Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
- #21
Jane...Mohammed Said
Kwenye ubora wake
Mama yangu una udugu na Mzee Msowoya photographer?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jane...Mohammed Said
Kwenye ubora wake
Ndio MwananguJane...
Mama yangu una udugu na Mzee Msowoya photographer?
Jane...Ndio Mwanangu
Ni Babu Yangu
Bevin Tipha Msowoya
Mpiga picha wa enzi hizo magomeni mapipa
Ayseee miaka hiyo hata sijulikaniJane...
Mimi nikimfahamu Kinondoni katika miaka ya 1960.
Nina picha zake alimpiga Ali Msham na Nyerere Magomeni Mapipa miaka ya 1950 katikati ni za kihistoria.
Mmehifadhi maktaba ya picha zake?
Jane...Ayseee miaka hiyo hata sijulikani
Hawajahifadhi SoMo yaani hakuna kitu kabisa picha zipo chache chache,nikipata zitakazokufaa ntakutumia
Hukuwa na sababu za kuwataja hao watu na tags za Taasisi zao kidini.Ava...
Historia hiyo ya masheikh inatoka katika ofisi ya African Association mwaka wa 1929 ilipoasisiwa Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Umoja wa Waislam wa Tanganyika) mwaka wa 1933 kuitia nguvu African Association mpaka baina ya vyama hivi viwili ukawa mwembamba sana.
Angalia hii kama ya TAA Political Subcommitee: Dr. Vedasto Kyaruzi (President), Abdul Sykes (Secretary) (baba yake Kleist Sykes ndiye aliyeasisi hivyo vyama viwili hapo juu na Abdul Sykes kasoma Al Jamiatul Ismaiyya Muslim School), Mufti Sheikh Hassan bin Ameir, Sheikh Said Chaurembo Liwali wa Mahakama ya Kariakoo (hawa wanachama wa Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika), Steven Mhando na John Rupia.
Mkutano wa kwanza wa TANU August 1954 ulihudhuriwa na watu wasiozidi 20 miongoni mwao Abdul na Ally Sykes vijana wa Al Jamiatul Islamoyya, Iddi Faiz Mafungo na nduguye Iddi Tosiri wanachama wa Al Jamiatul Islamiyya.
Safari ya Nyerere UNO mkusanyaji fedha za safari alikuwa Iddi Faiz Mafungo Mweka Hazina wa Al Jamiatul Islamiyya na Mweka Hazina wa TANU.
Naamini kwa maelezo haya umeelewa uhusiano katika ya TANU Waislam.
Leo huitaki historia hii ielezwe hapa ipelekwe msikitini.
Historia hii bado ipo sana msikitini ila hapa JF mimi ndiyo nimeleta kiasi cha miaka 10 iliyopita na inapendwa sana.
Fuatilia uzi huu angalia watu wangapi wanausoma.
Mangu...Hukuwa na sababu za kuwataja hao watu na tags za Taasisi zao kidini.
Ungesema tu walikuwa WATANGANYIKA WAZALENDO wa mwanzo na WAPIGANIA UHURU wa MWANZO ungeeleweka barabara!!.
Kama sio Religious Fanatism ni Nini basi!?.
Hii sio Historia ni ushabiki
Maktaba ya chuo ipo nenda mkuuNisitafute mwenyewe kivipi wakati yeye ndie kaeleza juu ya hilo?
Niende vipi badala yeye alete hapa?kwanini nisiamini kama huyu ni muongo?Maktaba ya chuo ipo nenda mkuu
Mna...Niende vipi badala yeye alete hapa?kwanini nisiamini kama huyu ni muongo?
Mna...Nisitafute mwenyewe kivipi wakati yeye ndie kaeleza juu ya hilo?
Kwahiyo hilo gazeti halipo?
Mna...Kwahiyo hilo gazeti halipo?
Una majibu yenye hekma sana.
Vishu,Una majibu yenye hekma sana.
Yoda,Mbona historia zako na za masheikh zaidi??