Historia ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda: Kilio Cha Mifereji ya Damu iendayo Ethiopia

Hili ni jukwaa ambapo unaweza kusuuza utando machoni kwa kutojuwa undani Wa mambo,na Nina imani jukwaani kuna watu waliobobea kwa ujuzi na weledi
 
Mkiua kwa upanga mtakufa kwa upanga sasa ulitaka mlipokimbilia mapori ya Congo tuwaachie tu na huku mmeshaua ndugu zetu? kwa taarifa yako hatujamaliza tutawafuata popote mlipo ndani ya dunia hii, we are born rulers!
Mambo haya ndio yanayochochea machafuko
 
Ukiandika ya kwako itafaa sana Fact hupingwa na fact sio kelele za Chura hizi.
Nakerwa sana na tabia ya mtu kusema eti fulani kasema uongo na huku yeye hasemi huo ukweli?

Na siku zote walikua wapi kuusema huo ukweli aujuao,aki tokea the bold akandika ndo wanatoka shimoni.

Ndo yaleyale ya kututengezea video ya kagera inayo onyesha sisi tunavyo shambulia tu adui.zama za kudanganyana vimepita
 
Mkuu kwanza hongera kwa kustahimili kifungo.pili hao ndo wazalendo wenyewe walobaki.

Hasemi anachojua anabakia kupinga tuu.
 
Mkuu,tumewaza sawasawa.kumbe haya mambo ya kuzuia mikutano ya hadhara ya kisiasa kwa kisingizio cha watu kuchapa kazi yana asili yake.
 
Acha uong mnaachoombea hakitakuja tokea nyie mbuz mikia Rwanda yasogea mbele nyie bakieni na Ccm yenu mpaka iwakamue dam PROUDLY RWANDESE.
Unaongea sana ila huo ni ukweli hata ww uko mguu pande mja ndani mwingine nje,kitatokea tu kwani huyo PK akisepa make anafanya Yale Yale ya akina hybiarimana,mapovu hayo hayatabadili huo ukweli mumelaaniwa kwa damu nyie sio bure
 
Usimuani mnyarwanda hata Siku moja,ni watu ambao ukifika kwao wanapretend kuwa wana mapenzi ya dhati na wanapendana sana lakini unafki mtupu ,ni wanyama Sana'a jamaa nilichokishuhudia 1994 Rwanda sina hamu nao si TUsi wa HUtu ni wakatili Sana'a bora Watwa.
 
Alwys History written by victors
 
Me sishabikii upande but wanaweza jitetea kwamba wao walikuwa wanajihami kujitetea jamii yao isitoweke so in the course of defending themselves wakawaua hao wahutu waliojaribu kuwatokomeza so for this matter wa naona wanahaki ya kusema genocide against Tutsi coz they were the target
 
Heshima yako mkuu na una hoja nzito sana shida inakuja kwamba Rwanda ilikuwa na amani kabla ya RPF kuwavamia 1990 hivyo nani hapo alikuwa anajihami kati ya wahutu na watutsi??

Kumbuka mwaka 1994 watutsi ndio walivamia rwanda upya kutaka kumng'oa habyarimana na unaambiwa walikuwa wameshapanga genocide yao wenyewe ya kuua muhutu yeyote mbele yao na nimeambatanisha ushahidi wa ushuhuda kule ICTR hivyo naweza kuconclude binafsi ya kwamba kwa kuwa watutsi ndio walivamia Rwanda tunaweza sema wahutu ndio waliojihami maana si ndio waliokuwa na serikali

Na mkuu huwezi jihami ukaua wahutu laki 8!! Ilihali nyie mmeuawa laki 2!! Lazima mna agenda ya siri ndio maana toka siku ndege inatunguliwa kagame aliwaambia tusonge mbele ikiwa na maana alijua sana kwamba vita inaanza rasmi hivyo ni sawa kusema watutsi ndio walipanga genocide ila wahutu walijihami dhidi ya mvamizi

Ahsante
 

Attachments

  • rwanda-soldier-testimony-ICTR.jpg
    58.7 KB · Views: 96
sorry mkuu unaweza kunipatia jina la hiki kitabu na namna ya kukipata
 
hii taarifa inanifanya nisome zaidi nashukuru sana ndugu
 
Kimsingi wahutu ndio wa kujilaumu,walikuwa underprivileged toka enzi za ukoloni,wakabebwa na wakatoliki kwenye elimu hadi wanapata utawala then wanachezea shilingi chooni wakati wametumikishwa miaka ya kutosha.Umbulula wao ndio umewafanya wapokwe madaraka ilhali wanajua silka ya maadui wao toka awali,wajilaumu wenyewe.
Arrogance tribalism ya Watutsi ni hatari kwa ustawi coz they can't compromise na wengine
 
Ukweli mchungu ...nia yao ilikuwa nzuri sana tu... walitaka amani ya kudumu ili wajenge nchi pamoja..kama nia yao ingekuwa mbaya bilashaka kuna neno zaidi ya genocide lingepatikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…