princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
hapana hawa watu saikolojia yao haiko vyema .. ukijumlisha na majani...Hata hizi movie za Action nina wasiwasi nazo maana zinatia watu ujasiri
kwakweli hata mimi ningekua huko saikolojia yangu isingekua vizuri.... watu wa huko kuona maiti hawaoni ajabu,hasa iliyochinjwa au kukatwa katwa..
mwingine una shuhudia mzazi,mpendwa anachinjwa...hivi huyo mchinjaji ukikutana nae kwa anga zako humchinji kweli?
Hawa watu wamejeruhiwa fikra zao sana... Mungu awasaidie