Historia ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda: Kilio Cha Mifereji ya Damu iendayo Ethiopia

Historia ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda: Kilio Cha Mifereji ya Damu iendayo Ethiopia

Hao unaowarejea ndo walianzisha hii nadharia inaitwa Hamitic hypothesis.

Imeanzishwa na Wajeruman karne ya 19 mwishoni.

Haina fact imejengwa kwa mkitadha wa white superiority. Hii ndo chanzo cha hadi waethiopia kujiona wazungu eti Wa gene za kizungu.

Wakati wanawambia Watusi ni Waethiopia wakati huo huo wanawaambia Waethiopia ni Wazungu.

Kaka.
Narudia hakuna evidence yoyote linguistic au historical inayosema Tusti siyo Bantu.

Issue ya Genetic ndo nayo haiwafevi namna hizo chromosome ziko kwa kila black tunatofautiana percentage tu.

History ya waafrika kabla ya kuja wakoloni ndo naiamini zaidi. Wanyarwanda wanahistoria yao walioifadhi katika ngano zao nayo inasema wao ni ndugu ila wametofautiana kutokana na occupation za maisha.
Ok mkuu naona debate hapa haitaisha labda nikubaliane tu kuheshimu mtazamo wako kwenye suala hili
 
Kila kitu kina faida na hasara zake PK ameuituliza nchi ILA anatawala kwa iron fist...ipo siku isiyokua na jina historia inaeza kujirudia...JUSTICE btn Tutsis n Hutus is the only way to everlasting peace
 
Ok mkuu naona debate hapa haitaisha labda nikubaliane tu kuheshimu mtazamo wako kwenye suala hili
Kaka ikupendeze uelewe makabila yanayoitwa Bantu tribe Leo ni mchanganyiko wa watu Wa Asilia za cush, hamities, Bantu etc. Ukisema kila kabila lenye watu kwenye asili ya Cush ni wakush basi utakosa Wabantu.

Hakuna kabila halina hizo chromosomes.

Narudia.

Shida ya Tusti mentality ilianzia Rwanda pale ruling class ilipoanza ubaguzi na kuumba selection kwa muda mrefu. Tafuta History ya Rwanda kabla ya ukoloni. Utaona tatizo linaanzia hapo.

Wakoloni wakaja wakaanzisha hii Hamitic Hypothesis kuwa Watusi ni Waethiopia na Wahutu ni wabantu.

Hivyo shida ya Watusi si shida ya wakushi. Hivyo usi-generalize Tz kunawakush kibao tena ambao hajachangamana na makabila mengine lakini hawana mentality za Watusi.

Mfano Wadatoga(wataturu)
 
Hapo juu nmequote article ya wikipedia kuhusu nature ya watutsi na wanasema kigenetic wao wanauzao wa CUSH pastoralists sasa hoja yako ya kukataa CUISHITE nature imetoka wapi

Ina maana karne ya 15 waCUSH hawakuja maziwa makuu kusaka eneo la malisho na utawala na wakakuta wabantu wamefika hapo???

Tutsi | people

Ina maana hadi brittannica wanapotosha???
Tunarudi pale pale origin ya wacush ni wapi? Na origin ya wabantu ni wapi? Empire ya bantu iliitwaje na empire ya kush iliitwaje? Tuanzie hapo
 
Mkuu hivi unachokataa ni nini?? Hata wanyankole ni intermarriage kati ya Cuishitic tribes kwa wabantu kunawafanya kuwa assimilated ila haiondoi ukweli kwamba forefathers wa ankole family ni CUISHITIC kabisa kutoka ethiopia waliokuja afrika ya mashariki miaka ya 1400 sasa kivp wanakuwa sio wacush

Mie siongelei makabila kutokana na lugha naongelea BLOODLINE na GENETICS pekee ndio maana hata ukiangalia kwenye RACES 3 wabantu wapo classified kma negroes where as cuishites are classified as HAMITES hivo hivo watutsi na wanyankole ni HAMITES ambao walikuwa ASSIMILATED kwa makabila ya kibantu hivyo asili yao kuwa SATURATED humo ndani sasa sielewi ambacho unapinga ni nini

Hoja yako ya lugha haifit hapa sababu hata ! Sasa tukitumia mfano wa lugha waisraeli wanaongea kiebrania ilihali wapalestina wanaongea kiarabu sasa jiulize ukifuatilia utagundua waisraeli ni SEMITES sawa tu na palestinians sasa kma hoja ni lugha si utakataa kuwa BABU yao wapalestina ni tofauti na WAISRAELI???

Keyword hapa ni GENETIC sio LINGUISTIC point of view
So hakuna wabantu jamii za wafugaji? Hakuna cushites ambao wanachotegemea maishani ni kilimo?
 
Kaka ikupendeze uelewe makabila yanayoitwa Bantu tribe Leo ni mchanganyiko wa watu Wa Asilia za cush, hamities, Bantu etc. Ukisema kila kabila lenye watu kwenye asili ya Cush ni wakush basi utakosa Wabantu.

Hakuna kabila halina hizo chromosomes.

Narudia.

Shida ya Tusti mentality ilianzia Rwanda pale ruling class ilipoanza ubaguzi na kuumba selection kwa muda mrefu. Tafuta History ya Rwanda kabla ya ukoloni. Utaona tatizo linaanzia hapo.

Wakoloni wakaja wakaanzisha hii Hamitic Hypothesis kuwa Watusi ni Waethiopia na Wahutu ni wabantu.

Hivyo shida ya Watusi si shida ya wakushi. Hivyo usi-generalize Tz kunawakush kibao tena ambao hajachangamana na makabila mengine lakini hawana mentality za Watusi.

Mfano Wadatoga(wataturu)
Kumbe wacush nao ni wabantu? Ushanichanganya
 
Tunarudi pale pale origin ya wacush ni wapi? Na origin ya wabantu ni wapi? Empire ya bantu iliitwaje na empire ya kush iliitwaje? Tuanzie hapo
Bantu wametokea afrika magharibi sina uhakika ni empire gani hasa maana walitoka zamani sana takribani miaka 3000 iliopita ndio wakasogea afrika ya kati..... Hao cuishites walitokea kingdom of axum miaka 900 hivi baada ya kristo...... Hivyo kwa bloodline hizi zikazaana na kuingiliana zimezaa makabila mengi tu ila koo bado zinaweza tenganishwa kwa kukujua yupi mi mcush au nilote au bantu....

Kwa muktadha huu wahutu walitokana na wabantu na watutsi walitokana ma wacush waliosogea maziwa makuu kusaka malisho karne ya 14.... Wakazaliana wakazaa makabila mengi wakiwemo BANYARWANDA ndio hivo wakawa kabila moja sababu waliingiliana kijamii kwa miaka zaidi ya 1000 sasa
 
So hakuna wabantu jamii za wafugaji? Hakuna cushites ambao wanachotegemea maishani ni kilimo?
Inawezekana ila cushites asilimia kubwa wafugaji alafu wabantu ndio wakulima ingawa viceversa inawezekana kwa baadhi ya makabila ya kibantu na kicush

Ila hapa siongelei ufugaji naongelea GENES.... Bado kwa tafiti nlizoweka hapo juu zinaonyesha watutsi wana vinasaba vya wakush ilihali wahutu wana vinasaba vya wabantu hivo kuconclude kwamba ingawa wamekuwa kabila moja ila mababu zao ni tofauti hivyo ni JAMII mbili tofauti kabisa
 
Bado unaamini wacush wote ni wakorofi na wanapenda kuwatawala wabantu? Au hao watusi wa kwenu ndo wenye matatizo hayo?
 
Bado unaamini wacush wote ni wakorofi na wanapenda kuwatawala wabantu? Au hao watusi wa kwenu ndo wenye matatizo hayo?
Ndio mimi binafsi nmekaa nao kwa hizi nchi za maziwa makuu wacush wanadharau sana hata waethiopia wanajikuta sana kwamba wao ni bora sana kuliko wengine hata hawajiiti waafrika wanajiita wazungu wa kutoka israel!!!

Nakumbuka hta kuna mtusi mmoja anaitwa rurangirwa ivan aliniambia eti watutsi nao damu yao ni ya kiisraeli hivyo wameumbwa kutawala sababu ni chosen race !!! Nlichoka kabisa

Wacush mnadharau sana badilikeni hata wabantu ni waafrika wenzenu pia
 
Sasa mtusi mmoja kusema hivyo ndo ukageneralise wakush wote?
 
Sasa mtusi mmoja kusema hivyo ndo ukageneralise wakush wote?
Hapana mtutsi mmoja alisema ivo

Waethiopia huwa wanasema wao sio waafrika

Wanyamulenge wanasema hawawezi oa makabila ya kongo eti ni kujichafua

Wahima wa uganda wameapa hawaolewi na wagganda eti ni haramu

Nmemskia pia mhema wa bunia congo akidai ni mwiko kuoa mlendu (bantu wa congo) na ukoo utakutenga

Hata kigoma nlipokulia huku kalinzi nao watutsi wanajitenga sana na kutudharau wazawa

Yeyote JF aliyepita maeneo nliotaja ataweza kuthibitisha hilo.... Wacush wanajiskia sana na kiburi kingi chenye madharau kibao
 
Hizo tabia zipo hata kwa wahindi, wazungu, waarabu, wakorea nk. Lakini hatujaona wakiuliwa why tutsi? Why kill them?
 
Hata wamasai sio wabantu mzee so ni cushites. Na kwa mtazamo wako cushites ni minority na wana mpango wa kujenga hema empire. Kama Kenya &tz zikiongozwa na mmasai kwa akili zako utasema hema empire imetimia

Maasai ni nilotic sio wa cush
 
Kaka uko wrong katika somo la peopling of East Africa.

Tunachoita kabila its just Language and cultural group of people.

Kila kabila kuna watu kwenye asili ya Cush, Bantu and Hamitic.

Mfano hata Kurya

Ukiwasoma kunakoo ni za Kibantu, zingine Kihamit na Cush.

Kweli brother sababu hata ukiongea na wazee wa kikurya watakuambia wengine wanatokana na wabantu hata kimaumbile unaona kabisa na koo zingine ni himatic , nilotic na cushites hata kimaumbile unawaona ila mwisho wa siku wote ni wakurya kwaio kuna uwezekano wa kabila moja kwa sasa kua jamii mbili tofauti ndani yake
 
Acha kutazama issue ya Rwanda kwa jicho la Bantu na kush.

Utazame kama Hutu na Tutsi.

Kuhusu wafugaji kutawala wakulima liko all over the world hata arabuni na kila mahala nisomo pana sana.

Natamani kupata muda niandike maoni yangu juu ya huu mgogoro Wa HUTU TUSTI . ila kama msomaji tafuta kitabu cha Prof Mahmoud Mahmadani kinaitwa When Victims become killers.

Ameendaka vizuri sana juu ya origin ya Hutu Tusti in Rwanda.

In short.

Tusti imetokana na ruling class ya Rwanda empire from 16 century kutokana na Sera za empire hiyo class ikaoana wao kwa wao ikawa na CHAKULA, kazi tofauti na majority.

Mfano mzuri nikama wahab Wa Saudia wasioe nje ya Wahabi baada ya miaka miatano Wahabi watakuwa na distinguish feature from other Saudis.
Hicho kitabu unayo PDF?
 
Tofauti yake nini hao watu?

cushites wana vinasaba vya watu wa asia ya kusini katika build up yao , nilotic hawana hivyo vinasaba kabisa, jamii za nilotic kwa east africa ni maasai,luo , wasudani kusini, makabila ya kaskazini mwa uganda (si yote ila mengi yao), baadhi ya koo za makabila ya kikurya mfano mkwabe na baadhi ya koo za wameru wa tanzania
 
Back
Top Bottom