Historia ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda: Kilio Cha Mifereji ya Damu iendayo Ethiopia

Historia ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda: Kilio Cha Mifereji ya Damu iendayo Ethiopia

mkuu hadi nimekata tamaa na hii story maana nimetumia kila mbinu niweze kufungua hizo link hata hazifunguki ... nimebadilisha simu, nimetumia pc, nimetumia Ipad bado hazifunguki..

mi naomba mods wafanye mpango zifunguke hizi link, maana mkuu ushafanya kazi kubwa kuteletea makala hii nzuri.... pia kama kuna mtu ambaye ameweza kusolve tatizo ya hizi link namuomba anielekeze ili na mimi nipate kusoma
 
Kuna watu wawili humu walijifanya wana hoja mwishowe wakaonesha Rangi zao.na nyuzi juu ya Rwanda zimekua nyingi sana Jamii forums sijui wamepatwa na nini wadanganyika naskia magufuli kawakazia huko njaa ni kali haswa kupunguza machungu mnakuja kuanzisha nyuzi za Rwanda.Proudly Rwandese.

dada nyie warwanada huwa ni wazuri sema mi naona huwa mnafanana sana... hivi mnajitofautishaje?

maana naona wote ni warefu, rangi zenu mulemule, mahips fulani hatari tofauti na bongo huku kila ladha ipo
 
Hizi link tano hadi nane zimekubali ila tisa imezngua cjajua nyingine zikoje
 
mkuu hadi nimekata tamaa na hii story maana nimetumia kila mbinu niweze kufungua hizo link hata hazifunguki ... nimebadilisha simu, nimetumia pc, nimetumia Ipad bado hazifunguki..

mi naomba mods wafanye mpango zifunguke hizi link, maana mkuu ushafanya kazi kubwa kuteletea makala hii nzuri.... pia kama kuna mtu ambaye ameweza kusolve tatizo ya hizi link namuomba anielekeze ili na mimi nipate kusoma

Mkuu pole sana hata mimi mwanzon zilikuwa zinagoma ,nilikuwa natumia browser kuingia huku jf ,but now nimedownload App ya JF zinafunguka fresh zote,jarib App kama ulikuwa hutumii.
 
Jamanii acheni tuu hawa viumbe wamependelewaa...
32bc2ce2d0999d4aee3829a032cd5633.jpg
Sasa huyo kapendelewa nn hapo,pua kubwa hivyo na kichwa kama puto ndo kupendelewa huko au? U can't b xriac let's
 
Weeee ixfananishee na hii minungayembe yenu hukuu inayoona kuwa na matako makubwaa ndo mtajii hicho chombo kiko sawaa wewee....
 
dada nyie warwanada huwa ni wazuri sema mi naona huwa mnafanana sana... hivi mnajitofautishaje?

maana naona wote ni warefu, rangi zenu mulemule, mahips fulani hatari tofauti na bongo huku kila ladha ipo

Mpigie Magufuli atawatofautisha.
 
Comment ako naona kabisa ni sa saba usiku East African Time akili angu inaniambia wewe huna Demu kama unae bas ni kichomi au kama huna basi unaota ndoto uje kua girl mkali kama unaowatizama insta kitu ambacho ni imposibo kwahiyo endelea kuota juu ya wanyarwanda Proudly Rwandese halafu umepaniki sana mpaka wanyarwanda wanakusumbua akili ako usiku huu pole sana utapata tu tafuta pesa mambo mengine yatakua sawa we Kilaza
Imeekuumaa sana au na ww mimaji ninii akili yako haina akili eti xina demu kuwa na demu ni sifa unanipangia je tm ya kuingia Jf hata km n usiku ww n kichom hata huyo mwanaume atakayekuoa. Nayee inabid awe kichom km ww..
 
Povu umelitema kwa kutumia X badala ya S naona kabisa unakaa kwa shemeji,kwa akili yako ya Muda ukajua niko East Africa,Proudly Rwandese.huna hadhi ya ku date na Rwandese wewe mswahili.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom