Historia ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda: Kilio Cha Mifereji ya Damu iendayo Ethiopia

Kama ulikuwa haujui human right watch hao hao Wana interest zao!! Kila kitu mpaka sasa wanaeneza propaganda!! Kuhusu kagame!! Nisaw na sasa human right watch waende kuhoji kuhusu serikali ya Tanzania wamuhoji tundu lisu!! Ataongea kila kitu against government hata kwa kuongopa!! Njoo rwanda ujionee usisubiri kusoma udaku wa human right watch!! Sasa kama ni muuaji kwa nini amekuwa kiongozi wa africa?????
 
Hivi wewe unajua Genocide against nyamurenge??? Waliuliwa burundi na Congo!! Mobutu alitoa hifadhi ndio ila still tuliendelea kunyanyasika!! Ndio maana Familia mojawapo walikwenda Canada Wengine walikwenda Tanzania sehemu ya mpanda wakapewa eneo na baba nyerere!! Wee endelea kusoma sisi tuliomo ndo tunajua historia yetu!!!
 
Kamwe hatutaogopa wala kushindwa na adui atokaye nje ila atakaye tushinda niyule atakaye toka within sisi!!! Unaongelea wa Congo man hao waliozaliwa na wahutu!! Ila jua kwamba hutu and tutsi is no more!! Propaganda zenu Za hizo mambo tushatupilia kule!! Kila mtu ni Sawa viongozi ni mchnganyiko
 
Makubaliano Yao ndo yaliyofanywa hivyo!!! Kuwa watutsi waachie wahutu ndo maana nkurunziza akawepo!! Walikubaliana kuwa muhutu akiwa raisi mtutsi awe waziri wake!! And vice versa!! Nkurunziza kagoma kuwaachia watutsi mbona umuongelei???
 
Makubaliano Yao ndo yaliyofanywa hivyo!!! Kuwa watutsi waachie wahutu ndo maana nkurunziza akawepo!! Walikubaliana kuwa muhutu akiwa raisi mtutsi awe waziri wake!! And vice versa!! Nkurunziza kagoma kuwaachia watutsi mbona umuongelei???

Ah hapo chachaa
 
Amekuwa kiongozi sababu nchi za afrika madikteta ndio hao hao wapiga kura ssa ulitegemea nkuruzinza kabila kagame bongo wakatae kiongozi wao kuwa kagame??

Zaidi ya hapo kiti ni rotational so sometimes hawana namna ndio maana hta some point mugabe pamoja na udikteta wake wote aliongoza AU!!! hivyo sio kigezo kwamba wwe sio muuaji au mtu mbaya

Kuhusu human rights watch hata kma wanaeneza propaganda ila wana statistics!! Kma makambi na makazi ya wahutu maelfu huko mashariki ya congo yamechomwa na watu kuchinjwa kma kuku je inakuwa propaganda?? Mbona sikuwahi ona kagame akipinga kwa takwimu zaidi alisema wanamsingizia tu!!!
 
Mkuu acha upotoshaji wanyamulenge hawajawahi kufanyiwa genocide zaidi ilikuwa ni vita ya kawaida tu sio genocide na haikuwa ya kwanza mbona walendu walipigana na wagegere kma vita tu ila huileti hapa vipi kuhusu wamushi?? Wakasai?? Hizo vita za kikabila za kugombea madaraka sio genocide

Ila naita hutu genocide sababu kagame alitoka rwanda akaja congo na jeshi akiwalenga wahutu kwenye makambi pekee na aliua na kuchoma ili kupoteza ushahidi wengine kutupwa lake kivu!! Hiyo ndio walichoita human rights watch GENOCIDE

Huoni ni tofauti na hiyo ya wanyamulenge ambao hata 2003 walichokoza wammushi huko bukavu ili watawale chini ya general mutebuzi wakaishia kuchinjwa!! Can u call that genocide or war???

Get real
 
Adui atokaye nje??? Kwani unafkiri wahutu waliopo congo na Tanzania sio wanyarwanda?? Mbona kagame kakulia uganda ila mnamtambua kma mnyarwanda??

Acha ubaguzi wale ni wanyarwanda na wana hasira sana kuporwa maisha na watutsi..... Wamekosa tu KAGAME wao wakuwaorganise kurudi kwao ila kwa wingi wao zaidi ya million 3 siku wakiamua kurudi kutokea congo tz na burundi trust me watutsi mtajuta kuzaliwa God forbid

3.Hutus and tutsi is still thr sababu nmesoma na wanyarwanda mkuu na nmeishi maziwa makuu chuki ipo sana tu na watutsi wanawadharau wahutu sana.... Hata kuoa hawataki kabisa... Kuna mmoja alioa mhutu nakumbuka familia ikamtenga alafu unasema hakuna uhutu na ututsi?? Njoo kigoma kuna sehemu inaitwa manyovu kuna vijiji vya nyarubanda na kalinzi huko kuna tutsi association kabisa huwa wanakutana kila jumapili kupeana briefings kuhusu mambo mbalimbali ssa kma hakuna uhutu na ututsi why wajitenge??

Shame on them
 
Makubaliano Yao ndo yaliyofanywa hivyo!!! Kuwa watutsi waachie wahutu ndo maana nkurunziza akawepo!! Walikubaliana kuwa muhutu akiwa raisi mtutsi awe waziri wake!! And vice versa!! Nkurunziza kagoma kuwaachia watutsi mbona umuongelei???
Mie naongelea UPRONA mkuu achana na nkuruzinza juzi juzi hapa naongelea enzi za Kina mwami mwambutsa!! Enzi za pierre buyoya..... Wahutu waliwaachia watutsi hata bila vita wala makubaliano ilikuwa 1992 nafkiri

Na hadi leo kuna viti bungeni viko reserved kwa watutsi as minorities....hiyo ni kabla hata nkuruzinza hajaingia kwenye siasa..... Hutus were lenient with you ila nyie mmegoma kabisa kuwaachia wahutu ambao ndio majority rwanda!!

Nkuruzinza hana haja ya kuwaachia nyie nchi si ya demokrasia mpige kura majority atashinda.... Ssa wahutu wako 85% kwanni wawaachie nyie minorities?? Hakujawahi kuwa na makubaliano ya hivyo usipotoshe watu humu
 
Kwa sababu uko nje ya nchi ndo maana unaongea saana ila ninachokuomba njoo ujionee Hizi nchi wanaoziandika wanaziandika vibaya.. watu wanataka maendeleo hawataki hizo maneno zenu!! Mnajua kujadili kwa kina nchi Za watu!! Kwasababu ya kusoma bila kujionea!!! Njoo nikutembeze ujionee wananchi unaosema kutoka Congo wakija home wanapewa nyumba Za kuishi ili waachanewaachane na kuishi porini
 
Kwanza jua maana ya Genocide through Google then tuendelee
 
Wewe unaongelea mambo ya mwaka gani??? Sasa Hivi Kuna ubumwe nubwiyunge huwezi kuvimaliza vyote but ukilinganisha from 1996 up to now people wanasamehe!! Wanaoana kwa sababu tushawasamehe walishatubu
 
Kwanza jua maana ya Genocide through Google then tuendelee
Ndio nasema congo hakujawahi kuwa na genocide dhidi ya wanyamulenge au banyarwanda.... Nachojua wanyamulenge walikuwa an rebel group na walipigana vita dhidi ya rebels wengine so haikuwa genocide usipotoshe ila ilikuwa bunduki kwa bunduki

Genocide pekee ni ya kagame kuchinja wahutu huko uvira takriban million 3 kutokea october 1994 mpaka february 2003
 
Jamani hivi watu wanapataga wapi ujasiri wa kuwachinja wenzao jamani[emoji24][emoji24][emoji24]...
au wameathirika kisaikolojia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…