Historia ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda: Kilio Cha Mifereji ya Damu iendayo Ethiopia

Hakuna anaetoka povu hapa wala omo...
mimi mwanammke dada... Hapa bongo hatushangai matusi kabisa Tukana tu maana ndio silaha ya keyboard warriors

Sawa ila [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kwahio watusi na wahutu wote ni watu wa kuja hapo Rwanda? Ila mhutu ndo aliwahi hivyo ana hati miliki sio?
Nachomaanisha wapewe haki sawa haijalishi nani kamuwahi mwenzake ila sio sasa ambapo wahutu wanaburuzwa na watutsi kwenye sekta zote za maamuzi
 
Kwani alie raisi hivi sasa anafeli wapi mpaka atafutwe mwingine?
Shida sio kufeli hata wazungu hawakufeli pale walipoamua kumuachia mtu mweusi kutawala marekani

Ifike mahala mlete harmony kwa kuachiana madaraka ili kupunguza ukabila.... Mfano kma mkiwaachia one term unafkiri watalalamika tena?? Jifunzeni Nigeria au Lebanon jinsi wanavyodeal na ukabila and udini kwa kuachiana madaraka otherwise sio ustaarabu rais mmoja miaka tokea 90 mpka 2034!!! Thats BS
 
Kwanini tusijifunze kwa putin ambae anagombea mhula wa nne sasa?? Au kwa Ujerumani ambapo angel markel anagombea mhula wa tano? Na nchi hizo zimetulia na zina maendeleo?
 
Kwao hakuna ethnic tensions ila nchi yenu inayo so unapolinganisha tafuta nchi zenye ukabila ndio utolee mifano hao warusi hawana mambo ya slavs cjui na bulgars hapana wao ni wamoja ila nyie mmegawanyika so it's a different case

Jua linazama!! December inakaribia.... Kabila akitolewa ndio mwisho wa hema empire na FDLR watarudi Rwanda so kazi kwenu kuamua kusuka ama kunyoa
 
Hilo la hema empaya ni myth iliyojengwa vichani kwa raia wa kihutu na wabantu wengine, lilianza kama wazo kisha likahubiriwa sana ili kuamsha hasira ya wahutu ili wawaue watusi na bahati mbaya uongo ukiongewa sana huaminiwa kama ukweli so hilo la hema empire katika karne hii limebaki vichwani mwenu, hali exist coz ili iweje? Kwa faida ya nani? U have been brainwashed. Ili kuondoa chuki Rohoni mwenu jiepushe huo uvumi wa hema empire fikiri miaka 100 ijayo ambapo makabila yatatoweka kwa sababu ya intermarriage stop living in the past
 
We kama hujui kitu kaa kimya au hujui sababu ya Kabila mkubwa kuuawa?? Unajua sababu ya mtikila kumalizwa!! Je unajua kwanini Congo inagawanywa kuwa east na west?? Unajua kwanini nkuruzinza alitaka kupinduliwa na kagame?? Unaelewa kwanini besigye alienda upinzani pamoja na Mugisha muntu??? Unaelewa kwanini Bosco ntaganda aligombana na kagame?? Unajua sultan makenga yukwapi???

Kama hufuatilii mambo uwe unauliza hakuna cha myths we subiri cku uone EAC imekuwa nchi moja alafu ipo chini ya Mr Slim ndio utaelewa naongelea nini!! By 1980 tutsis were mere refugees ila by now Washatawala uganda Rwanda na DRC alafu bado unaita myths!!

Anyway mada iishe tunajaza huu uzi kwa majibizano yasiyo na tija.... Kumradhi the bold

Mchana mwema
 
Hujajibu hoja ya msingi, hema empire kwa faida ya nani na ili iweje? Kuna interest gani hapo?
 
Hema empire kwa faida ya watutsi wajitawale na wasinyanyaswe tena kma before 1990 walipokuwa mistreated as refugees from DRC to Tanzania and Uganda so wakijenga empire yao watalinda kizazi chao milele kisije kuteseka kma wao

Same case as wayahudi wa israel wanavyong'ang'ania ushawishi kwenye kila sekta duniani ili waweze kulinda kizazi chao kisije pata mateso sababu ya kukosa makazi kma ilivokua kabla ya 1948 walikuwa wanateseka na kunyanyapaliwa sana ulaya

Umeelewa sasa?? Wanataka kulinda kizazi chao na utaifa wao plus interest zao fullstop that's called HEMA empire
 
We kama hujui kitu kaa kimya au hujui sababu ya Kabila mkubwa kuuawa?? Unajua sababu ya mtikila kumalizwa!! Je unajua kwanini Congo inagawanywa kuwa east na west?? Unajua kwanini nkuruzinza alitaka kupinduliwa na kagame?? Unaelewa kwanini besigye alienda upinzani pamoja na Mugisha muntu??? Unaelewa kwanini Bosco ntaganda aligombana na kagame?? Unajua sultan makenga yukwapi???

Kama hufuatilii mambo uwe unauliza hakuna cha myths we subiri cku uone EAC imekuwa nchi moja alafu ipo chini ya Mr Slim ndio utaelewa naongelea nini!! By 1980 tutsis were mere refugees ila by now Washatawala uganda Rwanda na DRC alafu bado unaita myths!!

Anyway mada iishe tunajaza huu uzi kwa majibizano yasiyo na tija.... Kumradhi the bold

Mchana mwema
Kwahio kama lowassa angeshinda na kuchukua kiti pia ungesema ni hema empire? Kwakua wamasai sio wabantu hivyo nao ni hema empire? That is total nonsense... Kweli kuna jamii ambazo ni rahisi kuzijaza ujinga na wakadumu nao
 
Ok ok kwahio the same ni hutu empire ama bantu empire ili kulinda interest kama unazozitaja hapo juu? Kama sio hema empire basi inakuwa bantu empire, huu ni ujinga wa kiwango cha Lami Hivi tukirithishana ujinga wa namna hiyo kwa next generation unadhani kutatokea nini? Ni heri kufikiri mwisho wa jambo kabla hujalianza
 
Kwahio kama lowassa angeshinda na kuchukua kiti pia ungesema ni hema empire? Kwakua wamasai sio wabantu hivyo nao ni hema empire? That is total nonsense... Kweli kuna jamii ambazo ni rahisi kuzijaza ujinga na wakadumu nao
Lowassa anaingiaje hapa?? Naongelea watutsi kwamba huo ndio mpango wenu muanzishe nchi yenu ambayo mtajitawala that's it kma israel tu ili msije mkateseka in case mkirudi ukimbizini kma pre 1990!! Thats all

NB: Tuache hii mijadala tunajaza uzi wa the bold mbona huelewi.... Tunakera watu
 
Back
Top Bottom