Jestkilla
JF-Expert Member
- Apr 23, 2014
- 2,999
- 3,960
Nmeona mpaka kuna mtu anakutishia maisha hapo juu that's not good sikutaka tufike huko ....... ila you are a patriot hongera sana kwa hilo
Mikwara haijaanza leo hii nshafuatwa mpaka nyumbani lakini walikutana na mwenye house sidhani kama watarudi tena. Life goes on.