Historia ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda: Kilio Cha Mifereji ya Damu iendayo Ethiopia

Nmeona mpaka kuna mtu anakutishia maisha hapo juu that's not good sikutaka tufike huko ....... ila you are a patriot hongera sana kwa hilo

Mikwara haijaanza leo hii nshafuatwa mpaka nyumbani lakini walikutana na mwenye house sidhani kama watarudi tena. Life goes on.
 
Guys yaishe mie nmeshajitoa kwenye hii mijadala haijengi na nyie basi muyamalize sote ni ndugu waafrika mipaka ya wakoloni isitufanye tugawanyike
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] japokuwa mm ni Mzee lkn huyu binti havumiliki kwakweli
 
Jamii forums sio ya baba yako wala mama ako angelalamika mwenye jamii forums sawa so be free hii ndio social network bana kwepa sana mambo yanayokukera ili uish kwa aman kama hapa inabid umute tu.
Tulia
 
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] japokuwa mm ni Mzee lkn huyu binti havumiliki kwakweli
Naelewa anakera sana na ana majibu machafu sana hata facebook page yake ni matusi matupu kwa kila anayecomment ila utu uzima ni kuwachukulia wenye madhaifu maadam hakujui humjui asikusumbue ikiwezekana muweke kwenye ignore list zaidi ya hapo anaweza kufanya uokote panga umchinje!!! Ndio watutsi walivyo hta unaweza ona comments za Kayaman but sote ni waafrika so tuweke tofauti zetu pembeni na tusonge mbele yakiwakuta siku moja watajifunza

Ubarikiwe
 
Matusi ya Jest ndo yanaonekana sana eeeh ya kwenu hamyaoni shenzi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kumbe fb kule upo nshawaogesha za uso weng sana nshawambia kule ukiona upendezwi unfriend ila hawakomi
 
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] japokuwa mm ni Mzee lkn huyu binti havumiliki kwakweli

Hii n bampa to bampa utu uzima wako saa hii kaotee moto.unarusha mawe una nyumba ya kioo ukadhan ntakaa kimya endelea kutukana muulize huyo zito vizuri
 
Matusi ya Jest ndo yanaonekana sana eeeh ya kwenu hamyaoni shenzi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kumbe fb kule upo nshawaogesha za uso weng sana nshawambia kule ukiona upendezwi unfriend ila hawakomi
Huwezi jifunza kuwa na lugha ya staha?? Kma kuna mtu hapo juu kakuuliza swali tu la kawaida kuhusu lugha za Rwanda ukaishia mtukana....

Badilika
 
Google ipo kwani lazima uniulize mimi na mtu anaeuliza ajifunze hua namjua lakin sio kabwela yule wa kuniuliza maswali ya kijinga vile
 
Hii n bampa to bampa utu uzima wako saa hii kaotee moto.unarusha mawe una nyumba ya kioo ukadhan ntakaa kimya endelea kutukana muulize huyo zito vizuri
Usijisifie matusi unagain nini hasa kumtukana mtu usiyemjua ??? Anyway yaishe sitaki tuanzishe tena hapa mada za kikabila

Long live East africa community
 
Back
Top Bottom