Historia ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda: Kilio Cha Mifereji ya Damu iendayo Ethiopia

Historia ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda: Kilio Cha Mifereji ya Damu iendayo Ethiopia

Ahsante mkuu..
Nimefuatilia sana muvi zinazo onesha jinsi ilivyokua na Documentary..
Hua nawaza inakuaje mtu unainua upanga na kuupiga kwenye kichwa cha mwenzio.? Au shingo ya mwenzio.? Hii ni roho ya ushetani kabisa.

Mungu atujalie upendo na Amani Tanzania & EA kwa ujumla..
Fantasia

Ndio maana ile nchi hawataki kuskia siasa wala upuuzi na ndo mana yule dada kaswekwa ndan wakijua anatumiwa mana bado wana vidonda vikubwa sana
 
Historia ni elimu pana sana.
Siku moja utuletee WATAITA VS WAPARE
 
Back
Top Bottom