Historia ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda: Kilio Cha Mifereji ya Damu iendayo Ethiopia

Unaposoma kitabu au makala, soma ukiwa na "open mind". Utaelimika ipasavyo!

Ila ukija kusoma wakati tayari una mawazo yako mfukoni, lazima uishie kupinga hovyo bila hoja ya msingi!

Free mind. As free as air. Ukiona The bold anapingwa ninkwa vile majibu baadhi ya hoja muhimu juu ya Yale mauaji
 
Unaposoma kitabu au makala, soma ukiwa na "open mind". Utaelimika ipasavyo!

Ila ukija kusoma wakati tayari una mawazo yako mfukoni, lazima uishie kupinga hovyo bila hoja ya msingi!
Mtani kumbe upo na huku haya tusaidie sie ''TUNAOPINGA'' hovyo bila hoja kuhusu swali moja tatanishi kabisa

Ningependa unifungue akili kidogo kuhusu population structure ya Rwanda nmepitia google kidogo nikaona population structure ya 1994 genocide wanasema hutu 84% na tutsi 15% na Twa 1% ila za 2014 zinasema hivyo hivyo Hutu 84% na Tutsi 15% na Twa 1% sasa najiuliza kivp population structure zinalingana hata kabla ya enocide ilihali "tumeambiwa" walikufa watutsi million 1 how comes bado wapo 15% ile ile ya pre- genocide??? Ilihali wanasema watutsi hawazaani sana sasa imewazekanaje wafe million 1 alafu15 years later wawe more than 1.8 million tena?? Au statistics zilichezewa??

2. Wanasema survivors walikuwa laki 4 na wamesema population growth rate ni 2 point something percent per year....... Sasa ningependa kujua kivp watusi laki 4 ndani ya miaka 10 wamefika million 1.8 kma wikipedia inavyosema ilihali growth rate ni 2.5%

Embu mnitoe tongo tongo kidogo great thinkers

Source
: Outreach Programme on the Rwanda Genocide and the United Nations

Demographics of Rwanda - Wikipedia
 
Mkuu Zitto jnr ahsante kwa hili bandiko
 
Mkuu Zitto jnr ahsante kwa hili bandiko
Dah mkuu kuna maswali mengi kuliko majibu tusubiri tu labda Habibu B. Anga anaweza akakata kiu yetu kwenye huu uzi wake ingawa amenimaliza pale aliposema "kagame aliwakataza wasiue raia yoyote kwenye vijiji wanavopita"..... Yaani ashaonyesha kwamba watutsi hawakuua Mhutu ila baadae akasema ''Wahutu wakaanza kutesa watutsi maeneo mengine ya Rwanda''

Yaani wahutu ndio wabaya alafu watutsi ndio masteringi!!! Sasa najiuliza Kma walikua hawaui wahutu kivp tena aseme wahutu walikimbia mji wa ruhengeri wengine wakaenda congo wengine wakimbizi wa ndani??? Hapo nako kuniacha njia panda i hope ataona anisaidie na majibu

Cc: Habibu B. Anga
 
Bado unaweweseka na Rwanda andika ya kwako uridhike maana hata akiongea haitabadilisha Rwanda,Na Rwanda itaendelea kuwepo historia haifutiki ila maisha yanasonga mbele.
 
Teh! Teh! Teh! Nlijua tu utakuja 😀😀😀

Nmeuliza swali kuhusu mada husika sasa nimeweweseka wapi?? Au ulitaka niulize kuhusu arsenal vs everton wakati uzi unaongelea genocide!!! Hivi ushawahi ona naitaja rwanda nje ya thread hii??? I have a lot to care about rather than a district so called Rwanda

Inyezi!!
 
Mtani kumbe upo na huku haya tusaidie sie ''TUNAOPINGA'' hovyo bila hoja kuhusu swali moja tatanishi kabisa

Ningependa unifungue akili kidogo kuhusu population structure ya Rwanda nmepitia google kidogo nikaona population structure ya 1994 genocide wanasema hutu 84% na tutsi 15% na Twa 1% ila za 2014 zinasema hivyo hivyo Hutu 84% na Tutsi 15% na Twa 1% sasa najiuliza kivp population structure zinalingana hata kabla ya enocide ilihali "tumeambiwa" walikufa watutsi million 1 how comes bado wapo 15% ile ile ya pre- genocide??? Ilihali wanasema watutsi hawazaani sana sasa imewazekanaje wafe million 1 alafu15 years later wawe more than 1.8 million tena?? Au statistics zilichezewa??

2. Wanasema survivors walikuwa laki 4 na wamesema population growth rate ni 2 point something percent per year....... Sasa ningependa kujua kivp watusi laki 4 ndani ya miaka 10 wamefika million 1.8 kma wikipedia inavyosema ilihali growth rate ni 2.5%

Embu mnitoe tongo tongo kidogo great thinkers

Source
: Outreach Programme on the Rwanda Genocide and the United Nations

Demographics of Rwanda - Wikipedia
Binafsi sina data za population ya Rwanda.

Kinachonishangaza ni kitendo cha nyie kupinga makala hii ya the bold tangia siku ya kwanza kabisa, mkiwa hamjui ataandika nini kwenye episode zinazofuata.

Ndio maana nikasema mnahitaji kua na free mind.

Ni jambo la busara kama mtasubiri amalize makala hii ndio muanze kuhoji hizi hoja zenu.

Mpaka sasa hivi The bold bado hajagusia kipengele cha genocide, ameeleza tu yaliyojiri kabla.

Lakini cha ajabu, nyie tayari mnahoji maswali yanayohusiana na genocide. Kuna tatizo somewhere!

Inawezekana ukawa na hoja, lakini ukishindwa kutambua wakati muafaka wa kuwasilisha hoja yako basi utaonekana tu ni mtu mwenye chuki dhidi ya kile kilichokusudiwa!
 
Ni kweli mkuu labda tumekosea kwenye timing kuuliza ila kama umefuatilia mjadala mkubwa umeanza pale tu aliposema MIILI ILIYOKUTWA RIVER KAGERA YOTE ILIKUWA YA WATUSI TUPU..... Tokea hapo ndio tukaanza kulalamika sababu ishaonyesha amechukua upande flani

Na hakuna sehemu tumempinga ila tunauliza tu maswali ili tueleweshwe tuelimike na ndio maana mada imewekwa ili sisi WAJINGA tuelewe

mfano sasa hapo juu kasema kagame alitoa order RPF wasiue wahutu wowote kwenye vijiji vya jirani ambayo ina contradict kabisa na ushahidi huu wa kamanda wa RPF aliyetoa ushuhuda pale ICTR je nayo inasubiri uzi mpaka uishe

Samahani kama tunakukwaza ila tunataka tu tueleweshwe ili tuwe boti moja but i got your point, thanks
 
Attachments

  • rwanda-soldier-testimony-ICTR.jpg
    rwanda-soldier-testimony-ICTR.jpg
    58.7 KB · Views: 127
Ni kweli mkuu labda tumekosea kwenye timing kuuliza ila kama umefuatilia mjadala mkubwa umeanza pale tu aliposema MIILI ILIYOKUTWA RIVER KAGERA YOTE ILIKUWA YA WATUSI TUPU..... Tokea hapo ndio tukaanza kulalamika sababu ishaonyesha amechukua upande flani

Na hakuna sehemu tumempinga ila tunauliza tu maswali ili tueleweshwe tuelimike na ndio maana mada imewekwa ili sisi WAJINGA tuelewe

mfano sasa hapo juu kasema kagame alitoa order RPF wasiue wahutu wowote kwenye vijiji vya jirani ambayo ina contradict kabisa na ushahidi huu wa kamanda wa RPF aliyetoa ushuhuda pale ICTR je nayo inasubiri uzi mpaka uishe

Samahani kama tunakukwaza ila tunataka tu tueleweshwe ili tuwe boti moja but i got your point, thanks
Hoja yangu bado iko pale pale, hatuwezi kubishana with a half of the story. We need the whole story!

Lakini pia, hapo anaposema watu wenye pua ndefu kukutwa mtoni nadhani ni lugha tu ya kiuandishi katika kuwatambulisha wanyarwanda na sio kama unvyodhani wewe.

Mimi nasubiri makala yote iishe, kama nitakua na cha kujadili nitajadili.

Otherwise, sijaona The bold alipokosea!
 
Ok pamoja mkuu let's be patient
 
nmekukubali mkuu, nmesoma hii kitu kutoka kwa wachambuzi mbali mbali na nmekubali uchambuzi wako umenyooka 90%
 
Mkuu hawa jamaa acha kabisa.... Walishaanza kuwachinja wahutu toka 1990 kabla hata ya mkataba wa amani kusainiwa hapa TZ kituko utaskia wanalialia eti genocide ilianzishwa na wahutu sasa jiulize bila wao kuvamia rwanda 1990 na kuchinja wahutu je kungekuwa na vita 1994?? Hawa jamaa bhana wanatuona mazuzu sana
Kuna wakati unakomalia ujinga, utakua mhutu wewe
 
Hehehehehe mkuu mbona povu tupo hapa kujadiliana..... Mie nmesema genocide isingekuja kama sio watutsi kuvamia Rwanda na hata the bold mwenyewe kasema walipovamia ruhengeri ndio watutsi wakaanza kushughulikiwa sasa ujinga wangu ukwapi ilihali nmecopy alichosema the bold mwenyewe

Nachokataa watu kufkiri wahutu ndio walianzisha genocide huo ni uongo ila ukweli ni kama alivyoandika hapo the bold yaani baada ya watutsi kuvamia rwanda ndio wahutu wakaanza jilinda hivyo genocide imeanzishwa na watutsi sio wahutu mbona logic tu ssa ujinga wangu ukwapi???
 
Watutsi pengine wasingevamia rwanda kama wangekubaliwa haki yao ya kurejea kwenye nchi yao hata thread ni kama imeonesha hivo,walianza kuunda kikundi cha uasi baada ya kukataliwa kurudi rwanda na pia wakakataliwa kukaa uganda then wakajikuta stateless.Halafu ni kama huelewi maana ya genocide, genocide ni mauaji yanayofanywa kwa misingi ya kufuta uwepo wa kikundi flani kwa misingi ya dini au kabila au vitu kama hivyo so huwezi kusema kuna watu walifanya genocide kwa kujilinda,huwezi kusema kuna mtu/watu walifanya genocide kwa kujilinda kwa kuua mpaka kitoto kichanga cha siku moja au huwezi kusema kuna watu walifanya mauaji kujilinda kwa kuua raia wasiokuwa na silaha waliojificha mashuleni au makanisani.
 
Back
Top Bottom