Mr Alpha
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 273
- 765
Huenda mashabiki wa timu ya Cr Belouzdad leo watakuwa wamelaani sana matokeo ya Yanga dhidi ya Al Ahly ila kibongo bongo hawa ndugu zetu sio wageni tunawajua, ndugu yangu mkulima wa bamia Kigamboni kaka Yericko Nyerere anawajua vema pia
Fikiria rais wao ameenda pale Misri na kuishia kumwaga sifa tele kwa Al Ahly mlitarajia matokeo ya aina gani? Yaan ukute mmeo anamsifia housegirl usishtuke? [emoji16]
Anyway ila baada ya Yanga kupoteza mchezo wa leo imekuwa nafasi ya pili kwenye kundi, bado inawaeka kwenye hatari ya kukutana na yale majitu ya mtumba Mamelodi sundowns
Tuwaombee [emoji16][emoji16][emoji16]