Historia ya Mwl. Crian Rwegasira Karoly

Historia ya Mwl. Crian Rwegasira Karoly

Duuuuuuh mtu wa 90s he looks az 70s, mweeeeeeeeeeh nisamehe lakini lol
 
Nilitegemea kumuona mwalimu aliyepigania Uhuru au mmojawapo ya wanachama wa mwanzo wa TANU kumbe ni jamaa mmoja hivi wa 90s[emoji23].
 
Mwl Crian Rwegasira Karoly alizaliwa tarehe 02/02/1990 katika kitongoji Nyamitundu Kijiji Kisana kata Kyebitembe wilaya Muleba Mkoani Kagera.

Alianza shue katika shule ya msingi Burigi kata Karambi (w) Muleba - Kagera mwaka 1999 na kuhitimu mwaka 2005 kwa kupata alama 111 pia alijiunga na sekondari Humura ( w) Muleba Kagera mwaka 2007 na kuhitimu mwaka 2010 kwa ufaulu mzuri.

Mwaka 2011 mwl Crian Rwegasira Karoly alijiunga na chuo cha ualimu St.Francis Nkindo na kuhitimu mwaka 2013 .Mwaka 2014 alipata ajira ya ualimu Mkoa wa Kagera wilayani Kyerwa s/msingi Kihinda, mwaka 2018 alihamia Wilayani Muleba .

Kuanzia mwaka 2015 alichaguliwa na staff yake kuwa mwalimu mkuu msaidizi hata alipohamia Wilayani Muleba alichaguliwa tena na staff mwaka 2019 kuwa mwalimu mkuu msaidizi.

fb hiyo.
 
Back
Top Bottom