zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
UN si walisema sadam ana silaha za nyuklia?? Ama umesahau na baadae wakakuta hana?? UN si walikubali saddam amalizwe ilihali hours kabla hajafa walikiri kutuma barua ya kuzuia asinyongwe?? Yaani ikimaanisha they do make mistakes pia kma wanadamu if they are perfect kma unavyodai unafkiri kwanini hawakuzuia genocide ya 1994 mpaka watu 1 million wakafa??Inamaana ww una fact nyingi kuliko UN na jumuia za kimataifa wanaoita Tutsi genocide au ndo unasukumwa na chuki zenu za kikabila? Ushauri wangu kulalamika mitandaoni hakutasaidia rudini Rwanda muungane na kagame kujenga nchi
To hell with UN.... Rwandan history ielezewe na Rwandans sio na mzungu mmoja kutokea Geneva tena baada ya kuhoji serikali ya RPF!!