Vs Chadema wakati sio uzi husika???

As long as wapo ndani ya mada wana uhuru wa kuchangia kuhusu watutsi na wahutu haijalishi ni wanyarwanda au sio

JF where we dare to talk openly
 
Unaposimama kama mtanzania kubishana na watu wa mataifa mengine kumbuka watu watakutambua kama mtanzania unayewakilisha mawazo ya baadhi ya watanzania wenzako kwaiyo usije fanya watz tukaonekana wa hovyo

Play smart
 
Kama unaasili yakihutu simamia uhutu kutema yongo zako usitumie kivuli cha utanzania
 
Back
Top Bottom