Historia ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda: Kilio Cha Mifereji ya Damu iendayo Ethiopia

Nyie endekezeni kejeli na kujiona bora kuliko wengine siku yakiwapata msirudi kulia lia humu

Utaongea sanaaa lakin Rwandese kwaanza ndio wanapiga hatua ya maendeleo lwa kasi ya 5G[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nani aje kukuomba msaada maskini mpaka kwenye nywele
 
Wahutu ni wabantu ila watutsi ni cuishites so nasema watutsi meaning wacush wa rwanda na burundi ila wakienda uganda na congo na tz wana majina tofauti but they belong to one family HEMA EMPIRE ambao ni cuishites wa ethiopia hata the bold kwenye uzi wake amelisema hilo

So bahima bakiga banyamulenge bahema banyankole bachwez bageegere bafumbira baangaza batooro wote hao ni familia moja na ''WATUTSI'' !!!

So wahutu kwa Tanzania unaweza sema waha waskuma wakurya its still fine coz kihistoria sisi sote ni wabantu!!
Kaka hauko sahihi. Kabisa.

Hutu na Tusti siyo makabila. Kabila ni moja Abhanyarwanda.

Hutu ni koo na Tusti ni koo. Na hizi koo ziko katika makabila mengi East Africa.

Hata usukumani hadi ugogoni kunahizo koo.

Issue Rwanda imekuwa na chuki kati hao.
 
Watutsi sio kabila ila naandika hapa ili tuweze kueleweka nani ni nani hapo rwanda...... Ila kabila la watutsi ni WAHEMA hao wapo nchi zaidi ya 9 hapa Afrika!! So it's all the same watutsi kwenu ni ethiopia period huko rwanda mlivamia tu kusaka mazao ya wanyama!
Kaka uko wrong katika somo la peopling of East Africa.

Tunachoita kabila its just Language and cultural group of people.

Kila kabila kuna watu kwenye asili ya Cush, Bantu and Hamitic.

Mfano hata Kurya

Ukiwasoma kunakoo ni za Kibantu, zingine Kihamit na Cush.
 
Kaka hauko sahihi. Kabisa.

Hutu na Tusti siyo makabila. Kabila ni moja Abhanyarwanda.

Hutu ni koo na Tusti ni koo. Na hizi koo ziko katika makabila mengi East Africa.

Hata usukumani hadi ugogoni kunahizo koo.

Issue Rwanda imekuwa na chuki kati hao.
Okay nashukuru kwa maoni yako ila labda nikusahishe kidogo wahutu ni makabila ya kibantu yaliyohamia afrika ya kati na watutsi walitokana na makabila ya ki-cush yaliyotokea pembe ya afrika hivyo wakaoana na kuishi pamoja miaka mingi hivyo waka "assimilate" na kuwa banyarwanda na hiyo imefanyika tafiti nyingi kuprove kwamba uzazi wa watutsi zaidi ya 70% unatokea ethiopia ilihali wa wahutu zaidi ya 70% ni makabila ya kibantu kutokea afrika ya kati pitia hizi page kwenye eneo la GENETICS

Y-DNA (paternal lineages)Edit
Modern-day genetic studies of the Y-chromosome generally indicate that the Tutsi, like the Hutu, are largely of Bantu extraction (60% E1b1a, 20% B, 4% E3). Paternal genetic influences associated with the Horn of Africa and North Africa are few (16% E1b1b), and are ascribed to much earlier inhabitants who were assimilated. However, the Tutsi have considerably more Nilo-Saharan paternal lineages (14.9% B) than the Hutu (4.3% B).[10]

Trombetta et al. (2015) found 22.2% of E1b1b in a small sample of Tutsis from Burundi, but no bearers of the haplogroup among the local Hutu and Twa populations.[11] The subclade was of the M293 variety, which suggests that the ancestors of Tutsis in this area may have assimilated some Southern Cushitic-speaking pastoralists.[12]

Source:
Ethnic groups in Rwanda - Wikipedia

Tutsi - Wikipedia
 
Kaka uko wrong katika somo la peopling of East Africa.

Tunachoita kabila its just Language and cultural group of people.

Kila kabila kuna watu kwenye asili ya Cush, Bantu and Hamitic.

Mfano hata Kurya

Ukiwasoma kunakoo ni za Kibantu, zingine Kihamit na Cush.
Okay nimekuelewa mkuu ila haipingi ukweli kwamba kwa banyarwanda koo ya TUTSI imetokana na makabila ya WAKUSHI ilihali koo za kihutu imetokana na makabila ya KIBANTU hivyo bado inakuwa sahihi kwamba watutsi nature yao ni ETHIOPIA na wahutu ni AFRIKA YA KATI sema waliishi pamoja kwa miaka mingi ndio maana wakawa KABILA MOJA sijui naeleweka

Tutsi are pastoralists ilihali wabantu ni wakulima.... Mababu zao ni tofauti mkuu tafiti mkuu utagundua nachosema ni sahihi

Soma hapa uone watutsi walitokea wapi na wahutu walitokea wapi karne ya 15 hiyo

Bantu and Nilotic conflict is cause of instability in Great Lakes region | Eric Kashambuzi
 
Okay nashukuru kwa maoni yako ila labda nikusahishe kidogo wahutu ni makabila ya kibantu yaliyohamia afrika ya kati na watutsi walitokana na makabila ya ki-cush yaliyotokea pembe ya afrika hivyo wakaoana na kuishi pamoja miaka mingi hivyo waka "assimilate" na kuwa banyarwanda na hiyo imefanyika tafiti nyingi kuprove kwamba uzazi wa watutsi zaidi ya 70% unatokea ethiopia ilihali wa wahutu zaidi ya 70% ni makabila ya kibantu kutokea afrika ya kati pitia hizi page kwenye eneo la GENETICS

Y-DNA (paternal lineages)Edit
Modern-day genetic studies of the Y-chromosome generally indicate that the Tutsi, like the Hutu, are largely of Bantu extraction (60% E1b1a, 20% B, 4% E3). Paternal genetic influences associated with the Horn of Africa and North Africa are few (16% E1b1b), and are ascribed to much earlier inhabitants who were assimilated. However, the Tutsi have considerably more Nilo-Saharan paternal lineages (14.9% B) than the Hutu (4.3% B).[10]

Trombetta et al. (2015) found 22.2% of E1b1b in a small sample of Tutsis from Burundi, but no bearers of the haplogroup among the local Hutu and Twa populations.[11] The subclade was of the M293 variety, which suggests that the ancestors of Tutsis in this area may have assimilated some Southern Cushitic-speaking pastoralists.[12]

Source:
Ethnic groups in Rwanda - Wikipedia

Tutsi - Wikipedia
Kaka.

Sina authorities ya kubishana na data ulozoweka. Ziko sawa kabisa.
Umeshindwa kufanya reasoning sahihi.

Hiyo study ni ya Rwanda and Burundi. Je unajua genetic make up za Wagogo, Wakurya Wangoni au Waha au Chagga.

Kote huko kuna koo zenye genes za Kiethiopia au Kibantu kwa proposition tofauti tofauti.

Ukitumia dhana ya kuwa na Gene kama za uethiopia ndo kuwa kablia la Kiethiopia basi unaweza kuta wadatoga Wa Tz ni Cush kuriko Watusi Wa Rwanda.

Nimalize kwa kusema Genetic Tusti are Bantu like Hutu.

Na Ubantu na Ukushi si sababu ya Mgogoro wa Rwanda Burundi. Maana Ubantu na Ukushi uko kila Taifa East Afrika mafano Kenya wakush Niwengi kuliko Wabantu lakini wabantu ndo dominant class katika siasa.

Hapa Tz ukifanya genetic Research nakuakikishia more than 50% of Tz are more Cushites than theTusti.

The Issue is not about Genetic
 
Okay nimekuelewa mkuu ila haipingi ukweli kwamba kwa banyarwanda koo ya TUTSI imetokana na makabila ya WAKUSHI ilihali koo za kihutu imetokana na makabila ya KIBANTU hivyo bado inakuwa sahihi kwamba watutsi nature yao ni ETHIOPIA na wahutu ni AFRIKA YA KATI sema waliishi pamoja kwa miaka mingi ndio maana wakawa KABILA MOJA sijui naeleweka

Tutsi are pastoralists ilihali wabantu ni wakulima.... Mababu zao ni tofauti mkuu tafiti mkuu utagundua nachosema ni sahihi

Soma hapa uone watutsi walitokea wapi na wahutu walitokea wapi karne ya 15 hiyo

Bantu and Nilotic conflict is cause of instability in Great Lakes region | Eric Kashambuzi
Acha kutazama issue ya Rwanda kwa jicho la Bantu na kush.

Utazame kama Hutu na Tutsi.

Kuhusu wafugaji kutawala wakulima liko all over the world hata arabuni na kila mahala nisomo pana sana.

Natamani kupata muda niandike maoni yangu juu ya huu mgogoro Wa HUTU TUSTI . ila kama msomaji tafuta kitabu cha Prof Mahmoud Mahmadani kinaitwa When Victims become killers.

Ameendaka vizuri sana juu ya origin ya Hutu Tusti in Rwanda.

In short.

Tusti imetokana na ruling class ya Rwanda empire from 16 century kutokana na Sera za empire hiyo class ikaoana wao kwa wao ikawa na CHAKULA, kazi tofauti na majority.

Mfano mzuri nikama wahab Wa Saudia wasioe nje ya Wahabi baada ya miaka miatano Wahabi watakuwa na distinguish feature from other Saudis.
 
We are turned on. We will see what next after Kagame because as usual in Africa we are not seeing the succession plan after Kagame as if he will live forever. Hew currently above 60 years.
 
Kaka.

Sina authorities ya kubishana na data ulozoweka. Ziko sawa kabisa.
Umeshindwa kufanya reasoning sahihi.

Hiyo study ni ya Rwanda and Burundi. Je unajua genetic make up za Wagogo, Wakurya Wangoni au Waha au Chagga.

Kote huko kuna koo zenye genes za Kiethiopia au Kibantu kwa proposition tofauti tofauti.

Ukitumia dhana ya kuwa na Gene kama za uethiopia ndo kuwa kablia la Kiethiopia basi unaweza kuta wadatoga Wa Tz ni Cush kuriko Watusi Wa Rwanda.

Nimalize kwa kusema Genetic Tusti are Bantu like Hutu.

Na Ubantu na Ukushi si sababu ya Mgogoro wa Rwanda Burundi. Maana Ubantu na Ukushi uko kila Taifa East Afrika mafano Kenya wakush Niwengi kuliko Wabantu lakini wabantu ndo dominant class katika siasa.

Hapa Tz ukifanya genetic Research nakuakikishia more than 50% of Tz are more Cushites than theTusti.

The Issue is not about Genetic
Samahani mkuu labda cjakuelewa labda niulize hoja yako ni nini hasa?? Sijaelewa maana mie naongelea Rwanda kwani ni wapi nimekataa hapa Tanzania kuna cuishite group of people???

Nilichosema ni watutsi wametokea ethiopia na wahutu ni afrika ya kati which is true sasa kipi ambacho tunadebate hapa??

Kwahiyo wagogo wakiwa wacush inabadilisha ukweli kwamba WATUTSI sio wacush??

Wewe ulisema wahutu na watutsi ni kabila moja which is true mimi nikasema kwamba ni kabila moja ila ni mjumuiko wa makabila mawili sasa unaponipa mifano ya wagogo inaingiaje hapa??

Yaani sijakuelewa basis ya kudebate inatokea wapi nieleweshe
 
Hoja ni Tutsi hawajatoka Ethiopia.

Kuwa na % fulani ya genetics Ka Ethiopia si issue ndo ntakwambia kuna koo nyingi tu zinahizo genes.
 
Acha kutazama issue ya Rwanda kwa jicho la Bantu na kush.

Utazame kama Hutu na Tutsi.

Kuhusu wafugaji kutawala wakulima liko all over the world hata arabuni na kila mahala nisomo pana sana.

Natamani kupata muda niandike maoni yangu juu ya huu mgogoro Wa HUTU TUSTI . ila kama msomaji tafuta kitabu cha Prof Mahmoud Mahmadani kinaitwa When Victims become killers.

Ameendaka vizuri sana juu ya origin ya Hutu Tusti in Rwanda.

In short.

Tusti imetokana na ruling class ya Rwanda empire from 16 century kutokana na Sera za empire hiyo class ikaoana wao kwa wao ikawa na CHAKULA, kazi tofauti na majority.

Mfano mzuri nikama wahab Wa Saudia wasioe nje ya Wahabi baada ya miaka miatano Wahabi watakuwa na distinguish feature from other Saudis.
Bantu and Nilotic conflict is cause of instability in Great Lakes region | Eric Kashambuzi

Mkuu usisome historia kwa upande mmoja kwamba wakulima na wafugaji unaishia hapo mie nimekuwekea article hapo juu inaeleza kwa utafiti na quotes za vitabu zaidi ya 20 kuhusu nature ya HUTU na TUTSI ni zao la mgogoro wa wabantu na wacush.....

Nmeshaeleza kongo ipo jamii ya kikush inaitwa HEMA ipo Bunia nayo inawaburuza sana walendu ambao ni wabantu

Uganda wapo wanyankole wanaburuza sana wabantu wa BAGANDA

Hivyo kwanini bado huwezi kuona kwamba CUISHITES wana tamaa ya madaraka na kupenda kuonea wabantu na kuwadharau

Hawa waliopo kwa wagogo au waha n.k unakuta walishakuwa assimilated zamani sana hivyo nature inapungua ila makabila ambayo KIGENETIC ni ya kutoka CUSH yanajiona ndio bora zaidi na wana haki sana ya kuburuza makabila mengine

Kuna conference moja nilihudhuria huko nje hao kutoka ethiopia... Amharas waligoma kabisa kujiita waafrika wao wanakazania kuwa ni WAZUNGU waliohamia afrika nlijiskia vbaya sana sasa unaposema tusiangalie kwa CUSH na BANTU ntakuelewaje

Hata hapa bongo nafkiri unaona character za wahaya inahitaji tusiangalie kwa jicho la CUSH and BANTU groups

Ningeomba usome hii article mkuu nzima alafu ureview maoni yako kma bado yana uhalali wa kuangalia kwa jicho la UTUTSI na UHUTU cum WAKULIMA na Wafugaji AMA UCUSH na UBANTU

Ahsante
 
Hoja ni Tutsi hawajatoka Ethiopia.

Kuwa na % fulani ya genetics Ka Ethiopia si issue ndo ntakwambia kuna koo nyingi tu zinahizo genes.

Hapo juu nmequote article ya wikipedia kuhusu nature ya watutsi na wanasema kigenetic wao wanauzao wa CUSH pastoralists sasa hoja yako ya kukataa CUISHITE nature imetoka wapi

Ina maana karne ya 15 waCUSH hawakuja maziwa makuu kusaka eneo la malisho na utawala na wakakuta wabantu wamefika hapo???

Tutsi | people

Ina maana hadi brittannica wanapotosha???
 
Mkuu usisome historia kwa upande mmoja kwamba wakulima na wafugaji unaishia hapo mie nimekuwekea article hapo juu inaeleza kwa utafiti na quotes za vitabu zaidi ya 20 kuhusu nature ya HUTU na TUTSI ni zao la mgogoro wa wabantu na wacush.....

Nmeshaeleza kongo ipo jamii ya kikush inaitwa HEMA ipo Bunia nayo inawaburuza sana walendu ambao ni wabantu

Uganda wapo wanyankole wanaburuza sana wabantu wa BAGANDA

Hivyo kwanini bado huwezi kuona kwamba CUISHITES wana tamaa ya madaraka na kupenda kuonea wabantu na kuwadharau

Hawa waliopo kwa wagogo au waha n.k unakuta walishakuwa assimilated zamani sana hivyo nature inapungua ila makabila ambayo KIGENETIC ni ya kutoka CUSH yanajiona ndio bora zaidi na wana haki sana ya kuburuza makabila mengine

Kuna conference moja nilihudhuria huko nje hao kutoka ethiopia... Amharas waligoma kabisa kujiita waafrika wao wanakazania kuwa ni WAZUNGU waliohamia afrika nlijiskia vbaya sana sasa unaposema tusiangalie kwa CUSH na BANTU ntakuelewaje

Hata hapa bongo nafkiri unaona character za wahaya inahitaji tusiangalie kwa jicho la CUSH and BANTU groups

Ningeomba usome hii article mkuu nzima alafu ureview maoni yako kma bado yana uhalali wa kuangalia kwa jicho la UTUTSI na UHUTU cum WAKULIMA na Wafugaji AMA UCUSH na UBANTU

Ahsante
Mkuu. Mfano wako eti Wanyankole si wabantu uko pure uniformed. Wanyakole ni wabantu kabisa kaka

Labda unisaidie unaposema watu fulani ni wakushi unamaanisha nini...

Ndugu yangu
Miongoni wa element kubwa yakufuatilia asili ya watu ni lugha.

Hata u-assimilate vipi huwezi poteza misamiati yote ya lugha katika interaction.

Mfano 1. Katika kiswahili unaweza kupata misamiati ya kireno ijapokuwa wareno walikua wachache less than 1%..

2. Katika lugha ya Kiingereza kunamisamiati ya makabila yote yaliyowahi kutawala England. Kama France etc.

Lakini hakuna trace ya Lugha yoyoye ya Kiethiopia Armaric , Oromo etc katika Kinyarwanda au Kirundi.
 
Hapo juu nmequote article ya wikipedia kuhusu nature ya watutsi na wanasema kigenetic wao wanauzao wa CUSH pastoralists sasa hoja yako ya kukataa CUISHITE nature imetoka wapi

Ina maana karne ya 15 waCUSH hawakuja maziwa makuu kusaka eneo la malisho na utawala na wakakuta wabantu wamefika hapo???

Tutsi | people

Ina maana hadi brittannica wanapotosha???
Hao unaowarejea ndo walianzisha hii nadharia inaitwa Hamitic hypothesis.

Imeanzishwa na Wajeruman karne ya 19 mwishoni.

Haina fact imejengwa kwa mkitadha wa white superiority. Hii ndo chanzo cha hadi waethiopia kujiona wazungu eti Wa gene za kizungu.

Wakati wanawambia Watusi ni Waethiopia wakati huo huo wanawaambia Waethiopia ni Wazungu.

Kaka.
Narudia hakuna evidence yoyote linguistic au historical inayosema Tusti siyo Bantu.

Issue ya Genetic ndo nayo haiwafevi namna hizo chromosome ziko kwa kila black tunatofautiana percentage tu.

History ya waafrika kabla ya kuja wakoloni ndo naiamini zaidi. Wanyarwanda wanahistoria yao walioifadhi katika ngano zao nayo inasema wao ni ndugu ila wametofautiana kutokana na occupation za maisha.
 
Mkuu. Mfano wako eti Wanyankole si wabantu uko pure uniformed. Wanyakole ni wabantu kabisa kaka

Labda unisaidie unaposema watu fulani ni wakushi unamaanisha nini...

Ndugu yangu
Miongoni wa element kubwa yakufuatilia asili ya watu ni lugha.

Hata u-assimilate vipi huwezi poteza misamiati yote ya lugha katika interaction.

Mfano 1. Katika kiswahili unaweza kupata misamiati ya kireno ijapokuwa wareno walikua wachache less than 1%..

2. Katika lugha ya Kiingereza kunamisamiati ya makabila yote yaliyowahi kutawala England. Kama France etc.

Lakini hakuna trace ya Lugha yoyoye ya Kiethiopia Armaric , Oromo etc katika Kinyarwanda au Kirundi.
Mkuu hivi unachokataa ni nini?? Hata wanyankole ni intermarriage kati ya Cuishitic tribes kwa wabantu kunawafanya kuwa assimilated ila haiondoi ukweli kwamba forefathers wa ankole family ni CUISHITIC kabisa kutoka ethiopia waliokuja afrika ya mashariki miaka ya 1400 sasa kivp wanakuwa sio wacush

Mie siongelei makabila kutokana na lugha naongelea BLOODLINE na GENETICS pekee ndio maana hata ukiangalia kwenye RACES 3 wabantu wapo classified kma negroes where as cuishites are classified as HAMITES hivo hivo watutsi na wanyankole ni HAMITES ambao walikuwa ASSIMILATED kwa makabila ya kibantu hivyo asili yao kuwa SATURATED humo ndani sasa sielewi ambacho unapinga ni nini

Hoja yako ya lugha haifit hapa sababu hata ! Sasa tukitumia mfano wa lugha waisraeli wanaongea kiebrania ilihali wapalestina wanaongea kiarabu sasa jiulize ukifuatilia utagundua waisraeli ni SEMITES sawa tu na palestinians sasa kma hoja ni lugha si utakataa kuwa BABU yao wapalestina ni tofauti na WAISRAELI???

Keyword hapa ni GENETIC sio LINGUISTIC point of view
 
Back
Top Bottom