princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
Hawa so called watutsi wanajua wenyewe walichowafanya wahutu mpaka kikawapa ujasiri wa kuamua liwalo na liwe... inaonekana ni vitendo vya hovyo sana...Mimi hapa , chukulia ni Mbondei. Sielewi sijui inaweza tokea tokea vipi nichukue panga nianze kumchinja msambaa au mpare au mnyaturu, kisa Eti kabila lake. Hawa watu ni machizi. Na hawana hata aibu wanajibaraguza hapa