Historia ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda: Kilio Cha Mifereji ya Damu iendayo Ethiopia

Jf is full of brainless Clowns these days .The era of great thinkers has long gone. Honestly it is so boring ......................

It is all about yelling & screaming to one another like godamn imbeciles .Pure shits on fleak...............
 
Mungu akulinde uvisikie kw engine!! Kuwa na huruma maana Ndugu zetu wameuliwa!! Unaposema hivyo unatukosea heshima
Tatizo mwenzenu anajitoa ufahamu. hata sisi tuna nyongo mkuu..

Samahani sana kwa kukuumiza, ila ni kwamba wote tunaoshiriki huu uzi tumeguswa na ndio maana tuko hapa hatuko MMU wala popote mkuu
 
Sio maneno hayo Ndugu zetu!! We are all EA!! Au kindness na politeness ya kitanzania hamna siku hizi
Mkuu ukitaka tuache kuongea maneno mabaya
mwambie nduguyo aache kutu attack na maneno ya ajabu ajabu..

sisi ni WaTz ,ni watu rafiki sana... ndio maana hukuti tuna mambo ya ajabu ajabu ...
tunaguswa na tatizo lenu la genocide na ndio maana tuko hapa leo tunajadili....
hata ukifatilia comment zangu kabla sijaanza mabishano ,nilisema sitamani kuona mkirudi huko it was very sad[emoji26]....
Sio vizuri ariana
 
Tatizo mwenzenu anajitoa ufahamu. hata sisi tuna nyongo mkuu..

Samahani sana kwa kukuumiza, ila ni kwamba wote tunaoshiriki huu uzi tumeguswa na ndio maana tuko hapa hatuko MMU wala popote mkuu

Kumbe mda ule ilikua ni shida [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 



Mkuu

Thanks so much for being honest!
 
Mimi ni mchagga ila it does not take any rocket science kujua kabisa Wahutu wanaonewa!

Watutsi mna matatizo yenu,inajionesha wazi kabisa!

Wengi wenu mnaskia Stori halafu Rwanda sasa hiv hakuna cha watus wala wahutu watu wanaishi kwa Amani tele subirini The bold amalize Stori ingekua hakuna Amani msingepanda Ndege za Rwandair kupelekwa ulaya na nchi mbali mbali za Kiafrica.Proudly Rwandese
 
Labda kama atakua anagonga mbao ni sawa nchi ile atamaliza,Mwanaume Wa Dar kaoa Kigali.yaani katoka Dsm-kigali zaidi ya kilomita 1500 kusaka mke sababu n bachelor mzoefu akaona wacha aende kigali kwa watoto wazuri sana.
Nafasi kama hii alipata yule katauti kwa uwoya akaishia kuliwa pesa na kuachwa(r.i.p) mpaka dogo janja sasa kama wanaume wa kigali wanapata nafasi wanaishia kupigwa chini tufanyeje kama sio kumtuma kijana AY agonge sana

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
 
Umeyataka mbuz wewe unajua nimekuja kucheka na mbwa hapa uliza wenzio humu au pitia replies zangu sinaga simile na mtu. We ulielelewa kwenye Amani una nini zaidi ya kupoteza muda duniani na kumaliza Oxygen.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
naona umeshindwa umeamua kutukana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
sasa na wewe ulielelewa vitani unafanya nini zaidi ya kutukana Jf?
hasira za kukatwa mapanga usimmalizie kila mtu.... [emoji23][emoji23][emoji23]genocide haikuwahi kumwacha inyezi salama.....
 
Mungu akulinde uvisikie kw engine!! Kuwa na huruma maana Ndugu zetu wameuliwa!! Unaposema hivyo unatukosea heshima
Ukweli huyu Jestila amenifanya nimeongea vitu vigum sana maana wanyarwanda nimeishi nao kwa mwaka mzima kifupi kutoka 1994 mpaka sasa wengi wao bado wanalia sana na huwa sipendi kuwasemea matatizo ila haka ngoja nikanyooshe kidogo japo naumia nikikumbuka nilivyoishi nao na kuwasaidia sana pale ilipobidi

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
 

Ongea ongea maneno hayaumi kama nyoka we tema povu tu Rwanda inasonga mbele endelea kua na huruma tuone utafika wapi na Rwanda itafika wapi wewe ni 0.0000000001 kwa idad ya Rwandese huna effect yoyote halafu sehem yenyewe et hapa Jamii forums
 
Tatizo mwenzenu anajitoa ufahamu. hata sisi tuna nyongo mkuu..

Samahani sana kwa kukuumiza, ila ni kwamba wote tunaoshiriki huu uzi tumeguswa na ndio maana tuko hapa hatuko MMU wala popote mkuu
Kwa ninavyowajua wanyarwanda haka kasichana najua kalipo kanaandika kanalia ila ndio kafanyeje maana hata kenyewe kurudi kwenye hiyo nchi ni ndoto niliwaona wakiumia sana bila msaada ndio maana siku naondoka yule dada alikubali kuja kuishi nami kwa shida na raha maana wengi walitamani kurudi kwao ila namna hawana wanaogopa kuliko ugenini ugenini tu ni huruma na nasema tena ni huruma maneno makali anayotumia ni ishara ya uchungu mkubwa alio nao

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
 
Nakuelewa sana kimsingi we ni mzalendo

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu unaona ulivyowazidi akili hapo maana najua lazima umewazidi maana mi nimepiga nao kazi mwaka mzima kila wakati nilikuwa mfanyakazi bora huwa nashangaa wakijiita wajanja wakati ni mburula walalamishi wa kwanza nilipoanza nikaju niko na watu makini sana kumbe weuuuuuuuuupe!!!!!

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
 

Eti mfanyakazi bora hii leo umepata kipi cha zaidi kama sio kusifiwa na bosi wa kihindi wenzio tunafanya kazi wa strategy sio unafanya kazi ili mradi tu ndio maana wakawa wanakushangaa Unajisifia Kufanya kazi kwa wahindi nikajua labda Una investment zako za maana na una own more than $100k kwa akaunti.lakini watanzania mnaongoza kufanya kaz kwa ujira mdogo huku mkijipendekeza kwa mabos hua naona sana ofisi ya Dsm kule mpo hivo hivo sasa mzee hua anawaangalia tu anacheka.
 
Ila we demu unanifata fata ....
panga la kichwa nahisi lilikutoa ufahamu
Yah wengi wao ni vichaa ila siwalaum maana unaona ndugu yako anachinjwa mbele yako unaona mdogo wako anapigizwa ukutani kichwa kinapasuka sasa hapo akili inatoka wapi kwa hiyo wengi wao ni vichaa ila ndio hivyo tuwavumilie

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
 
Rudi kwenye ID yako ya zamani hii Parody tumeichoka [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]bora kukulia vitani ila sio kwa bibi maana hu mda mama alikosa kukulea jiulize alikua wapi.
Hahahahaha hii ndio ID yangu siku zote since 2016...

unajua kukulia vitani kubaya sana, mara umekimbia na gobole mara umepigwa mtungo na interahamwe ,hujakaa vizuri mara umekalia miba, ukigeuka mara panga la kichwa

hayo matukio hayawezi kukuacha ukawa binadamu salama[emoji23][emoji23][emoji23] lazima patokee product kama yako ...mende hawajawahi kuwa na akili hata sikumoja..
 

Nyie nchi yenu miaka 50 mpo mpo mnadhani Siasa itawaletea maziwa na asali hii leo mnadanganywa kwa kiji njia cha pale Tazara et megastructure kiji airport chato [emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…