Historia ya Noti na Sarafu za Tanzania

Noti ya Mia Tano ni ya Kitambo ilifutwa lakini imegoma kung'oka tena ilipotangazwa kuondolewa sokoni ndipo zilifumuka Mia tano za Noti Nyingi mpya mpya sana Sikuelewa nini maana yake nikahisi kuna issue hapo.... hadi sasa hivi nahisi kuna jipu kuu... ila No Sweat tu tunasonga nazipenda sana Noti zenye Rangi ya Kijani zinapendeza haswa nikikumbuka noti za Shillingi Kumi green color
 
10 Tz Shilling
Noti niliyopenda kuliko zote... Nakumbuka nilikuta Kibunda Chumbani kwa Mdingi wangu nikazihesabu zote zilikuwa mpya Hesabu yenyewe iliishia elfu tatu first time kushika pesa Nyingi nilishangazwa... nakumbuka ndio nilikuwa naongoza class kwa Hesabu so nilizihesabu twice nijue sijakosea...
 
Dah Mkuu Asante Sana, Wale Walimu wa Uchumi Hii Inawahusu Sana Mana Shuleni Tunafundishwa Histori za Sarafu na Noti za Nchi Zingine. Thanks Mkuu
 
kweli hata mimi nimependa
uko vizuri Mkuu
 
Kichuguu nyuma ya noti ya shilingi 1000 haikuwa kiwanda cha nyama cha Kawe bali mgodi wa makaa ya mawe Kiwira
 
Kichuguu nyuma ya noti ya shilingi 1000 haikuwa kiwanda cha nyama cha Kawe bali mgodi wa makaa ya mawe Kiwira
Asante kwa kurekebisha rekodi, hata hivyo jambo hilo lilijibiwa zamani kidogo na mchangiaji mwingine, nadhani ilikuwa kipindi hicho hicho nilipopost thread hii, yaani mwaka 2007 (karibu miaka kumi iliyopita!)
 
Asante kwa kurekebisha rekodi, hata hivyo jambo hilo lilijibiwa zamani kidogo na mchangiaji mwingine, nadhani ilikuwa kipindi hicho hicho nilipopost thread hii, yaani mwaka 2007 (karibu miaka kumi iliyopita!)
Nimegundua mimi mwenyewe nililijibu jambo hili mwaka 2011 ndipo tukapigia debe uwepo wa jukwaa la Historia.
 
Eti nyie Wanzibar wenzangu mbona mwajitoa ufahamu, mnadai haki kwa kichuguu, yeye alichofanya Ni kuleta historia hapa. Hizo fedha zingine hazitumiki sasa hivi alaah mbona mwatuabisha, si mfungue mada muelezee jinsi mlivyonyimwa haki Kama ipo.
 
Tujikumbushe tulikotoka. Hizi ni baadhi ya noti zilizowahi kutumika kwa malipo halali hapa Tanzania.

Unakumbuka nini wakati wa matumizi ya noti hizi?
 
nakukumbuka Enzi zile walikua wanasema Hela 7 au Hela 10 nk sio pesa au sh. 10 au sh 100 kama sasa ivi
 
hakika ni darasa huru kabisa lenye kudhihirisha historia nzuri a noti ya tanzania,ila mkuu naomba nikukumbushe na hizi noti za mwendo kasi za coin ya miatano
 
asante sana mwanzisha mada,,,,,
dah! kumbe mimi wa karibuni sana,,,,,shikamoo kwa walionitangulia haswa, note nyinginezo mimi sikuzifahamu jamani, history is Holly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…