Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaposoma kitabu au makala, soma ukiwa na "open mind". Utaelimika ipasavyo!
Ila ukija kusoma wakati tayari una mawazo yako mfukoni, lazima uishie kupinga hovyo bila hoja ya msingi!
Mtani kumbe upo na huku haya tusaidie sie ''TUNAOPINGA'' hovyo bila hoja kuhusu swali moja tatanishi kabisaUnaposoma kitabu au makala, soma ukiwa na "open mind". Utaelimika ipasavyo!
Ila ukija kusoma wakati tayari una mawazo yako mfukoni, lazima uishie kupinga hovyo bila hoja ya msingi!
Mkuu Zitto jnr ahsante kwa hili bandikoMtani kumbe upo na huku haya tusaidie sie ''TUNAOPINGA'' hovyo bila hoja kuhusu swali moja tatanishi kabisa
Ningependa unifungue akili kidogo kuhusu population structure ya Rwanda nmepitia google kidogo nikaona population structure ya 1994 genocide wanasema hutu 84% na tutsi 15% na Twa 1% ila za 2014 zinasema hivyo hivyo Hutu 84% na Tutsi 15% na Twa 1% sasa najiuliza kivp population structure zinalingana hata kabla ya enocide ilihali "tumeambiwa" walikufa watutsi million 1 how comes bado wapo 15% ile ile ya pre- genocide??? Ilihali wanasema watutsi hawazaani sana sasa imewazekanaje wafe million 1 alafu15 years later wawe more than 1.8 million tena?? Au statistics zilichezewa??
2. Wanasema survivors walikuwa laki 4 na wamesema population growth rate ni 2 point something percent per year....... Sasa ningependa kujua kivp watusi laki 4 ndani ya miaka 10 wamefika million 1.8 kma wikipedia inavyosema ilihali growth rate ni 2.5%
Embu mnitoe tongo tongo kidogo great thinkers
Source
: Outreach Programme on the Rwanda Genocide and the United Nations
Demographics of Rwanda - Wikipedia
Dah mkuu kuna maswali mengi kuliko majibu tusubiri tu labda Habibu B. Anga anaweza akakata kiu yetu kwenye huu uzi wake ingawa amenimaliza pale aliposema "kagame aliwakataza wasiue raia yoyote kwenye vijiji wanavopita"..... Yaani ashaonyesha kwamba watutsi hawakuua Mhutu ila baadae akasema ''Wahutu wakaanza kutesa watutsi maeneo mengine ya Rwanda''Mkuu Zitto jnr ahsante kwa hili bandiko
Dah mkuu kuna maswali mengi kuliko majibu tusubiri tu labda Habibu B. Anga anaweza akakata kiu yetu kwenye huu uzi wake ingawa amenimaliza pale aliposema "kagame aliwakataza wasiue raia yoyote kwenye vijiji wanavopita"..... Yaani ashaonyesha kwamba watutsi hawakuua Mhutu ila baadae akasema ''Wahutu wakaanza kutesa watutsi maeneo mengine ya Rwanda''
Yaani wahutu ndio wabaya alafu watutsi ndio masteringi!!! Sasa najiuliza Kma walikua hawaui wahutu kivp tena aseme wahutu walikimbia mji wa ruhengeri wengine wakaenda congo wengine wakimbizi wa ndani??? Hapo nako kuniacha njia panda i hope ataona anisaidie na majibu
Cc: Habibu B. Anga
Teh! Teh! Teh! Nlijua tu utakuja 😀😀😀Bado unaweweseka na Rwanda andika ya kwako uridhike maana hata akiongea haitabadilisha Rwanda,Na Rwanda itaendelea kuwepo historia haifutiki ila maisha yanasonga mbele.
Binafsi sina data za population ya Rwanda.Mtani kumbe upo na huku haya tusaidie sie ''TUNAOPINGA'' hovyo bila hoja kuhusu swali moja tatanishi kabisa
Ningependa unifungue akili kidogo kuhusu population structure ya Rwanda nmepitia google kidogo nikaona population structure ya 1994 genocide wanasema hutu 84% na tutsi 15% na Twa 1% ila za 2014 zinasema hivyo hivyo Hutu 84% na Tutsi 15% na Twa 1% sasa najiuliza kivp population structure zinalingana hata kabla ya enocide ilihali "tumeambiwa" walikufa watutsi million 1 how comes bado wapo 15% ile ile ya pre- genocide??? Ilihali wanasema watutsi hawazaani sana sasa imewazekanaje wafe million 1 alafu15 years later wawe more than 1.8 million tena?? Au statistics zilichezewa??
2. Wanasema survivors walikuwa laki 4 na wamesema population growth rate ni 2 point something percent per year....... Sasa ningependa kujua kivp watusi laki 4 ndani ya miaka 10 wamefika million 1.8 kma wikipedia inavyosema ilihali growth rate ni 2.5%
Embu mnitoe tongo tongo kidogo great thinkers
Source
: Outreach Programme on the Rwanda Genocide and the United Nations
Demographics of Rwanda - Wikipedia
Ni kweli mkuu labda tumekosea kwenye timing kuuliza ila kama umefuatilia mjadala mkubwa umeanza pale tu aliposema MIILI ILIYOKUTWA RIVER KAGERA YOTE ILIKUWA YA WATUSI TUPU..... Tokea hapo ndio tukaanza kulalamika sababu ishaonyesha amechukua upande flaniBinafsi sina data za population ya Rwanda.
Kinachonishangaza ni kitendo cha nyie kupinga makala hii ya the bold tangia siku ya kwanza kabisa, mkiwa hamjui ataandika nini kwenye episode zinazofuata.
Ndio maana nikasema mnahitaji kua na free mind.
Ni jambo la busara kama mtasubiri amalize makala hii ndio muanze kuhoji hizi hoja zenu.
Mpaka sasa hivi The bold bado hajagusia kipengele cha genocide, ameeleza tu yaliyojiri kabla.
Lakini cha ajabu, nyie tayari mnahoji maswali yanayohusiana na genocide. Kuna tatizo somewhere!
Inawezekana ukawa na hoja, lakini ukishindwa kutambua wakati muafaka wa kuwasilisha hoja yako basi utaonekana tu ni mtu mwenye chuki dhidi ya kile kilichokusudiwa!
Hoja yangu bado iko pale pale, hatuwezi kubishana with a half of the story. We need the whole story!Ni kweli mkuu labda tumekosea kwenye timing kuuliza ila kama umefuatilia mjadala mkubwa umeanza pale tu aliposema MIILI ILIYOKUTWA RIVER KAGERA YOTE ILIKUWA YA WATUSI TUPU..... Tokea hapo ndio tukaanza kulalamika sababu ishaonyesha amechukua upande flani
Na hakuna sehemu tumempinga ila tunauliza tu maswali ili tueleweshwe tuelimike na ndio maana mada imewekwa ili sisi WAJINGA tuelewe
mfano sasa hapo juu kasema kagame alitoa order RPF wasiue wahutu wowote kwenye vijiji vya jirani ambayo ina contradict kabisa na ushahidi huu wa kamanda wa RPF aliyetoa ushuhuda pale ICTR je nayo inasubiri uzi mpaka uishe
Samahani kama tunakukwaza ila tunataka tu tueleweshwe ili tuwe boti moja but i got your point, thanks
Ok pamoja mkuu let's be patientHoja yangu bado iko pale pale, hatuwezi kubishana with a half of the story. We need the whole story!
Lakini pia, hapo anaposema watu wenye pua ndefu kukutwa mtoni nadhani ni lugha tu ya kiuandishi katika kuwatambulisha wanyarwanda na sio kama unvyodhani wewe.
Mimi nasubiri makala yote iishe, kama nitakua na cha kujadili nitajadili.
Otherwise, sijaona The bold alipokosea!
Sawa boss.Ok pamoja mkuu let's be patient
Kuna wakati unakomalia ujinga, utakua mhutu weweMkuu hawa jamaa acha kabisa.... Walishaanza kuwachinja wahutu toka 1990 kabla hata ya mkataba wa amani kusainiwa hapa TZ kituko utaskia wanalialia eti genocide ilianzishwa na wahutu sasa jiulize bila wao kuvamia rwanda 1990 na kuchinja wahutu je kungekuwa na vita 1994?? Hawa jamaa bhana wanatuona mazuzu sana
Hehehehehe mkuu mbona povu tupo hapa kujadiliana..... Mie nmesema genocide isingekuja kama sio watutsi kuvamia Rwanda na hata the bold mwenyewe kasema walipovamia ruhengeri ndio watutsi wakaanza kushughulikiwa sasa ujinga wangu ukwapi ilihali nmecopy alichosema the bold mwenyeweKuna wakati unakomalia ujinga, utakua mhutu wewe
Hehehehehe mkuu mbona povu tupo hapa kujadiliana..... Mie nmesema genocide isingekuja kama sio watutsi kuvamia Rwanda na hata the bold mwenyewe kasema walipovamia ruhengeri ndio watutsi wakaanza kushughulikiwa sasa ujinga wangu ukwapi ilihali nmecopy alichosema the bold mwenyewe
Nachokataa watu kufkiri wahutu ndio walianzisha genocide huo ni uongo ila ukweli ni kama alivyoandika hapo the bold yaani baada ya watutsi kuvamia rwanda ndio wahutu wakaanza jilinda hivyo genocide imeanzishwa na watutsi sio wahutu mbona logic tu ssa ujinga wangu ukwapi???