Huyu jamaa nakumbuka siku waliyomfukuza Uislamu..
Aliita Jopo la Ulaamaa Na Masheikh wa Madhehebu yote/Wawakilishi halafu akawaambia eti yeye Hamza amekuja kwenye Mwili Yeye ni Nabii Ilyassa (Nabii Elisha)..
Alipigwa Spana Na kufukuzwa kwenye uislamu Juu...
Akaanzisha Dini yake Yenye mchanganyiko wa Uislamu na Ukristo 🤣🤣
Leta nyaraka hatununui maelezo matupu shekhWakatoliki ndio walioanzisha Uislamu Ili kuwaweka waarabu ndani ya utawala mmoja wa kiimani, kabla waarabu walikuwa wakiabudu miungu yao mbalimbali kupitia masanamu Ili iwe rahisi kuwatawala, Majasusi wa Shirika la Jesuit vatican wakaanzisha dini mpya itwayo islam,itakayowaunganisha waarabu wote kiimani mwaka 600 AD. Mapadre watano wa kikatoliki ndio walioandika kitabu cha Quran na kumtafuta mwanamke mfanyabiashara aitwae Bi Hadija na kumpa utajiri. Bi khadija ndie alimtafuta kijana aitwae Muhammad akamkabidhi kwa mapadre wa kikatoliki ndio waliomfunza Quran mapangoni.Ndipo Uislamu ukaenea kwa kasi Sana Katika nchi za kiarabu ambazo zamani zilikuwa ni nchi za Kikristo ukavuka mpaka na kutaka kuingia nchi za Ulaya mashariki kutokea Uturuki Ili kwenda kuiteka Vatican, Majasusi wa Jesuit wakaingia tena vitani wakarudisha nyuma kupitia vita vya msalaba waarabu wakala Sana panga toka vatican wakarudi nyuma, rejea vita vya msalaba na ottoman empire. Majuzi magaidi wa ISIS tokea iraq wakataka kuendeleza mpango ulioshindwa wa ottoman empire kuupenyesha utawala wa kiislamu Ulaya. Wakasambaratishwa na USA na NATO na kumuua Al baghad kiongozi wa ISIS. Huku kundi la ISIL tawi la ISIS Syria likipelekwa kuzimu na ndege za Putin.
Dini zote uzionazo duniani ni tawi la ukatoliki, maprostetant wote ni watoto wa katoliki.
Kuna mtu unaweza kujadiliana nae kwakuwa anamwelekeo lkn siyo wewe,,,,, Kile kitendo tu cha kusema Quran imetungwa na wakatoliki inatosha kujua jinsi ulivyo mweupe ktk bahari hii ya elimuMbona wewe hujakaa kimya wakati hujui lolote? Jibu joja zangu kama wewe siyo boya tu
.
Hivyo vitabu vya Alah vya Torati, Zaburi na Injili Umewahi kuviona? Mohamad amewahi kuviona?Kuna msemo unasema kila zama na kitabu chake ikiwa na maana manabii/mitume waliopita walikuwa na vitabu vyao mfano wa torati, injili, zaburi na quran.
Kwa mujibu wa uislaam kila nabii alipewa kitabu chake kulingana na zama alizonazo lakini maudhui yakiwa ni kumtangaza Mungu mmoja.
Nmejibu kile nnachofaham mkuu mtoa maada atakujibu zaid kwa anachofaham na yeye
Kila dini ina doubt nyingi ila uislamu muhammad ali fabricated vitu vingi sanaHivyo vitabu vya Alah vya Torati, Zaburi na Injili Umewahi kuviona? Mohamad amewahi kuviona?
Nitajie mtu mmoja tu aliyewahi kuviona.
Wkt mwingine hoja muhimu hazijibiwi kutokana na upuuzi kutamalaki,,,, ila zitajibiwa usijaliNimesumbuka kupitia uzi mpaka mwisho nipate majibu ya hizi hoja lakini hakuna kitu. Njooni mjibu hizi hoja angalao na sisi tupate elimu ya bure.
HISTORIA FUPI YA MTUME (Swalla Allahu Aleyhi Wa Salam)Mtume alikuwa Muislam kwa miaka 23 (kuanzia miaka 40 hadi 53)..Mimi naomba kujibiwa maswali yafuatayo:
1. Tangu kuzaliwa kwake Mtume hadi alipofika umri wa miaka 40 alikuwa anaabudu wapi?
2. Mungu wake alikuwa nani?
3. Kibla chake kilikuwa wapi?
4. Msikiti wake ulikuwa wapi?
5. Utaratibu wake wa kuswali ulikuaje?
6. Alikuwa akifunga Ramadhan? (Ilikuwa na maana gani kwake?
7. Alikuwa akienda kuzunguruka Kabah? Je Kabah Ilikuwa na midoli au haikuwa nayo?
mgen
Che mittoga
Kwanza kajifunze kuandika "haibu" = aibu.Qur'an haina faida yeyote kwa Mtanzania kujuwa, ni haibu kwako mleta mada kuwaletea Watanzania wenzako vitu visivyo na tija katika maisha yao. Hivi hata wewe mwenyewe huoni haibu kweli, hiki kitabu ni cha Waarab, wewe kama Mtanzania kinakuhusu nini? Tuachane na ujinga wa kujitakia.
Unatumia vyanzo vya kiislam kuutetea uislam.Nje ya Quran na bible ni wapi tutapata ushahidi wa existance za uislam kabla ya Muhammad?Hapana Ila nitakupa maele
036.Je, Uislamu ulikuwepo kabla Mtume Muhammad s.a.w?
Naam, ulikuwepo kabla,Uislamu ndiyo Msingi ambao kila mteule wa Mungu Mwenyezi alikuwa akiwahubiria watu wake,kila Zama ilikuwa Ni juu ya watu kutakiwa wasilimu,
Ukisoma hapa utaona Quran.com/4/163 quran.com/42/13
Sasa Soma hapa
127. Na kumbukeni Ibrahim na Ismail walipo inyanyua misingi ya ile Nyumba wakaomba: Ewe Mola Mlezi wetu! Tutakabalie! Hakika Wewe ndiye Msikizi Mjuzi.
128. Ewe Mola Mlezi wetu! Tujaalie tuwe ni wenye kusilimu kwako, na pia miongoni mwa vizazi vyetu wawe umma ulio silimu kwako. Na utuonyeshe njia za ibada yetu na utusamehe. Bila shaka Wewe ndiye Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu.
129. Ewe Mola Mlezi wetu! Waletee Mtume anaye tokana na wao, awasomee Aya zako, na awafundishe Kitabu na hikima na awatakase. Hakika Wewe ndiye Mwenye nguvu, Mwenye hikima.
130. Na nani atajitenga na mila ya Ibrahim isipo kuwa anayeitia nafsi yake katika upumbavu? Na kwa yakini Sisi tulimteuwa yeye katika dunia; na hakika yeye katika Akhera atakuwa miongoni mwa watu wema.
131. Na Mola wake Mlezi alipo mwambia: Silimu, Nyenyekea! Alinena: Nimesilimu, nimenyenyekea kwa Mola wa walimwengu wote.
132. Na Ibrahim akawausia wanawe, na pia Yaaqub: Enyi wanangu! Hakika Mwenyezi Mungu amekuteulieni Dini hii; basi msife ila nanyi mmekuwa Waislamu, wanyenyekevu.
133. Je! Mlikuwapo yalipo mfikia Yaaqub mauti, akawaambia wanawe: Mtamuabudu nani baada yangu? Wakasema: Tutamuabudu Mungu wako na Mungu wa baba zako, Ibrahim na Ismail na Is- hak, Mungu Mmoja tu, na sisi tunasilimu kwake.
134. Hao ni watu walio kwisha pita. Watapata waliyo yachuma, nanyi mtapata mtakayo yachuma; wala hamtaulizwa nyinyi waliyo kuwa wakiyafanya wao.
135. Na wakasema: Kuweni Mayahudi au Wakristo ndio mtaongoka. Sema: Bali tunashika mila ya Ibrahim mwongofu, wala hakuwa katika washirikina.
136. Semeni nyinyi: Tumemuamini Mwenyezi Mungu na yale tuliyo teremshiwa sisi, na yaliyo teremshwa kwa Ibrahim na Ismail na Is-hak na Yaakub na wajukuu zake, na waliyo pewa Musa na Isa, na pia waliyo pewa Manabii wengine kutoka kwa Mola wao Mlezi; hatutafautishi baina ya yeyote katika hao, na sisi tumesilimu kwake.
137. Basi wakiamini kama mnavyo amini nyinyi, itakuwa kweli wameongoka. Na wakikengeuka basi wao wamo katika upinzani tu. Na Mwenyezi Mungu atakutosheni kukukingeni na shari yao, na Yeye ndiye Msikizi, Mjuzi.
138. Huko ndiko kupaka rangi kwa Mwenyezi Mungu, na nani aliye mbora wa kupaka rangi kuliko Mwenyezi Mungu? Na sisi ni wenye kumuabudu Yeye tu.
139. Sema: Mnahojiana nasi juu ya Mwenyezi Mungu, naye ni Mola wetu Mlezi na Mola wenu Mlezi, na sisi tuna vitendo vyetu na nyinyi mna vitendo vyenu? Nasi tunamsafia Yeye tu.
140. Au mnasema kuwa Ibrahim na Ismail na Is-hak na Yaakub na wajukuu zao walikuwa Mayahudi au Wakristo? Sema: Je, nyinyi mnajua zaidi au Mwenyezi Mungu? Na ni nani mwenye kudhulumu zaidi kuliko yule aliye ficha ushahidi alio nao utokao kwa Mwenyezi Mungu? Na Mwenyezi Mungu si mwenye kughafilika na hayo myafanyayo.
141. Hao ni watu walio kwisha pita. Wao watapata waliyo yachuma, na nyinyi mt apata mliyo yachuma, wala hamtaulizwa nyinyi yale waliyo kuwa wakifanya wao.
Quran 2
Ila jumble si umeupata lakini?Kwanza kajifunze kuandika "haibu" = aibu.
Mkuu mbona nilisikia Mtume wenu alipaa mbinguni !HISTORIA FUPI YA MTUME (Swalla Allahu Aleyhi Wa Salam)
JINA LAKE NA NASABA YAKE.
Jina lake ni Mohammad bin Abdallah bin Abdul Mutwalib bin Hashim bin Abdul Manaf bin Quswai bin Kilaab. Na ukoo wake mtukufu unamalizikia kwa mtume Ibrahiim (Aleyhi Salam)
MAMA YAKE.
Mama yake ni Amina binti Wahab bin Abdul Manafi bin Zuhra bin Kilaab.
JINA LAKE MASHUHURI.
1- Mustafa, na anayo majina mengine mengi yaliyo pokelewa ndani ya Qur’ ani tukufu kama:
2- Khaatamun nabiyyiin.
3- Al ummiyyi.
4- Al muzammil.
5- Al mudathir.
6- Al mubiin.
7-Al kariim.
8- An nuur.
9- An niima.
10- Ar rahmaan.
11- Ash shaahid.
12- Al mubashir.
13- An nadhiir.
14- Abdur rauuf.
15- Ar rahiim.
16- Ad daai na mengine mengi.
TAREHE YA KUZALIWA KWAKE.
Alizaliwa tarehe 12 mwezi wa Rabiiul awwal, mwaka wa tembo sawa na mwaka 571 A.D.kutokana na kauli iliyo mashuhuri kwa wanahistoria.
SEHEMU ALIPO ZALIWA.
Alizaliwa katika mji wa Makkatul Mukarramah ulioko katika nchi ya Saudi Arabia.
KUPEWA KWAKE UTUME.
Ali pewa rasmi utume tarehe 27 mwezi wa Rajab katika mji wa Makka baada ya kutimiza miaka 40 ya umri wake mtukufu.
MAFUNDISHO YAKE.
Mtume (Swalla Allahu Aleyhi Wa Salam) alikuja na wito wa usawa kwa viumbe wote, na alikuwa akilingania undugu, na msamaha kwa kila mwenye kuingia kwenye Dini ya ki islaam. kisha aliweka sheria iliyo nyepesi, na kanuni za uadilifu alizo zipokea kutoka kwa Allah Subhana Wa Ta'ala alie takasika, kisha waislaam wakazipokea kutoka kwa Mtume (Swalla Allahu Aleyhi Wa Salam).
MIUJIZA YAKE.
Muujiza wake pekee wa milele na milele ni Qur’ ani tukufu; ama miujiza yake iliyo dhihiri mwanzoni mwa uislaam ni mingi
sana kwani hai hesabiki.
WITO WAKE.
Mtume (Swalla Allahu Aleyhi wa Salam) ali walingania watu kwenye upweke wa Allah katika mji wa Makka na kwa njia ya siri kwa muda wa miaka mitatu, na baada ya kipindi cha siri ali waita watu kwa njia ya wazi kwa muda wa miaka kumi.
KUHAMA KWAKE.
Alihama kutoka katika mji wa Makkah kwenda Madina mwanzoni mwa mwezi wa rabiul awwal baada ya kupita miaka 13 tangu kupewa utume, na kuhama huko kulitokana na maudhi mengi ya makuraishi, mushrikina na makafiri kumuelekea yeye na maswahaba wake.
VITA VYAKE.
Allah Subhana Wa Ta'ala Alie takasika Alimpa idhini ya kuwapiga vita mushrikina na makafiri na wanafiki, na baada ya idhini hiyo aliweza kuingia kwenye mapambano na watu hao kwenye vita vingi sana, na kati ya hivyo vilivyo kuwa mashuhuri ni Badri, Uhudi, Khandaq (Al ahzaab) Khaibar, na Hunain.
WAKEZE MTUME (Swalla Allahu Aleyhi Wa Salam).
Mtume alikuwa na wake Kama ifuatavyo : Wakwanza ni :
1 Khadijah bint Khuwailid.
2 Sauda bint Zam'ah. 3 'Aishah bint Abi-Bakr. 4 Zainab bint Khuzaymah.
5 Umm Salamah. 6 Hafsah bint 'Umar. 7 Zainub bint Jahsh. 8 Juwayriyah bint al-Haarith.
9 Umm Habibah bint Abi Sufyaan.
10 Safiyya bint Huyayy. 11 Maymuna bint al-Haarith.
12 Mariya Bint Sham'un - Mqibti (Mamake Ibrahim)
WATOTO WAKE MTUME (Swalla Allahu Aleyhi Wa Salam).
Watoto wake ni kama wafuatao:
1- Abdallah.
2- Qaasim.
3- Ibrahiim
4- Fatima
5- Zainab
6- Ruqayya
7- ummu kulthum
BABA ZAKE WADOGO.
Mtume (Swalla Allahu Aleyhi Wa Salam) ana baba wadogo tisa (9), nao ni watoto wa Abdul Mutwalib kama wafuatao:
1- Al haarith.
2- Zubair.
3- Abu Twalib.
4- Hamza.
5- Al ghidaaq
6- Dharaar Al Muqawwim,
7- Abu Lahab.
8- Al Abbas.
SHANGAZI ZAKE MTUME (Swalla Allahu Aleyhi Wa Salam).
Mtume (s.a.w) alikuwa na shangazi sita kutokana na akina mama tofauti nao ni kama wafuatao:
1- Umaimah.
2- Ummu hakiimah.
3- Burrah.
4- Aatikah.
5- Swafiyyah.
6- Arwy.
MLINZI WAKE.
Mlinzi wake alikuwa ni Anas.
WAADHINI WA MTUME (Swalla Allahu Aleyhi Wa Salam).
1- Bilal Al –habashi
2- Ibnu Ummu Makhtuum.
3- Saad Al-qurt.
NEMBO YA PETE YA MTUME (Swalla Allahu Aleyhi Wa Salam).
Nembo ya pete yake ilikuwa ni (( Mohmmad rasuulu llah)).
UMRI WAKE (Swalla Allahu Aleyhi Wa Salam).
Aliishi kwa muda wa miaka 63.
MUDA WA UTUME WAKE (Swalla Allahu Aleyhi Wa Salam).
Utume wake ulidumu kwa muda wa miaka 23.
TAREHE YA KUFARIKI KWAKE (Swalla Allahu Aleyhi Wa Salam).
Alifariki dunia tarehe 28 mwezi wa safar mwaka wa 11 hijiria.
SEHEMU ALIYO FIA (Swalla Allahu Aleyhi Wa Salam).
Mtume alifia katika mji wa Madinatul Munawwarah.
SEHEMU ALIYO ZIKIWA (Swalla Allahu Aleyhi Wa Salam).
Alizikiwa katika mji wa Madina ndani ya Chumba cha mkewe Bi Aisha bint Abubakar.
SEHEMU ALIOZALIWA MTUME MUHAMMAD (Swalla Allahu Aleyhi Wa Salam).
ChiefUnatumia vyanzo vya kiislam kuutetea uislam.Nje ya Quran na bible ni wapi tutapata ushahidi wa existance za uislam kabla ya Muhammad?
Hii ni sawa na kumshauri akimbie maswali magumu, kwa kisingizio kwamba ni ya kipuuzi.KatetiMQ nakupa ushauri mmoja, jikite zaidi kwenye mada yako,,, na jibu hoja tu ambazo unaona zina hekima na Busara kwasababu kwa uzoefu wa mambo haya ya dini ubishani wa kipuuzi ni mwingi mno.
Pili jifunze kuwapuuza baadhi ya watu kwani ni wapuuzi mno wanajifanya wanajua kumbe hawana wanachojua
Asante
Najua hata mwenyewe unajua kuwa kuna mambo ya kipuuziHii ni sawa na kumshauri akimbie maswali magumu, kwa kisingizio kwamba ni ya kipuuzi.
Inaonekana wewe ni muoga wa maswali magumu.Najua hata mwenyewe unajua kuwa kuna mambo ya kipuuzi