Mie ni mtanzania wa huko mwisho wa reli na sijawahi kuwa mhutu ila nmeshasema nmepoteza jamaa kibao ndio maana nafuatilia hizi mada sasa wewe unayesema sina facts nimeshaleta facts hapa twende taratibu
1.kwamba Rwanda population ilikuwa less than 5 million kabla ya genocide kuanza maana wengine walishaanza kukimbia vita ya RPF kuvamia rwanda...
2. takwimu zinasema tutsi were 15% na hata The bold kahakiki hilo sasa najiuliza sasa 15% ya 5 million ni ngapi??
3. Tunapata almost laki 7 sasa jiulize kulikuwa na survivors zaidi ya laki 3 wa kitutsi baada ya vita.... Ina maana walikufa kati ya laki mbili hadi 4
4.jiulize sasa kma death toll ni million 1 je hao laki 6 ni kabila gani
Basi tufanye wote 15% walikufa ambao ni laki 7..... Ina maana walikufa wahutu laki 4 si ndio?? Maana total deaths ilikuwa 1,070,000 je hapo mnatumia basis gani kuita tutsi genocide ilihali kuna wahutu laki 4 wamekufa???
Je sasa hivi imekuwaje Tutsi bado wako zaidi ya million 1 nchini rwanda??? Wametokea wapi hao wa tutsi wanaoishi rwanda sahivi ambao kwa statistics hata za wikipedia tu au CIA factbook zinaonyesha wako zaidi ya million mmoja au kwa mawazo yako watu laki 1 mnaodai walisurvive wanaweza zaa million moja ndani ya miaka 20?? Ilihali wahutu growth yao ni ile ile 2.5% mpaka leo lakini watutsi eti population growth yao iwe 100% kila mwaka!!! Si ingekuwa rekodi ya dunia???
Funny