Ike Jizzo
Member
- Jan 20, 2018
- 17
- 3
Iv naomba kujua kama kweli lowassa ni mmasaiHahahaha mkuu inaonekana hata wao hawataki kutawalika wanataka vinasaba vyenu wawatawale... What an antagonist generation [emoji28] [emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iv naomba kujua kama kweli lowassa ni mmasaiHahahaha mkuu inaonekana hata wao hawataki kutawalika wanataka vinasaba vyenu wawatawale... What an antagonist generation [emoji28] [emoji28]
Ok guys tuishie hapa time will tell tunamjazia uzi the bold tukutane refugee camps soon !!
Nyie endekezeni kejeli na kujiona bora kuliko wengine siku yakiwapata msirudi kulia lia humu
habari yako mnyarwandaUtaongea sanaaa lakin Rwandese kwaanza ndio wanapiga hatua ya maendeleo lwa kasi ya 5G[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nani aje kukuomba msaada maskini mpaka kwenye nywele
Kaka hauko sahihi. Kabisa.Wahutu ni wabantu ila watutsi ni cuishites so nasema watutsi meaning wacush wa rwanda na burundi ila wakienda uganda na congo na tz wana majina tofauti but they belong to one family HEMA EMPIRE ambao ni cuishites wa ethiopia hata the bold kwenye uzi wake amelisema hilo
So bahima bakiga banyamulenge bahema banyankole bachwez bageegere bafumbira baangaza batooro wote hao ni familia moja na ''WATUTSI'' !!!
So wahutu kwa Tanzania unaweza sema waha waskuma wakurya its still fine coz kihistoria sisi sote ni wabantu!!
Kaka uko wrong katika somo la peopling of East Africa.Watutsi sio kabila ila naandika hapa ili tuweze kueleweka nani ni nani hapo rwanda...... Ila kabila la watutsi ni WAHEMA hao wapo nchi zaidi ya 9 hapa Afrika!! So it's all the same watutsi kwenu ni ethiopia period huko rwanda mlivamia tu kusaka mazao ya wanyama!
Lowassa ni Mmeru kwa asili ila Mmasai kwa language and tradition.Iv naomba kujua kama kweli lowassa ni mmasai
Okay nashukuru kwa maoni yako ila labda nikusahishe kidogo wahutu ni makabila ya kibantu yaliyohamia afrika ya kati na watutsi walitokana na makabila ya ki-cush yaliyotokea pembe ya afrika hivyo wakaoana na kuishi pamoja miaka mingi hivyo waka "assimilate" na kuwa banyarwanda na hiyo imefanyika tafiti nyingi kuprove kwamba uzazi wa watutsi zaidi ya 70% unatokea ethiopia ilihali wa wahutu zaidi ya 70% ni makabila ya kibantu kutokea afrika ya kati pitia hizi page kwenye eneo la GENETICSKaka hauko sahihi. Kabisa.
Hutu na Tusti siyo makabila. Kabila ni moja Abhanyarwanda.
Hutu ni koo na Tusti ni koo. Na hizi koo ziko katika makabila mengi East Africa.
Hata usukumani hadi ugogoni kunahizo koo.
Issue Rwanda imekuwa na chuki kati hao.
Okay nimekuelewa mkuu ila haipingi ukweli kwamba kwa banyarwanda koo ya TUTSI imetokana na makabila ya WAKUSHI ilihali koo za kihutu imetokana na makabila ya KIBANTU hivyo bado inakuwa sahihi kwamba watutsi nature yao ni ETHIOPIA na wahutu ni AFRIKA YA KATI sema waliishi pamoja kwa miaka mingi ndio maana wakawa KABILA MOJA sijui naelewekaKaka uko wrong katika somo la peopling of East Africa.
Tunachoita kabila its just Language and cultural group of people.
Kila kabila kuna watu kwenye asili ya Cush, Bantu and Hamitic.
Mfano hata Kurya
Ukiwasoma kunakoo ni za Kibantu, zingine Kihamit na Cush.
Kaka.Okay nashukuru kwa maoni yako ila labda nikusahishe kidogo wahutu ni makabila ya kibantu yaliyohamia afrika ya kati na watutsi walitokana na makabila ya ki-cush yaliyotokea pembe ya afrika hivyo wakaoana na kuishi pamoja miaka mingi hivyo waka "assimilate" na kuwa banyarwanda na hiyo imefanyika tafiti nyingi kuprove kwamba uzazi wa watutsi zaidi ya 70% unatokea ethiopia ilihali wa wahutu zaidi ya 70% ni makabila ya kibantu kutokea afrika ya kati pitia hizi page kwenye eneo la GENETICS
Y-DNA (paternal lineages)Edit
Modern-day genetic studies of the Y-chromosome generally indicate that the Tutsi, like the Hutu, are largely of Bantu extraction (60% E1b1a, 20% B, 4% E3). Paternal genetic influences associated with the Horn of Africa and North Africa are few (16% E1b1b), and are ascribed to much earlier inhabitants who were assimilated. However, the Tutsi have considerably more Nilo-Saharan paternal lineages (14.9% B) than the Hutu (4.3% B).[10]
Trombetta et al. (2015) found 22.2% of E1b1b in a small sample of Tutsis from Burundi, but no bearers of the haplogroup among the local Hutu and Twa populations.[11] The subclade was of the M293 variety, which suggests that the ancestors of Tutsis in this area may have assimilated some Southern Cushitic-speaking pastoralists.[12]
Source:
Ethnic groups in Rwanda - Wikipedia
Tutsi - Wikipedia
Acha kutazama issue ya Rwanda kwa jicho la Bantu na kush.Okay nimekuelewa mkuu ila haipingi ukweli kwamba kwa banyarwanda koo ya TUTSI imetokana na makabila ya WAKUSHI ilihali koo za kihutu imetokana na makabila ya KIBANTU hivyo bado inakuwa sahihi kwamba watutsi nature yao ni ETHIOPIA na wahutu ni AFRIKA YA KATI sema waliishi pamoja kwa miaka mingi ndio maana wakawa KABILA MOJA sijui naeleweka
Tutsi are pastoralists ilihali wabantu ni wakulima.... Mababu zao ni tofauti mkuu tafiti mkuu utagundua nachosema ni sahihi
Soma hapa uone watutsi walitokea wapi na wahutu walitokea wapi karne ya 15 hiyo
Bantu and Nilotic conflict is cause of instability in Great Lakes region | Eric Kashambuzi
Samahani mkuu labda cjakuelewa labda niulize hoja yako ni nini hasa?? Sijaelewa maana mie naongelea Rwanda kwani ni wapi nimekataa hapa Tanzania kuna cuishite group of people???Kaka.
Sina authorities ya kubishana na data ulozoweka. Ziko sawa kabisa.
Umeshindwa kufanya reasoning sahihi.
Hiyo study ni ya Rwanda and Burundi. Je unajua genetic make up za Wagogo, Wakurya Wangoni au Waha au Chagga.
Kote huko kuna koo zenye genes za Kiethiopia au Kibantu kwa proposition tofauti tofauti.
Ukitumia dhana ya kuwa na Gene kama za uethiopia ndo kuwa kablia la Kiethiopia basi unaweza kuta wadatoga Wa Tz ni Cush kuriko Watusi Wa Rwanda.
Nimalize kwa kusema Genetic Tusti are Bantu like Hutu.
Na Ubantu na Ukushi si sababu ya Mgogoro wa Rwanda Burundi. Maana Ubantu na Ukushi uko kila Taifa East Afrika mafano Kenya wakush Niwengi kuliko Wabantu lakini wabantu ndo dominant class katika siasa.
Hapa Tz ukifanya genetic Research nakuakikishia more than 50% of Tz are more Cushites than theTusti.
The Issue is not about Genetic
Hoja ni Tutsi hawajatoka Ethiopia.Samahani mkuu labda cjakuelewa labda niulize hoja yako ni nini hasa?? Sijaelewa maana mie naongelea Rwanda kwani ni wapi nimekataa hapa Tanzania kuna cuishite group of people???
Nilichosema ni watutsi wametokea ethiopia na wahutu ni afrika ya kati which is true sasa kipi ambacho tunadebate hapa??
Kwahiyo wagogo wakiwa wacush inabadilisha ukweli kwamba WATUTSI sio wacush??
Wewe ulisema wahutu na watutsi ni kabila moja which is true mimi nikasema kwamba ni kabila moja ila ni mjumuiko wa makabila mawili sasa unaponipa mifano ya wagogo inaingiaje hapa??
Yaani sijakuelewa basis ya kudebate inatokea wapi nieleweshe
Bantu and Nilotic conflict is cause of instability in Great Lakes region | Eric KashambuziAcha kutazama issue ya Rwanda kwa jicho la Bantu na kush.
Utazame kama Hutu na Tutsi.
Kuhusu wafugaji kutawala wakulima liko all over the world hata arabuni na kila mahala nisomo pana sana.
Natamani kupata muda niandike maoni yangu juu ya huu mgogoro Wa HUTU TUSTI . ila kama msomaji tafuta kitabu cha Prof Mahmoud Mahmadani kinaitwa When Victims become killers.
Ameendaka vizuri sana juu ya origin ya Hutu Tusti in Rwanda.
In short.
Tusti imetokana na ruling class ya Rwanda empire from 16 century kutokana na Sera za empire hiyo class ikaoana wao kwa wao ikawa na CHAKULA, kazi tofauti na majority.
Mfano mzuri nikama wahab Wa Saudia wasioe nje ya Wahabi baada ya miaka miatano Wahabi watakuwa na distinguish feature from other Saudis.
Hoja ni Tutsi hawajatoka Ethiopia.
Kuwa na % fulani ya genetics Ka Ethiopia si issue ndo ntakwambia kuna koo nyingi tu zinahizo genes.
Mkuu. Mfano wako eti Wanyankole si wabantu uko pure uniformed. Wanyakole ni wabantu kabisa kakaMkuu usisome historia kwa upande mmoja kwamba wakulima na wafugaji unaishia hapo mie nimekuwekea article hapo juu inaeleza kwa utafiti na quotes za vitabu zaidi ya 20 kuhusu nature ya HUTU na TUTSI ni zao la mgogoro wa wabantu na wacush.....
Nmeshaeleza kongo ipo jamii ya kikush inaitwa HEMA ipo Bunia nayo inawaburuza sana walendu ambao ni wabantu
Uganda wapo wanyankole wanaburuza sana wabantu wa BAGANDA
Hivyo kwanini bado huwezi kuona kwamba CUISHITES wana tamaa ya madaraka na kupenda kuonea wabantu na kuwadharau
Hawa waliopo kwa wagogo au waha n.k unakuta walishakuwa assimilated zamani sana hivyo nature inapungua ila makabila ambayo KIGENETIC ni ya kutoka CUSH yanajiona ndio bora zaidi na wana haki sana ya kuburuza makabila mengine
Kuna conference moja nilihudhuria huko nje hao kutoka ethiopia... Amharas waligoma kabisa kujiita waafrika wao wanakazania kuwa ni WAZUNGU waliohamia afrika nlijiskia vbaya sana sasa unaposema tusiangalie kwa CUSH na BANTU ntakuelewaje
Hata hapa bongo nafkiri unaona character za wahaya inahitaji tusiangalie kwa jicho la CUSH and BANTU groups
Ningeomba usome hii article mkuu nzima alafu ureview maoni yako kma bado yana uhalali wa kuangalia kwa jicho la UTUTSI na UHUTU cum WAKULIMA na Wafugaji AMA UCUSH na UBANTU
Ahsante
Hao unaowarejea ndo walianzisha hii nadharia inaitwa Hamitic hypothesis.Hapo juu nmequote article ya wikipedia kuhusu nature ya watutsi na wanasema kigenetic wao wanauzao wa CUSH pastoralists sasa hoja yako ya kukataa CUISHITE nature imetoka wapi
Ina maana karne ya 15 waCUSH hawakuja maziwa makuu kusaka eneo la malisho na utawala na wakakuta wabantu wamefika hapo???
Tutsi | people
Ina maana hadi brittannica wanapotosha???
Mkuu hivi unachokataa ni nini?? Hata wanyankole ni intermarriage kati ya Cuishitic tribes kwa wabantu kunawafanya kuwa assimilated ila haiondoi ukweli kwamba forefathers wa ankole family ni CUISHITIC kabisa kutoka ethiopia waliokuja afrika ya mashariki miaka ya 1400 sasa kivp wanakuwa sio wacushMkuu. Mfano wako eti Wanyankole si wabantu uko pure uniformed. Wanyakole ni wabantu kabisa kaka
Labda unisaidie unaposema watu fulani ni wakushi unamaanisha nini...
Ndugu yangu
Miongoni wa element kubwa yakufuatilia asili ya watu ni lugha.
Hata u-assimilate vipi huwezi poteza misamiati yote ya lugha katika interaction.
Mfano 1. Katika kiswahili unaweza kupata misamiati ya kireno ijapokuwa wareno walikua wachache less than 1%..
2. Katika lugha ya Kiingereza kunamisamiati ya makabila yote yaliyowahi kutawala England. Kama France etc.
Lakini hakuna trace ya Lugha yoyoye ya Kiethiopia Armaric , Oromo etc katika Kinyarwanda au Kirundi.