Historia ya Mji wa Malindi Kenya

Historia ya Mji wa Malindi Kenya

azerbaijan

New Member
Joined
Jul 4, 2015
Posts
4
Reaction score
1
Kati ya miji tajika katika pwani, Malindi ni moja wapo wa miji yenye historia kubwa baada ya miji kama Zanzibar na Mombasa. Inakisiwa kuuanzishwa karne ya kumi na tatu, ikiwa katika dola ya waarabu.
malindi-house-of-columnd-malindians-1200x655.png


Malindi kenya imepitia mikono wa wabambe kadhaa tangu enzi hizo. Hii ni ikiwemo waarabu wa Zanzibar (wenye asili ya Oman), Wareno (Portuguese) na Waingereza (British). Historia yao imebadilisha muonekano wa kila mji katika Africa Mashiriki na kuweko kwa mji huu ndio kumechangia kujengeka kwa miji miingine yote. History of Malindi
 
Back
Top Bottom