zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Ok mkuu naona debate hapa haitaisha labda nikubaliane tu kuheshimu mtazamo wako kwenye suala hiliHao unaowarejea ndo walianzisha hii nadharia inaitwa Hamitic hypothesis.
Imeanzishwa na Wajeruman karne ya 19 mwishoni.
Haina fact imejengwa kwa mkitadha wa white superiority. Hii ndo chanzo cha hadi waethiopia kujiona wazungu eti Wa gene za kizungu.
Wakati wanawambia Watusi ni Waethiopia wakati huo huo wanawaambia Waethiopia ni Wazungu.
Kaka.
Narudia hakuna evidence yoyote linguistic au historical inayosema Tusti siyo Bantu.
Issue ya Genetic ndo nayo haiwafevi namna hizo chromosome ziko kwa kila black tunatofautiana percentage tu.
History ya waafrika kabla ya kuja wakoloni ndo naiamini zaidi. Wanyarwanda wanahistoria yao walioifadhi katika ngano zao nayo inasema wao ni ndugu ila wametofautiana kutokana na occupation za maisha.