Historia ya Rais Magufuli na fikra za kujilisha bila kuombaomba!

Historia ya Rais Magufuli na fikra za kujilisha bila kuombaomba!

Not so sure, moja ya majina anayopachikwa Magufuli.
Refer magazeti ya sana ya zamani ya sani kulikuwepo na characters wengi kama vile madenge, kipepe, lodi lofa sasa alikuwepo na Meko, tabia zake, alikuwa anafanyaje dig deep inside.
 
Mamlaka zote hutoka kwa Mungu.

Tanzania is a blessed Country. We are blessed to have such a president like him.
Sio mamlaka zote zinazotoka kwa Mungu ni blessed! Nyingine huletwa ile ku-accomplish intended task. Huyu kaja ili kuimaliza sisiemu!
 
ivi.si kunatukio la kununua views youtube eee naona hakuna linaloshindikana
kitu cha ajabu ukifungua hiyo documentary kuna zaidi ya komment 400lkn zote hazijaongelea chchte kinyume na ilivyo, komenti zote xinatoa dole, imenipa uwalakini wa wafuasi wa jpm hapa jukwaani ina maana kwa nini hapa jf wanaomkashifu jpm ni wengi lkn kwenye hiyo documentary kutoka youtube ambao ndo mtandao mkubwa zaidi ws kijamii duniani watz wote, I mean asilimia 99 wameisifia hiyo docs, kwa nini humu ndani inapondwa sana?
 
Kule youtube ukijichanganya wanakudaka maana umejisajili kwa jina halisi
Kwa hiyo wenye kutoa comments ni wale fans, wengine wanasoma coments kimya kimya na kusepa

Pia kuna vijana wapo kwenye "database" za wakubwa kazi zao ni kufagilia kwa kauli fupifupi na rahisi tu kuwa "tunakukubali baba", "wapiga dili wanaliaaa". Sasa vijana hawa hawana uwezo wa kuja JF na kutoa simple statements kama hizi hapa JF maana watapwaya, kwa hiyo Kazi yao ni huko FB na Youtube ili kushape public opinion
 
Hakuna uhakika kama kila mtu kaweka majina kamili youtube. Sababu hakuna uthibitisho. Kuna watu wanaaccount mbili tofauti na majina tofauti. Ni mpaka watu wakiambiwa wawe verified kwa kutuma vitambulisho ndiyo utaamini unayoyaona ni majina yao kamili.
 
Huyu mtu siku aking'olewa nchi itafanya sherehe ambayo haijawahi kufanyika mahali popote duniani
Hivi ni wewe au salary slip yule aliandikaga siku kikwete akitoka ikulu atakuwa anafanya sherehe daily?

Ukweli uliowazi ni kwamba hakuna MTU perfect na hayupo kiongozi atamfurahisha kila RAIA
Imagine Gaddafi alichofanyiwa na watu wake kuna muda unajiuliza Hivi Africa tunataka nini sisi? Mchawi wetu ni sisi wenyewe wala sio hao mabeberu tunaowataja maana nao kwao wana changamoto zao ila hawazileti kwetu wako matured enough to handle their differences na kamwe huwezi ona vita ikipiganwa kwenye ardhi yao.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Africa.
 
sijasikiliza, lakini naweka wazi tu hakuna kisicho na mwisho,atoke tu madarakani watu tuishi kwa uhuru
 
sijasikiliza, lakini naweka wazi tu hakuna kisicho na mwisho,atoke tu madarakani watu tuishi kwa uhuru
Atatoka 2025 subiri mkuu ila tumia condon usijekukosa kuyaona mazuri yake.
 
Back
Top Bottom