Historia ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda: Kilio Cha Mifereji ya Damu iendayo Ethiopia

Jf huwezi choka aise nikigeuka iv kilimo cha mifereji tena nikigeuka iv forex tena iv anga la washenzi by stev a.k.a jona nikiangalia iv magari ya nauzwa bai yakufikirika aise Jf ni balaa
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Hivi haya madini mnatoa kwenye vitabu gani?

Mbona nashida navyo balaa
Vyombo vya habari kila kimoja kwa wakati flan huongea ukweli....radio zinataarifa zaidi kuliko tv....binafsi nilikuwa nikisikiliza radio za rwanda enzi za kabendera shinani,radio Uganda,RSA...David Wakati alikuwa mchambuzi mzuri wa siasa za kimatifa RTD..Bbc hawa wote wakati flani waliongea ukweli juu ya Rwanda...pia kuna kazi za Bwana Howard french na Gerald Prunier wameandika mengi...wakimbizi toka Burundi,Rwanda na Congo.
 
Gerald Prunier na Howard French hawakuandika vitabu?
 
Kwa circumstances kama hizi,sio Pk au Yoweri anaweza acha madaraka kwa mtu yeyote unless watoto wao,kitu cha kuwafanya hao mabwana waache madaraka ni kupindua,kufa au waachie watoto wao na sio mtu yeyote back,,mbaya zaidi siku Pk anatoka madarakana kuna uwezekano mkubwa hako kanchi kakaparaganyika tena bora hata na Uganda.
Ndio maana elites wengi wa Rwanda from both makabila wamewekeza nchi za nje kuliko nyumbani,wako mguu ndani mguu nje

Acha uong mnaachoombea hakitakuja tokea nyie mbuz mikia Rwanda yasogea mbele nyie bakieni na Ccm yenu mpaka iwakamue dam PROUDLY RWANDESE.
 
Dogo acha ujuaji.
CCM ni chama tawala na haijawahi kumkamua mtu damu.
CCM ni chama kinachotoa mchango mkubwa kwa maendeleo ya nchi na nchi jirani.
Wewe upo hapa nchini salama, ni moja ya matunda ya CCM na Serikali yake.
Swala la shida ya wananchi ni swala mtambuka na hata huko marekani kuna maskini na Ombaomba pia wapo.
Elimu bora kwa wananchi ni moja ya nyenzo ya kumkomboa mwananchi na hali ya umaskini, lakini sio kila mwananchi anauwezo wa kuipata elimu bora kwa wakati sahihi.
Kama huko Rwanda Serikali na wananchi wake wana maendeleo ya kiwango bora, basi ni swala la kujivunia na tutapenda kujifunza toka kwenu hayo mafanikio mliofikia.
Siasa za vyama vingi hapa nchini bado changa na bado zinakua.
Unaruhusiwa kujiunga au kushabikia chama cha upinzani lakini sio kwa ghalama ya kukikashifu chama tawala CCM ambacho kilikuwepo kabla ya Siasa ya vyama vingi hapa nchini.
Hao maraisi wenu mnaowasifia wamepata mafunzo ya aina moja au nyingine hapa nchini wakigharimiwa na serikari ya CCM na wanaiheshimu.
Ndugu zenu wakimbizi wana hifadhiwa hapa nchini na wengine kupewa uraia kamili kwa maridhio ya Sera ya serikali ya CCM.
Endelea kuchambua mada iliyopo hapa Jukwaani, lakini sio kwa ghalama ya kukiponda Chama Cha Mapinduzi.
Kama unavutiwa na nyanja ya siasa unaruhusiwa kujiunga na chama chochote na kugombea uongozi.
Ila ujue CCM ndio chama tawala na kimepewa ridhaa ya kuongoza nchi na Watanzania.
Kamwe CCM haijawahi kuwa na Sera ya kuwatesa raia wake walioipigia kura.
 
Nasubir kiwake ....... Kumbe ndio maisha yao, wanalala halafu wanaamshana..
 
Acha kudanganya umma humu eti ccm haijawahi kuwatesa watu,unaandika as if unaowaandikia hawajitambui
Njoo kivingine hiyo kauri yako ni mufilisi haina mashiko maana hakuna mdudu mbaya kama ccm
 
Jestkilla labda ulikuwa mdogo sana mwaka 1990 ndio maana haya mambo huyajuia vizuri au huenda hujakaa sana maziwa makuu..... Ila mmi nimeshakwambia kwanni naamini hii historia ya genocide inafichwa vitu vingi

1. Nimeishi kwenye kambi ya wakimbizi wa kihutu kule nairobi.... Walipewa apartments maeneo karibu na ruaraka county ya nairobi kabla ya kupelekwa uhamishoni cameroon na wengine belgium hivyo nilipata fursa ya kujifunza mengi kuhusu rwanda genocide

2. Nina family friends waliokimbia vita ile kutoka pande zote mbili za hutu na tutsi hivyo hao pia walinipa first hand data kabisa

3. Nimesoma Rwanda udogoni na nimeishi rubavu kule gisenyi kwa mzee mmoja anaitwa munyakazi mtutsi pure aliyekuwepo jeshini RPF wa kutoka nyiragongo DRC hivyo naelewa nachosema na kuwepo kwangu kule nilipata first hand data maana yye alikuwepo kwenye field ya mauaji kabisa

4. Nimesoma makerere (MUBS)- Nakawa walipojazwa watutsi kibao ''wanaojiita'' WANYANKOLE na WAHIMA ambapo nmekutana na watoto wengi tu wa active generals wa RPF na NRM wa kipindi cha genocide na hao pia ukaribu nao nilipata siri nyingi sana kuhusu what really happened in rwanda 1994-2003!! Kina General Elly tumwine binti yake nmesoma naye etc

5. Second congo war ile ya kagame kutaka kumtoa kabila mkubwa imenikutia bunia DRC kipindi cha vurugu la walendu vs wahima.... Kipindi cha Ntaganda akiwa kwenye Peak ya ukomandoo wake .... Huko nako niliona jinsi makambi mengi ya wahutu yalichomwa moto na askari wa RDF ya kagame.... Yaani kambi nyingi sana tukipita asbuhi tunakuta harufu ya maiti na uzuri UN ilikuja kutoa ripoti baadae japokuwa kagame anakana ili kwa macho yetu tulishuhudia hivyo sihitaji unifundishe kipi cha ukweli na kipi cha uongo kuhusiana na ukatili wakagame kwa wahutu hivyo napoona mambo yanapotoshwa lazima niumie maana najua machungu ya vita

Anyway ni mengi nimejifunza kupitia huko kote nlikopita ndio maana nimefikia hatua ya kupinga upotoshaji wenu kokote nitakapousikia

Kaandike makala yako hapa hizi historia ni kelele tu Kagame kagame Sijui aliwafanya nini ooooh Kongo Kongo.upotoshaji sijui nin nenda kaandamane kigali au kumbatia transfoma Kelele hizi hazisaidii kitu zaidi zaidi kapambane na Rais wenu awaambie ela za makinikia ziko wap na yale magar na taka taka mnazookota bandarin imefika wap Tanzania na we mtanzania pambana na Nchi yako Rwanda hawana msaada wowote kwako.na hawana muda.
 
kizito mihigo keshawaimbia mkumbukeni maneno yake...kimsingi mtakapo haribu kwenu kwetu ndiyo kimbilio lenu nawachukia wakimbizi..sipendi kuwaona Tanzania...wanabeba mizimu yao hulka zao na desturi zao wanaleta kwetu..waharibifu wasio wazalendo kwa Africa mawazo yao ni uharibifu tu...so it's cheap to buy them kuharib hatutaki mrudi Tz kama wakimbizi
 
Tatizo lako kua na ubongo wa mbuni mtu yeyote anaweza kua mkimbizi no matter what,Libya walikua wanaishi maisha ya Asali na maziwa hii leo wanatanga tanga hawana mbele wala nyuma tema mate chini ndugu yangu.sijawaikua mkimbizi ila najua madhira yake.ukidhani ipo siku Rwanda itapigana sahau tulioona vita tunajua nin maana ya vita nyie ambao hata mlio wa M-4 AK47 hamjawaiskia mtakufa kwa Presha.Rwanda yasonga mbele Rwanda Forever Proudly Rwandese.
 
Mkuu the bold me nakukubali sana Chief leo tunaendelea?????
 
kizito mihigo....
Tatizo lako kua na ubongo wa mbuni mtu yeyote anaweza kua mkimbizi no matter what,Libya walikua wanaishi maisha ya Asali na maziwa hii leo wanatanga tanga hawana mbele wala nyuma tema mate chini ndugu yangu.sijawaikua mkimbizi ila najua madhira yake.ukidhani ipo siku Rwanda itapigana sahau tulioona vita tunajua nin maana ya vita nyie ambao hata mlio wa M-4 AK47 hamjawaiskia mtakufa kwa Presha.Rwanda yasonga mbele Rwanda Forever Proudly Rwandese.
umeongea vema..lakini najua unatokea wapi...just read Hosea 1:2...hakika na ubongo wa mbuni

Umeongea vema....lakini najua umetokea wapi just read Hosea 1:2..nimefarijka kwa mtazamo wako
 
Hyo Hosea 1:2 weka hapa sijawiasoma bible....Proudly Rwandese. Utajua tu nimetokea wap
 
Acha kudanganya umma humu eti ccm haijawahi kuwatesa watu,unaandika as if unaowaandikia hawajitambui
Njoo kivingine hiyo kauri yako ni mufilisi haina mashiko maana hakuna mdudu mbaya kama ccm
Tofautisha kati ya Sera ya Chama, na matendo ya mtu binafsi, au Kiongozi fulani wa chama au Serikali.
Baadhi ya viongozi wanafanya mambo tofauti na Ilani ya vyama vyao.
Hao ndio wa Kulaumiwa kama wamethibitishwa.
CCM Kama Chama, hakijawahi kuwa na SERA, au ILANI ya kutesa watu.
 
Kwahiyo kukamata na kuwatesa wapinzani hizo ni sera za KANU? Jipange upya mkuu kuitenganisha ccm na yanayotokea nchini huo nao ni uendawazimu mkuu
 
Aiseee yani yoooote niliyoyasona hapo juu yamekuja kupotezwa na tukio LA Fred, duuu
 
Back
Top Bottom