uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 9,616
- 22,521
Afu hao mama wanatulea baadae tunawalea maisha muruaaaaaaaaaa[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji123]mimi nmelelewa na mama...mpaka leo ninae kwasababu huku mapanga hayatumiki kwa kazi -hasi[emoji23]
hatutegemei wanyama kuishi mama....ndio maana unaona watu tuko places hatufanyi harambee ya kuchangia utalii ili tule,tuishi[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]