Historia ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda: Kilio Cha Mifereji ya Damu iendayo Ethiopia

Mimi hapa , chukulia ni Mbondei. Sielewi sijui inaweza tokea tokea vipi nichukue panga nianze kumchinja msambaa au mpare au mnyaturu, kisa Eti kabila lake. Hawa watu ni machizi. Na hawana hata aibu wanajibaraguza hapa
Hawa so called watutsi wanajua wenyewe walichowafanya wahutu mpaka kikawapa ujasiri wa kuamua liwalo na liwe... inaonekana ni vitendo vya hovyo sana...
 
O

Of coz ni upuuz maana kote kwenye kita Africa hicho ndo chanzo lakn hili jambo ni la kuzaliwa nalo so n mgumu kuepuka,sio tu Africa ila jamii nyingi duniani ziko hivyo ila tunaxhozidiwa ni kiwango cha ustaarabu na kuvumiliana

Sio jambo la kuzaliwa nalo hilo. Haya ni mambo ya kufundishwa tangia ukiwa mdogo. Yaani ukiwa mdogo unaanza kufundishwa na kuelekezwa kuwa wew au nyie ni bora kuliko wengine na unapewa sababu Fulani. Unakua ukiendelea kuaminishwa hivyo.

Nataman ningeenda Rwanda au Burundi nikakae huko mitaani kwao nione wanavyoishi katika familia zao. Wanahusianaje huko mitaani? Naamini wahutu kwa watutsi wanakaa mitaani pamona, ni majirani. Sasa inakuwaje mpaka watu wa pande hizi mbili wanakua mpaka kuonana kama maadui? Ni jinsi gani wana interact huko kwenye makazi yao?

Wanaishi kama sisi tunavyoishi huku mitaani kwetu? Wanazika pamoja? Wanasherehekea pamoja? Wao wanaishije? Rwanda kama nchi Ndogo naamini hakuna makazi tofauti kwa wahutu na watutsi. Wote wamejichanganya, ni majirani. Wanaingiliana kwenye makazi yao? Sipati Picha Mimi ni kijana wa kiume wa kihutu nna miaka 22 hivi na jiran kuna binti mtutsi wa rika langu. Itokee ni mpenzi wangu halafu Eti kutokee rabsha wazazi wangu wachukue mapanga waanze kuwafyeka wazazi wa mpenz wangu
 
Bold shusha ya 11 mzee baba... Huu uzi umearibiwa na watoto waliojiunga jf juzi yaani ni matusi kila peji, hakuna hata elimu muendelezo au mabishano ya fact, ni ujinga na kutukanana vitu personal.

Aisee nyie wapumbavu tunaomba mjiheshimu basi, hili ni jukwaa la intelijensia, ni dhambi kubwa kuleta matusi na kutukanana nyinyi kwa nyinyi, mnakera sanaa, kwani hamuwezi tu kusoma kimya kimya na mka kaa nalo moyoni tu? Au ndio uhutu na utusi unawasumbua mnashindwa kujibana basi mnatumia mgongo wa uTanzania while ur not au kisa mnajua kiswahili? Acheni upumbavu bhana, mnatuaribia jukwaa hili, na hasa sisi wakongwe wa humu tunajiskia kuchukizwa sanaa na majibizano yenu ya kijinga, msituaribie uzi, tubishane kisayansi na kiintelijensia kama jukwaa linavyotutaka. Pumbavu sanaa.
 
Kwani ni huko tu,Ireland Kaskazini,Myanmar, Israel,Palestine,Sudan Kusini,Somalia nk,,sehem kubwa ya jamii hapa duniani ziko na hizo itikadi za kikabila au dini
 
Kwani ni huko tu,Ireland Kaskazini,Myanmar, Israel,Palestine,Sudan Kusini,Somalia nk,,sehem kubwa ya jamii hapa duniani ziko na hizo itikadi za kikabila au dini
That shouldn't be the case or an excuse for us to live like this , discrimination and superiority complex in terms of religion , ethnicity, race , nationality etc is an evil act and no body should be proud of it ...........................

We should change for the sake of true justice , progress and peace .No peace and stability if there is no equality and fair treatment to all .........................

Hate of these Hutus will never be wiped out if there is no deliberately efforts to bring them close to the National Cake .And trust me , it is the matter of time before they reunite together and proclaim what they beleive used to be theirs with swift vangeance ........

History has it's peculiar way of repeating itself my friends .So these biased & ethnic superiority inclined Tutsis shouldn't deceive themselves , Mark my words they will regret each and every moment of it . This is the time ticking bomb ......................

Equality and fair treatment to all people is the final cure for hate ...
................
 
Kama ulivyoelezea tokea awali ni kwamba now days hakuna hutu wala tutsi tunaishi sehemu moja tunasali kwa pamoja tunasherehekea kwa pamoja!! Harusi tunafanya tunaitana!! Mpira tunacheza wote!! Hii Zana ya watutsi na wahutu ililetwa na wazungu ili waweze kututawala vizuri!! Ukija hapa ndo utaamini kwamba yanayoongelewa ni utumbo mtupu na wapinga maendeleo!!
Kuanzia mwaka 1996 nchi ilikuwa bado unstable ukabila ulikuwa bado upo ila up to 24 years after Genocide kila mtu a najiona saw na mwenzie!! Watu wanaoana watutsi na wahutu hakuna shida!! Vingine ni propaganda Za walioko nje
 
Mkuu ni kitu cha ajabu sana maana hawa jamaa wanaongea lugha moja, na zaidi ya asilimia 80 ni dhehebu moja Wakatoliki, lkn bado wanaishi kwa chuki.
 

Kaka umetisha mzee umetelezea mlemle nilipokua nataka kujengea hoja.
 
Chanzo ni wabelgiji kuwajaza ujinga watutsi kwamba kwakuwa wana pua ndefu basi ni bora kuliko wahutu, they got what was coming to them.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…