capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,363
- 121,260
Hapa nazungumza na kundi la waelewa, wanaojitambua na kujua hali ya Nchi yetu hii kwa sasa. Huwezi kuwa na utimamu, uelewa, well informed bado ukakubaliana na yale yanayotendwa na utawala wa Magufuli Tanzania kwa sasa.Sema anakupotezea direction na siyo wote wanaopotezewa direction ndiyo maana hapingwi na wote