Historia ya Noti na Sarafu za Tanzania

Historia ya Noti na Sarafu za Tanzania

Thamani ya fedha yetu inazidi kushuka kila uchao.

Kituko cha kutumia sarafu aina mbili tofauti bado kinaendelea na seems tushakuwa wazoefu.....
 
hivi kuna vigezo vyovyote vinaangaliwa kuweka sura ya rais kwenye sarafu au noti?
au ni maamuzi tu ya wakati huo wa kubadili sarafu
 
Duu! kweli hii ni historia ambayo ni nzuri sana! Hongera Kichuguu! unaweza kuandika thesis yako kuhusu hizi note pamoja na sarafu....kwa sababu zimepitia katika mifumo tofautitofauti kiutawala na kiuchumi...kwa mfano kuanzia mika ya 1980s' kulikuwa na mgogoro wa kiuchumi ambao ulilazimisha nchi zetu kushusha thamani ya sarafu....unaweza kuona katika mageuzi ya kiuchumi na kukubaliana na IMF na World Bank kwenye utawala wa mwinyi shilingi yetu ilishushwa thamani ndiyo ikatengenezwa note ya sh 5,000 na sh. 10,000/- Au vilevile unaweza akaandika kitabu..lkn tatizo watu wetu hawapendi kusoma vitabu. Big up sana
 
Very interesting thread,,,,,,,,, Jamiiforums at its best!
 
Ilianzishwa 2007, lakini leo nimeiona, kuisoma na kupata historia ambayo ni adimu. Asante sana kwa darasa popote ulipo Kichuguu
 
Last edited by a moderator:
Darasa zuri! Tukumbuke tulikotoka, ila noti ya 100 imefanana sana mpaka nimesahau niliiona ya 1978 au 1986
 
Back
Top Bottom