Historia ya mlungula inawabeba Yanga

Historia ya mlungula inawabeba Yanga

Mr Alpha

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2018
Posts
273
Reaction score
765
Huenda mashabiki wa timu ya Cr Belouzdad leo watakuwa wamelaani sana matokeo ya Yanga dhidi ya Al Ahly ila kibongo bongo hawa ndugu zetu sio wageni tunawajua, ndugu yangu mkulima wa bamia Kigamboni kaka Yericko Nyerere anawajua vema pia

Fikiria rais wao ameenda pale Misri na kuishia kumwaga sifa tele kwa Al Ahly mlitarajia matokeo ya aina gani? Yaan ukute mmeo anamsifia housegirl usishtuke? [emoji16]

Anyway ila baada ya Yanga kupoteza mchezo wa leo imekuwa nafasi ya pili kwenye kundi, bado inawaeka kwenye hatari ya kukutana na yale majitu ya mtumba Mamelodi sundowns

Tuwaombee [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Huenda mashabiki wa timu ya Cr belouzdad leo watakuwa wamelaani sana matokeo ya Yanga dhidi ya Al Ahly ila kibongo bongo hawa ndugu zetu sio wagen tunawajua, ndugu yangu mkulima wa bamia Kigamboni kaka Yericko Nyerere anawajua vema pia

Fikiria rais wao ameenda pale Misri na kuishia kumwaga sifa tele kwa Al Ahly mlitarajia matokeo ya aina gani? Yaan ukute mmeo anamsifia housegirl usishtuke? [emoji16]

Anyway ila baada ya Yanga kupoteza mchezo wa leo imekuwa nafasi ya pili kwenye kundi, bado inawaeka kwenye hatari ya kukutana na yale majitu ya mtumba Mamelodi sundowns

Tuwaombee [emoji16][emoji16][emoji16]
Za ndaaaani, Yanga ndani ya miezi hii 2 imeikimbia Simba mara 2. Yanga wanaona afadhali wakutane na Mamelodi lakini si Simba ya kimataifa, ile Simba ya mpira mkubwa iliyoipiga vibao viwili vya "mtoto shika adabu yako".
 
Simba ipi? Hii ya Fred na Babakar?? Haya bhana
 
Huenda mashabiki wa timu ya Cr Belouzdad leo watakuwa wamelaani sana matokeo ya Yanga dhidi ya Al Ahly ila kibongo bongo hawa ndugu zetu sio wageni tunawajua, ndugu yangu mkulima wa bamia Kigamboni kaka Yericko Nyerere anawajua vema pia

Fikiria rais wao ameenda pale Misri na kuishia kumwaga sifa tele kwa Al Ahly mlitarajia matokeo ya aina gani? Yaan ukute mmeo anamsifia housegirl usishtuke? [emoji16]

Anyway ila baada ya Yanga kupoteza mchezo wa leo imekuwa nafasi ya pili kwenye kundi, bado inawaeka kwenye hatari ya kukutana na yale majitu ya mtumba Mamelodi sundowns

Tuwaombee [emoji16][emoji16][emoji16]
Umeandika ushuzi 💨 tu hapa.
 
t

tulia wewe mwakarobo aka kolouzdad aka moxtra fc...Yanga Africa wanataka waiheshimishe nchi,nyie bakini robo kilo yenu sie wale twaruka pruuuuuu
 
Huenda mashabiki wa timu ya Cr Belouzdad leo watakuwa wamelaani sana matokeo ya Yanga dhidi ya Al Ahly ila kibongo bongo hawa ndugu zetu sio wageni tunawajua, ndugu yangu mkulima wa bamia Kigamboni kaka Yericko Nyerere anawajua vema pia

Fikiria rais wao ameenda pale Misri na kuishia kumwaga sifa tele kwa Al Ahly mlitarajia matokeo ya aina gani? Yaan ukute mmeo anamsifia housegirl usishtuke? [emoji16]

Anyway ila baada ya Yanga kupoteza mchezo wa leo imekuwa nafasi ya pili kwenye kundi, bado inawaeka kwenye hatari ya kukutana na yale majitu ya mtumba Mamelodi sundowns

Tuwaombee [emoji16][emoji16][emoji16]
Mpira umeanza kufatilia lini? Belouizdad hawawezi kulaani matokeo ya Al Ahly vs Yanga kwasababu hata Yanga angefungwa magoli 10 yasingessidia kitu kwa Belouizdad
 
Za ndaaaani, Yanga ndani ya miezi hii 2 imeikimbia Simba mara 2. Yanga wanaona afadhali wakutane na Mamelodi lakini si Simba ya kimataifa, ile Simba ya mpira mkubwa iliyoipiga vibao viwili vya "mtoto shika adabu yako".
Kwahiyo unaamini kuwa Yanga anauwezo wa kumfunga Al Ahly ila kafungwa makusudi si ndio?
 
Za ndaaaani, Yanga ndani ya miezi hii 2 imeikimbia Simba mara 2. Yanga wanaona afadhali wakutane na Mamelodi lakini si Simba ya kimataifa, ile Simba ya mpira mkubwa iliyoipiga vibao viwili vya "mtoto shika adabu yako".
Timu imepigwa tano halafu ikimbiwe. Yaani vituko vingine aisee
 
Za ndaaaani, Yanga ndani ya miezi hii 2 imeikimbia Simba mara 2. Yanga wanaona afadhali wakutane na Mamelodi lakini si Simba ya kimataifa, ile Simba ya mpira mkubwa iliyoipiga vibao viwili vya "mtoto shika adabu yako".
1-5
 
Attachments

  • FB_IMG_17092318215078852.jpg
    FB_IMG_17092318215078852.jpg
    297.5 KB · Views: 3
Back
Top Bottom