Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thank you son kwa kunikumbusha... nilisahau kabisa.Heshima kwako mkuu HBA dad, sehemu ya 9&10 hazionekani pale font fedi ( kwa juu).Bila shaka watu hawajui kama ziko tayari .
Pili Mwambie Nifah sio kwa kutususia huko jamani,
JestikilaKagame The mastermind.
King of The Kings in the World.Mtuacheeeee.
Kwa mara nyingine tena Asante The bold.
Huyo mshamba sio muha ni interahamwe ambao wakifika bongo wanajiita waha wako wengi tu tunawajua wengine wamekimbia familia zao eti wameenda chimbo ili kumng'oa kagameSijawaipoteze ndugu kwa vita ya Rwanda wewe muha wa kigoma punguza ushamba uko mjini lakin bado mpumbavu Proudly Rwandese.
Man wewe inaonekana uko paranoid na kichwani umejaa mapicha mmemtoa kagame madarakaniMkuu ni hivi watutsi baada ya kutandikwa mwaka 1957-59 wakakimbilia ugenini sasa wakataka kurudi rwanda kwa mabavu..... Na ndio shida hiyo hivyo walivyorudi rwanda ndio wakaanza kuua wahutu na hapo ndipo wahutu wakajua watutsi wanataka kuwatawala tena ndio maana nao wakajibu mapigo kwa kuanza kuwachinja na nimesema wazi hata kule ICTR watutsi walikiri waliagizwa na kagame kuchinja wahutu wote watakaokutana nao na nmeshattach hapa hyo confession
2. Kweli ni wanyarwanda ila mbona wahutu waliopo congo mnawabana wasirudi na silaha mnataka waweke chini waje kma raia ilihali nyie hamkurudi as civilians ila mlirudi kama jeshi..... Hilo ndio lilipelekea genocide afterall mazungumzo ya Arusha waliwapa ruhusa mrudi kma raia lakini ghafla mkaja na masilaha na kuanza vita sasa ulitegemea wahutu wawachekee chekee
NB: najua ulikuwa hujazaliwa ila mziki wa wahutu usingeuweza na hata leo wamewazidi number sema tu wamekosa kiongozi..... Ila siku wakipata viongozi mtanyooshwa zaidi ya 1994
Jestikila
Naona safari hii umedumu sana bila ban. Endelea hivi japo wanakuchokoza sana naona hahahaha
Nimekumiss..
Jestikila
Naona safari hii umedumu sana bila ban. Endelea hivi japo wanakuchokoza sana naona hahahaha
Nimekumiss..
Pamoja sana dad,mpe hi bi mdanga,huwa nina refresh hii nyuzi kila ninapopata nafasiThank you son kwa kunikumbusha... nilisahau kabisa.
Dah bimkubwa wako Nifah tusubiri kidogo aisee... bado hajatulia kupata muda wa kuingia humu. But atarudi tu kabla ya March
Wakuu heshima
Tukubali tukatae Kagema was and is ahead of his time.Jamaa ana uwezo mkubwa sana wa kufikiria.It takes a certain type of lebel leader to topple a government ambayo ina silaha za Kila aina at its disposal, best quote kutoka kwa Kagame niliwahi ipata sehemu akiwa bado msituni alisema " suala sio uzuri wa silaha gani adui yako anayo,suala ni je mtu anayoioperate anajua kwanini anapigana" ,Ukiangalia RPF walijua hasa ni sababu gani wanapigana,bila shaka PK aliwajenga kisaikolojia hasa
Hata utoe na damu zao hatuwezi kukuelewa!! Je kama walilipwa ili waweze kutoa ushahidi wa uongo!! Wewe endelea kusoma tuu akimaliza nawewe anzisha thread yako ili tuende sambamba!! Zitto junior mbona mzito kweli usitake kuwa mzito kama Jina lakoMkuu acha kujitoa ufaham nimeweka mpaka video ya Rwanda genocide of Tutsis against hutu in Rwanda na hata nimeweka hapo juu link ya genocide ya watutsi kuua wahutu na hapa chini naattach tena moja ya testimonies kule ICTR juu ya RPF kutoa order ya kuchinja wahutu wote
Hizi zote ni drama Dada angu!! Jiulize kwanini walibase kwenye upande mmoja wa kuhoji wahutu?? Ndugu zangu walichomewa nyumba mwaka 1959 wakakimbilia Congo!! Ila bado walifatwa na serikali iliyokuwepo kipindi hicho ili iangamize watutsi wote!! Ila tunamshukuru nyerere kwa kutupa hifadhi tanzaniaIla jamani.. yote kwa yote hawa watu wasirudi tena 1994 it was very very sad.....
waishi kwa amani tu....
maana mtiririko wa nakala unaonyesha jinsi gani...kisasi kilivyojitengeneza hata sasa ...hata mm kama binadamu wa kawaida lazima ningejawa fundo moyoni...
jana nmeangalia testmony ...jamani it was very sad[emoji24][emoji24][emoji24]kuna dada alishuhudia mama ake akikatwa mapanga... jamani ....si ndio visasi vinakoanza hapo..
Ila tu Mungu awasimamie ...waachane nayo waendelee kuunda Rwanda mpya
Wamelipwa kwahiyo human rights watch wamelipwa??? Transparency international wamelipwa?? UN wamelipwa?? Maana wote wametoa ripoti kuwa RPF walifanya Hutu genocide walipopindua serikali ya habyarimana sasa nikuamini wwe ama wao??Hata utoe na damu zao hatuwezi kukuelewa!! Je kama walilipwa ili waweze kutoa ushahidi wa uongo!! Wewe endelea kusoma tuu akimaliza nawewe anzisha thread yako ili tuende sambamba!! Zitto junior mbona mzito kweli usitake kuwa mzito kama Jina lako
No more hutu and tutsi in rwanda!! We are all rwandese so utasubiri saana kuona hivyo vituuu. [HASHTAG]#tunasemaga[/HASHTAG] never again Genocide against tutsi#Ww bwabwaja tu, akitoka kagame apo mtanyea debe, hayo mahutu yamevunga tu, lkn hasira yao inatokota.
Hatupendi yawakute tena hayo maana sio mazuri.
Mkuu acha uongo mbona mobutu alipoingia aliwapa hifadhi watutsi huko DRC!! Wanyamulenge na wahema na wagegere mbona wanaishi kwa amani congo DRC tokea enzi za mobutu na aliwapa unconditional hifadhi na aliwalinda na akawaweka serikalini na jeshini!!! Leo hii ndio mnasingizia wahutu waliwaua mkiwa congo???Hizi zote ni drama Dada angu!! Jiulize kwanini walibase kwenye upande mmoja wa kuhoji wahutu?? Ndugu zangu walichomewa nyumba mwaka 1959 wakakimbilia Congo!! Ila bado walifatwa na serikali iliyokuwepo kipindi hicho ili iangamize watutsi wote!! Ila tunamshukuru nyerere kwa kutupa hifadhi tanzania
Mkuu kuna wahutu wanazidi million 3 nliwakuta uvira hadi idjwi huko DRC wanaapa watalipa kisasi na kumtoa kagame na watutsi serikalini tena wanaongea na mapovu yanawatoka sasa unaposema hakuna uhutu au ututsi ilihali bado sababu zilizopelekea vita ya 1994 zipo tukueleweje?? At least mpeni mhutu urais just 5 years waridhike ila kuendelea kuwatawala kimabavu haitowasaidia loloteNo more hutu and tutsi in rwanda!! We are all rwandese so utasubiri saana kuona hivyo vituuu. [HASHTAG]#tunasemaga[/HASHTAG] never again Genocide against tutsi#
Sina shida ya kagame kutoka madarakani maana kiukweli kaleta maendeleo makubwa sana Rwanda na kiongozi wa kuigwa mfano jinsi alivyozima mapigano na nchi kusonga mbele however changamoto aliyonayo ni kujenga usawa.... Wahutu wanakandamizwa sana hivyo hata asipotoka ila akiweza kuweka usawa kati ya wahutu na watutsi basi mambo yatakuwa vizuri na Rwanda itakuwa moja kma burundi ilivyoMan wewe inaonekana uko paranoid na kichwani umejaa mapicha mmemtoa kagame madarakani