Historia ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda: Kilio Cha Mifereji ya Damu iendayo Ethiopia

Kwahiyo ulitaka watulie wafe wote bila kujitetea ndo uwaone sio wauaji?
Sasa kwanini muiite Tutsi genocide ilihali it was tit for tat..... According to UN reports tutsi survivors mlikuwa 300,000 na official census mlikuwa 700,000 by october 1993

Sasa jiulize 1 million deaths - 400,000 Tutsis = 600,000 .... Je hawa waliobaki ni kabila gani kma sio wahutu?? Na je kama ni wahutu kwanni hamuwakumbuki ila mnawakumbuka watutsi pekee
 
Huyo mcanada alikuwa kibaraka wa wamarekani alikuwa anagawa silaha kwa RPF kwa siri ili kung'oa chama cha wahutu madarakani sababu walikuwa wakomunisti kwahiyo usimuamini kabisa ni mhuni tu na yeye

https://www.google.com/amp/s/www.gl...s-behind-the-1994-rwanda-genocide/5406344/amp
 
Kwahiyo ili tutsi genocide ulitaka waishe wote ndo uridhike? yani roho inakuuma kuwepo survivors wa mauaji yenu?
 
Kwahiyo ili tutsi genocide ulitaka waishe wote ndo uridhike? yani roho inakuuma kuwepo survivors wa mauaji yenu?
Hapana msiishe wote ila muiite RWANDA GENOCIDE full stop na msiite Genocide against Hutu ilihali tunajua hutus 700,000 perished during the civil war sasa hao nani atawakumbuka vifo vyao

Kma genocide ni mauaji ya kulenga jamii flani kuna shahidi nyingi tu hasa za HRW na ICTR kuprove RPF ordered genocide of more than 200,000 Hutus sasa hao kwanini mnawapotezea???

Nachotaka ni usawa that's all
 
Kwahiyo dunia nzima haijui kilichotokea rwanda ila ww tu na ndugu zako ndo mnajua kuwa wahutu walikufa wengi! Na kama walikua wauaji ulitaka wafanywe nn zaidi ya kifo?
 
Kwahiyo dunia nzima haijui kilichotokea rwanda ila ww tu na ndugu zako ndo mnajua kuwa wahutu walikufa wengi! Na kama walikua wauaji ulitaka wafanywe nn zaidi ya kifo?
Sio dunia nzima ila marekani anachoamua ukijue ndio utakijua ila marekani akificha hutokaa ujue.... Ila baada ya BBC kutoa documentary dunia nzima sasa imejua kuwa RPF ilishiriki genocide

Pia watafiti waliopewa tender na ICTR maprofessor wa social science kina davenport na miller walivujisha ripoti yao ambayo baada ya kugundua ushiriki wa RPF walitimuliwa ICTR maana walijua kagame mwenyewe atakuwa na kesi ya kujibu hao nao wamefanya dunia nzima pia ijue ukweli

Sio hao tu bali mahakama mbili moja ufaransa na nyingine hispania zilifanya tafiti kwa miaka 8 na matokeo yametoka juzi kati kwamba RPF ndio walitungua ndege ya habyarimana na kwamba ndio walianzisha genocide hivyo wametoa arrest warrants 8 kwa viongozi wa then RPF na kesi imeshafunguliwa

Ukweli huwa unachukua miaka mingi kujulikana ila ukishajitokeza huwa uongo unajitenga....

Anyway ngoja niishie hapa nisichafue uzi wa the Bold namheshimu sana
 
Endeleeni kusubilia hio so called ukweli mean while Rwanda inasonga mbele, maendeleo yaliyoletwa na RPF kwa miaka 18 yalishindikana kwq miaka zaidi ya 50
 
Uzi umefika patamu sasa tunaenda April 1994,wakristu hapo huwa tunasema 'hapo sasa mkristu shika moyo'
Jamani naombeni sana tuvumiliane na kama inawezekana Kila mtu atoe maoni yake bila kumuoffend mtu mwingine,kama una ukweli wako uweke hapa bila kumattack mtu mwingine,kuna Watusi wabaya na kuna watusi wazuri wengi tuu,kuna wahutu wabaya na kuna wahutu wazuri tuu hadi wengine waliwaficha Watusi kwny nyumba zao wakati wa mahuaji,vile kuna watanzania wazuri na kuna wachache wabaya hata wengine wanaua albino. Point yangu tusijudge kundi zima la watu kwa kutumia mtu mmoja au kikundi cha wachache.
 
Sio kwamba nae hajui?anyway tumuache aendelee tuone,ila mpk hapa PK na RPF ni washindi wa kila kitu
 
Endeleeni kusubilia hio so called ukweli mean while Rwanda inasonga mbele, maendeleo yaliyoletwa na RPF kwa miaka 18 yalishindikana kwq miaka zaidi ya 50
Sawa mkuu si kagame ataishi milele hivyo ukweli hautojulikana !!!
 
hapana....
Fact : Wote walishiriki genocide... na ilikua kwa pande zote Hutu & Tutsi

sio Tutsi pekee
Inamaana ww una fact nyingi kuliko UN na jumuia za kimataifa wanaoita Tutsi genocide au ndo unasukumwa na chuki zenu za kikabila? Ushauri wangu kulalamika mitandaoni hakutasaidia rudini Rwanda muungane na kagame kujenga nchi
 
Inamaana ww una fact nyingi kuliko UN na jumuia za kimataifa wanaoita Tutsi genocide au ndo unasukumwa na chuki zenu za kikabila? Ushauri wangu kulalamika mitandaoni hakutasaidia rudini Rwanda muungane na kagame kujenga nchi
UN ni akina mpaka waaminiwe hivyo?
aren't they white peoples?

em kusanyeni watu wa pande zote mbili wapewe haki ya kuongea ,tuone nini hasa kilitokea ...
kwann mnaelemea upande mmoja?
mimi sio mnyarwanda ,mm ni Mtanzania halisi Mzanaki...
nasikitika kuona hamtaki kusema ukweli
 
hapana....
Fact : Wote walishiriki genocide... na ilikua kwa pande zote Hutu & Tutsi

sio Tutsi pekee
Dada angu nakualika rwanda!! Uje ujionee uache kujudge kwa kusikia njoo ujionee wanasema ilikuwa iitwe Genocide nikwasababu one clan inataka clan nyingine ipotee katika uso wa Dunia!! So majority waliolengwa walikuwa watutsi ilikuwa kwamba wapotee katika uso wa Dunia! Ndo maana wanasema Genocide against tutsi! Ambapo minority of hutu walikufa katika hiyo mauaji! Ndo maana katika kukumbuka hero's wa Rwanda Kuna Akina Agatha uwiringiyimana alikuwa muhutu tena prime minister alipingana na serikali ya rwanda Kuhusu tutsi kuuliwa!! Siwalaumu kwa sababu hamjaona!! Njoo uone tuuu may be macho yanaweza kuingiza kitu katika moyo wako!! Ukaacha kujudge ukawa msomaji kama Wengine!! Asante
 
Ww ni interahamwe genocide denier maneno yako haayafichi identity yako na ndiomaana ukisikia watutsi waliuwa roho inakuruka sana hamuamini hata kama kumewahi kutokea genocide in rwanda
 
Mkuu Tutsi mlikuwa 700,000 pekee before october 1993.... According to Ibuka ambayo ni organisation ya genocide survivors 300,000 Tutsis sirvived!!!

Sasa kama mlikufa laki 4 pekee na hao wahutu walikufa laki 6 kwanini mnaita tutsi genocide?? Kuna ripoti nyingi tu za human rights watch na transparency international zimetoa ripoti juu ya RPF kuhusika na mauaji ya wahutu wasio wapiganaji yaani wanawake na watoto!! Ikimaanisha genocide was both sides

Unaposema majority where do u get ur statistics from??? Mbona IBUKA says otherwise??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…