Historia ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda: Kilio Cha Mifereji ya Damu iendayo Ethiopia

Shukrani chief
Aisee kila wakati nachungulia kama sehemu ya tano imekuja nawait ile ya Vita ya Kagera kwa hamu kubwa, mkuu bado zile operation hazikuisha.. BARRAS ilkuwa amazing vijana wanamapinduzi, "Freedom fights" walivyopotezwa ndani ya muda mchache...
Nataman nipate wasaa nisome ile CIVIL WAR ya Sierra Leone kwan google naona kama walidonoa, nafikiri n kwa sababu za maadili....
My intake andika vtabu vya makala zako utauza mno...
 
Sehemu ya Tano tayari chief... iko post # 536... pia nimeweka link yale pale post # 1
 
the bold kwenye ubora wako.... uko na kipaji kikubwa sana, na umejijengea heshima kubwa sana hapa JF... hongera kwa kazi nzuri maana unasoma sana, unakompaili pia unatafsiri kisha unaandika , sio kazi ndogo....
 
Back
Top Bottom