Kweli yalishapita na hayatorudia tena? Mambo ya zamani yaliyosababisha hali ile ya kuuana kama wanyama hayaendelei sasa huko Rwanda? Kama ni hivyo ni safi.
Ni kichaa tu anayeweza kuwaombea Yale madudu yawarudie tena
Tusaidie mkuu, ni nini hasa kilisababisha chuki Kubwa kiasi kile kati ya hawa ndugu mpaka kuuana vile?
Na ni nini hasa kinachokufanya uamini kuwa Yale yalishapita na hayatajirudia tena?
Ni kwa nia njema kabisa. Kama una majibu ya kweli itasaidia sana. Hata sisi watz ni watu kama nyie. Kama nyie mliweza fnyiana vile huenda na sie tunaweza kengeuka tukafanyiana kama mlivyofanyiana. Mungu pishia mbali hili. Sie watz utofauti wetu huishia zaid katika utani
Tukijua au mkijua kosa mlilofanya zamani itasaidia msije kulirudia kosa lilelile na kuleta tukio lilelile bays
Afrika ni moja