Si kweli, Madaraka itokayo Kwa Mungu utenda ya Kimungu Huwezi kuta mauaji, utekaji, kubambikiwa kesi, njaa ,Kusomesha watu nambaMamlaka zote hutoka kwa Mungu.
Tanzania is a blessed Country. We are blessed to have such a president like him.
He he he! Hata Sudan ilitoka kwa Mungu? Hitler kule German nayo ilikuwa ya huyuhuyu Mungu?Mamlaka zote hutoka kwa Mungu.
Tanzania is a blessed Country. We are blessed to have such a president like him.
nenda kwenye komenti za huko youtube ndo utwambie hizo komenti zaidi ya 400 za watu wa kutoka wapi wasiompenda.Na kweli hapendwi. 99% ya wanaojifanya wapo karibu yake moyoni mwao hawampendi japo usoni wana act kama wanampenda.
kitu cha ajabu ukifungua hiyo documentary kuna zaidi ya komment 400lkn zote hazijaongelea chchte kinyume na ilivyo, komenti zote xinatoa dole, imenipa uwalakini wa wafuasi wa jpm hapa jukwaani ina maana kwa nini hapa jf wanaomkashifu jpm ni wengi lkn kwenye hiyo documentary kutoka youtube ambao ndo mtandao mkubwa zaidi ws kijamii duniani watz wote, I mean asilimia 99 wameisifia hiyo docs, kwa nini humu ndani inapondwa sana?
Siri kubwa ni kwamba huku jf ni salama ndio maana watu wako Huru wanatiririkakitu cha ajabu ukifungua hiyo documentary kuna zaidi ya komment 400lkn zote hazijaongelea chchte kinyume na ilivyo, komenti zote xinatoa dole, imenipa uwalakini wa wafuasi wa jpm hapa jukwaani ina maana kwa nini hapa jf wanaomkashifu jpm ni wengi lkn kwenye hiyo documentary kutoka youtube ambao ndo mtandao mkubwa zaidi ws kijamii duniani watz wote, I mean asilimia 99 wameisifia hiyo docs, kwa nini humu ndani inapondwa sana?
Mamlaka zote hutoka kwa Mungu.
Tanzania is a blessed Country. We are blessed to have such a president like him.
Watanzania wanafiki sana, wacha atoke madarakani utakubaliana na hali hiii unayo iona JF kuhusu kutomkubali huyo jamaa.kitu cha ajabu ukifungua hiyo documentary kuna zaidi ya komment 400lkn zote hazijaongelea chchte kinyume na ilivyo, komenti zote xinatoa dole, imenipa uwalakini wa wafuasi wa jpm hapa jukwaani ina maana kwa nini hapa jf wanaomkashifu jpm ni wengi lkn kwenye hiyo documentary kutoka youtube ambao ndo mtandao mkubwa zaidi ws kijamii duniani watz wote, I mean asilimia 99 wameisifia hiyo docs, kwa nini humu ndani inapondwa sana?
Sema anakupotezea direction na siyo wote wanaopotezewa direction ndiyo maana hapingwi na woteWatanzania wanafiki sana, wacha atoke madarakani utakubaliana na hali hiii unayo iona JF kuhusu kutomkubali huyo jamaa.
Binafsi kutoka moyoni, anatupotezea uelekeo kama Taifa. Hatoshi kuwa rais si tu wa Nchi hii, taifa lolote Duniani.
Siyo kweli mkuu kuna mada moja ililetwa na Nyani Ngabu nadhani alisema ukisoma sana mitandao hasa Twitter JF na FB utadhani Tanzania hakukaliki kumbe ni asilimia ndogo tu. Na hii documentary ikiwekewa subtitle kwa kiingereza utaona wachangiaji watafika zaidi ya 1000 kutoka nchi mbalimbali na comments positive.Siri kubwa ni kwamba huku jf ni salama ndio maana watu wako Huru wanatiririka
Ina subtitle, pia kukubalika kwake nje ya mitandao ya kijamii inasababishwa na ukosefu wa taarifa muhimu kuhusu vitendo vya ukiukwaji haki na katiba vinayofanywa na serikali hii.Siyo kweli mkuu kuna mada moja ililetwa na Nyani Ngabu nadhani alisema ukisoma sana mitandao hasa Twitter JF na FB utadhani Tanzania hakukaliki kumbe ni asilimia ndogo tu. Na hii documentary ikiwekewa subtitle kwa kiingereza utaona wachangiaji watafika zaidi ya 1000 kutoka nchi mbalimbali na comments positive.